ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

    Wadau nimeandaa safari ya kwenda kuonana na Rais JMT hata nahitaji nikaonane naye ana kwa ana nifanye naye mazungumzo kama raia wa kawaida kijana mpenda maendeleo. Watu wengi sana wamekuwa wakienda Ikulu lakini hao ni wale wenye channel. Je, kwa mimi nisiye na channel ama kujuana na yoyote...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Wabunge wa CCM wanapenda sana Kumjaribu na ni kama vile Wanamdharau sana Katibu Mkuu wao Dkt. Bashiru?

    Nakumbuka ni mwaka huu huu na Rekodi zipo tena akiwa ‘ amefura ‘ kabisa Mithili ya Mbogo aliyejeruhiwa Katibu Mkuu wa CCM na Mwanazuoni Dkt. Bashiru Ally Kakurwa alipiga Marufuku Wabunge wote wa CCM Kuanzisha Mashindano ambayo yanabeba Majina yao ( kwa Mfano GENTAMYCINE CUP ) na badala yake...
  3. JamiiForums Tanzania Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye

    Jonh Momose Cheyo ni Mwenyekiti wa chama chake toka mwaka 1993 (miaka 26) lakini siyo CCM wala msajili mwenye shida naye. Unadhani ni kwa nini?
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi Ukiritimba wa Magufuli unavoiua CCM na Kuijenga Chadema na Popular Movement

    Ni ukweli usiopingika kwamba Magufuli amethibitisha kwamba yeye ni chuma. Pamoja na jitihada zake nyingi za kujaribu kujenga Tanzania Mpya na mafanikio ambayo tunayaona kuna maeneo ambayo kwa hakika kabisa anaenda kukiua chama cha Mapinduzi CCM na kuimarisha chama cha Upinzani hasa Chadema...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dar es Salaam yawasili Moshi ikiwa na abiria 294, ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM

    Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dsm imewasili mjini Moshi saa 5 asubuhi na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa Moshi. Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294 ambao wameipongeza serikali kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM baada ya usafiri huo kusimama kwa takribani miaka 21. Pia abiria...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

    Kamati kuu ya Chadema kwa kauli moja imeazimia kushiriki katika sherehe za Uhuru zitakazofanyika Mwanza kitaifa.
  7. JamiiForums Tanzania Madiwani wengine wawili wa CHADEMA jiji la Arusha watimkia CCM

    Hii imetokea Leo tarehe 6/12/2019 hii ni Taa nyekundu kwa CHADEMA
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, watunza hazina wa CCM na Chadema wana CPA (T)?

    CCM na Chadema ndio vyama vinavyopewa ruzuku kubwa na serikali, CCM ikikaribia sh bilioni 1 kwa mwezi na Chadema takribani sh milioni 326 kwa mwezi. Hizi ni fedha nyingi tena ni kodi zinazokusanywa kutoka kwa wananchi wanyonge hivyo zinahitaji matumizi yake yasimamiwe kwa mujibu wa kanuni na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Sifa za CCM pekee ambazo vyama vingine hazina

    CCM ni tofauti sana na nyama vingine vya siasa nchini ambavyo vina usajili kamili na wa kudumu chini ya sheria ya vyama. Sifa pekee za CCM zinjidhihirisha wazi wazi katika masuala mazito ya kitaifa yafuatayo:- CCM ni chama pekee chenye azma ya kuhahakikisha kwamba Muungano wa Tanzania na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania TBS kuandaa viwango vya Mbege na Ulanzi katika kukuza viwanda vidogo vidogo

    Msemaji wa Shirika la Viwango TBS kanda ya kusini amesema taasisi yake inaandaa viwango vya pombe za kienyeji Mbege na Ulanzi ili zitengenezwe na kusindikwa katika ubora unaostahili. Msemaji huyo amesema viwangi hivyo vitasaidia Mbege na Ulanzi ziweze kushindanishwa na Chibuku na hivyo kusaidia...
  11. JamiiForums Tanzania Sasa nahamia rasmi CCM ya Magufuli

    Great Thinkers! Sasa nimehamia rasmi kambi makini ya CCM ya Magufuli baada ya kushuhudia utekelezaji usio wa kifani wa ahadi zake. Nilikuwa CHADEMA kindakindaki niliwakubali na kuwapigia debe viongozi wa CHADEMA. Nilifanya hivi baada ya kuuchukia ufisadi na mauzauza yote yaliyokuwa yanafanywa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haijawahi na haitakuja kutokea kuwa tishio kwa CCM

    CHADEMA wanatengeneza maneno kuwa CCM inamuogopa Mhe. Mbowe na CHADEMA ndio maana anapingwa asigombee tena. Hii si kweli na ni upotoshaji mkubwa sana, chama chenye wasomi, wataalamu na manguli wa siasa Tanzania kiogope chama ambazo hakina mbadala zaidi ya ‘DJ’? Toka kuanzishwa kwa CHADEMA...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019. Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani. Licha ya kuwa mgombea pekee, alipigiwa kura 48 za hapana kati ya kura 76. Kulingana na taratibu za chama hicho...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nyie CCM sumu mnaonja kwa kulamba?

    Nawaulizeni tu makada kindakindaki mliopo hapo Lumumba na wale Wakereketwa wa mashinani huko visiwandui Unguja, Je nyie sumu mnaonja kwa kulamba? Hili ni swali la kiuchaguzi kwa sababu nimelipata katikati ya mihemuko ya uchaguzi huko Ufipa. Watu wenye ulinzi wa kutosha wa kitaifa wameogopa...
  15. JamiiForums Tanzania CCM kupita kwa kishindo Unguja na Pemba ni ajabu la saba la dunia

    Katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma, Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri James ameeleza kumshangaa Mshauri mkuu wa chama cha ACT-Wazarendo Maalim Seif Sharif kutoka na maoni yake kuwa chama chake kinakubalika visiwani Zanzibar. Bw. Kheri amesema...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye kukutana na Waandishi wa Habari Desemba 04, 2019

    Kesho anaunguruma. Zaidi, soma: https://www.jamiiforums.com/threads/mzee-frederick-tluway-sumaye-ajiondoa-chadema-asema-mambo-yamembadilikia-chadema-baada-ya-kuchukua-fomu-kugombea-uenyekiti-taifa.1661873/page-13#post-33671863
  17. JamiiForums Tanzania Wanaousaka urais, ubunge CCM kabla ya wakati waonywa

    Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amewaonya wanachama wa chama hicho tawala walioanza mikakati ya kusaka kupitishwa kuwania udiwani, ubunge na urais akibainisha kuwa kufanya hivyo ni makosa. Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Desemba 3, 2019 katika ziara yake kisiwani Pemba, Zanzibar wakati...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM, angebana zaidi upinzani kuliko ilivyo hivi sasa

    Kwa mujibu wa mwanaharakati fulani, ni kwamba hali ya siasa za upinzani kubanwa hivi sasa, ni kidogo sana na hali ingekuwa mbaya sana Kama Lowassa angekuwa Rais kupitia CCM 2015. Mwanaharakati huyo anadai, Lowassa sio mvumilivu wa siasa za kukosoana na angekuwa Mbabe zaidi hata ya Rais...
  19. JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif: Uvumilivu sasa basi, wanachama lindeni ofisi na mali za chama

    UVUMILIVU SASA BASI, WANACHAMA LINDENI OFISI NA MALI ZA CHAMA MAELEZO YA MSHAURI MKUU WA CHAMA CHA ACT – WAZALENDO, MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI OFISI KUU YA CHAMA ZANZIBAR – TAREHE 2 DESEMBA, 2019 Chama cha ACT – Wazalendo kinazo taarifa za uhakika za kuwepo...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Al Bashir akabiliwa na hukumu ya kifo kwa kupindisha taratibu za kidemokrasia

    Kufuatia mapinduzi ya mwaka 1989 yaliyomweka madarakani rais wa Sudan aliyeondolewa madarakani Al Bashir, sasa atashtakiwa kwa makosa ya kuhujumu mfumo wa kidemokrasia. Endapo atatiwa hatiani, basi hukumu yake ni kifo au kifungo cha maisha jela. Hii ni taa nyekundu kwa CCM wanaovuruga mfumo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…