Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye kukutana na Waandishi wa Habari Desemba 04, 2019

Status
Not open for further replies.

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,481
2,000
Kesho anaunguruma.

2E40BC8A-0E65-44CA-8A49-C99B98815018.jpeg


Zaidi, soma:

 

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
39,374
2,000
Kesho saa tano ni mbali, alale hata nyumbani kwa waandishi wa habari, arejee CCM akaunge mkono juhudi.

Aongee chochote atakacho ndani ya cdm yeye Ni useless. Na kwenye haya CHADEMA wapate somo hii kuokota mizoga huko CCM na kuipa nafasi ya uongozi ni jambo lisilokubalika.
 

jd41

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
3,756
2,000
...sitegemei kumsikia akilalamika kuhusu kushindwa kwake uchaguzi, kwasababu sioni alikuwa na immunity gani lazima ashinde, na kama akilalamika kuhusu kushindwa uchaguzi, nadhani siku zake za kurudi ccm zitakuwa zimekaribia, kwa upande wangu hili litakuwa jambo zuri zaidi sababu CDM watakuwa wamejivua gamba, waanze kujenga chama chao vizuri.

....Au labda anatumika kuzidi kumpa sababu msajili aendelee kuwatisha CDM kuhusu uchaguzi unaoendelea, kama hili nalo ni kweli, basi watafeli vibaya, kwasababu hawawezi kuingilia maamuzi ya wapiga kura ndani ya chama, calculations zozote atakazopiga Sumaye aangalie coz naona dalili zote zita backfire!
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom