ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania yazidi kusiginwa , 8 waliojiuzulu udiwani Cuf Tanga na kujiunga na CCM wahudhuria kikao cha bajeti na kulipwa posho

    Kiukweli watu hawa ambao si madiwani tena baada ya wao wenyewe kutangaza hadharani na kuandika barua za kujivua udiwani na uanachama wa CUF na kuhamia CCM hawakupaswa kuendelea kuhudhuria vikao vya baraza la madiwani. Mkurugenzi wa Jiji la Tanga kaamua kujitoa akili na kueleza kwamba hana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA itasimamisha wagombea wachache wa ubunge Oktoba 2020 kwa sababu haitapata " Makapi" kutoka CCM

    Ikumbukwe kuwa wagombea wengi wa ubunge wa Chadema katika majimbo mwaka 2015 ni wale waliotoka CCM baada ya kushindwa kura za maoni na kumfuata Lowassa pale Ufipa. Mwaka huu fursa hiyo haitakuwepo na hivyo Chadema inategemewa kuwa na wagombea ubunge wachache sana watakaotokea maeneo ya mijini...
  3. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika atema cheche kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa CCM ya uchaguzi kuwa huru na haki

    Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa CHADEMA , yaani anatema madini matupu ! Mnyika amesema: "Sasa nifikishe ujumbe tu kwa Rais Magufuli, ambaye amesema yeye, akiwaambia mabalozi kwamba, uchaguzi wa mwaka 2020 utakuwa uchaguzi huru na haki ujumbe wangu kwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Fedha za matajiri basi CCM

    CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria. Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm. Chanzo: Habari Leo
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Mwenyekiti wa CCM kuhusu kura za maoni, Mwita Waitara amekurupuka kutangaza nia muda bado

    Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Magufuli amewataka wanachama wa chama chake kuacha kugombana kwa tamaa ya kugombea madaraka na hasa ubunge na udiwani. Rais Magufuli amewataka wana CCM kufuata taratibu na kanuni za chama kuhusiana na kura za maoni na kwamba waepuke tabia za "kukurupuka" Rais...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CCM Lumumba zimejaa Toyota Landcruiser mkonga nje za Wenyeviti wa mikoa. Ni vema CHADEMA wakajifunza matumizi mazuri ya ruzuku

    Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi. Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa...
  7. JamiiForums Tanzania Siku zote tunasema CCM kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi namba 1 hapa nchini

    Siku zote tunasema Ccm kuna unafiki na ndiyo wahujumu uchumi no.1 hapa nchini. CAG alitoa taarifa kuwa kuna ubadhirifu kwenye wizara ya mambo ya NDANI mkamkejeli,akasema Bunge ni dhaifu mkamkejeli. Kangi akamwita muongo mkamshangilia BUNGENI,haya yako wapi Leo. Mkamuundia zengwe mkamtimua...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watawala wa CCM wawe wazi kubadili mfumo wa kuendesha nchi, ujanja ujanja hautaisaidia Tanzania

    Kwa miaka hii minne Utawala wa CCM unashindwa kujipambanuwa. Kuna msigano wa wazi wa itikadi ipi hasa inafaa kufuatwa na mfumo upi hasa unapaswa uwe ndio mfumo wetu wa Utawala. Watu wengi wanaamini ni mfumo mpya " ulibatizwa jina na kuitwa " MAGUFULIZATION" Sijui mfumo huu unalenga nini...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa hakuna Mpinzani wa kuipigania Tume Huru ya Uchaguzi waliopo wanategemea huruma ya CCM

    Kiukweli kwa hawa wapinzani tulionao Tume Huru ya Uchaguzi itaendelea kuwa ndoto hadi pale CCM itakapotupa JK mwingine wa kuanzisha mchakato wa kutengeneza Katiba mpya. Hakuna namna vyama vya upinzani vitaweza kushinda uchaguzi bila kuwa na Tume huru. Sidhani kama CCM bado ina huruma au bado...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Dr Kikwete ana " Ngekewa" CCM inapendwa kwa sababu yake

    Nimeyakumbuka ghafla maneno ya Katibu mkuu mstaafu wa CCM mzee Makamba katika moja ya mikutano mikuu ya CCM, alisema ".....kiukweli Dr Kikwete ana Ngekewa na chama chetu kinapendwa kwa sababu yake" Sina hakika na ukweli au usahihi wa maneno ya mzee Makamba ila nimeyakumbuka tu. Maendeleo...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM: Tusikubali mafundisho ya kusifia tuu mtu na chama chetu, bali tupokee yale yenye kutia "UBUNIFU" wa kuijenga nchi kisayansi zaidi.

    Ninamsifu na ninamshukuru baba yangu mzazi kwa :- 1. Kuandaa mazingira ya kumwoa mama hatimaye nikawa duniani. 2. Kujenga nyumba ya tope na bati, na kutulelea humo, wakati huo majirani wote walikuwa na nyumba za makuti. 3. Kuishi kwa kutegemea kilimo na ufugaji ndani ya shamba la baba ...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha kamili ya ambao hawatarudi Bungeni 2020 hii hapa

    Wabunge wengi wameingia Bungeni 2015 kwa chain ya Mh Jakaya Kikwete na Mzee wetu Kinana. Kwa nature ya CCM ya sasa na Rais Magufuli (na kwa kuepuka aibu ya kukatwa) kwa ujumla hawa wafuatao wajipange kisaikolojia kuhusu kutetea viti vyao 2020:- 1. Mh Nape 2. Mh. Ngeleja 3. Mh Kitwanga 4...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya mikutano na makongamano ni pamoja na Wajumbe kuvaa sare nzuri, CCM jifunzeni kwa CHADEMA

    Huu ni ushauri tu ambai unaweza kupokelewa au kukataliwa. Inawezekana kabisa kuwa CCM hawamind mambi ya kupamba kumbi zai za mikutano, basi wazingatie hata unadhifu wanapovaa sare zao mikutanoni na kwenye makongamano. Unamkuta mwanaccm amevaa sare iliyochanika au yenye viraka hii si sawa kwa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Video fupi: Kamati kuu CCM yasema: Mahali ambapo kuna mbunge wa CCM asibughudhiwe hata kama hafanyi vizuri

    Polepole anasema majimbo yote yenye mbunge wa ccm hata kama hafanyi vizuri asisumbuliwe na mtu. Nafikiri watanzania tunajipeleka kwenye utawala wa ki-imla kwa kushabikia chama hiki na kuua upinzani. Bado hatujaona machungu ya kuua nguvu ya upinzani. Wenzetu walioendelea kamwe hawafanyi hivi...
  15. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wanajukwaa poleni na misukosuko ya kujibadili kutoka kuwa walaji wa Mwisho kuelekea nchi ya Viwanda. Uwanja huu ni maalumu kama ule wa Safari za nje za Jakaya kikwete ila huu ni mahususi kukusanya mambo mazuri ya Awamu ya tano chini ya Rais Magufuli juu ya maendeleo yetu hasahasa kauli yake kuu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania CCM fanyeni kila muwezalo Mh. Zitto Kabwe asirudi Bungeni

    Japo mimi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa ila nakiomba chama cha CCM kilichopo madarakani kufanya kampeni ya haki na yenye nguvu kuhakikisha Ndg. Zitto Kabwe asifanikiwe kupata ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu katika nafasi ya ubunge kwani amekuwa akipinga hata mambo ya msingi...
  17. JamiiForums Tanzania Simba ina wapenzi wengi kuliko Yanga sababu ni rangi zake kufanana na CCM

    Ni jambo la wazi kwamba simba inapendwa Sana Tanzania kuliko club yoyote ile. Yanga ina WAPENZI wachache ukilinganisha na Simba pamoja na kulazimisha kupendwa kwa kujiita eti ni timu ya wananchi. Sababu kuu ya yanga kutokupendwa ni rangi zake zinazofanana na CCM ikumbukwe kwamba chama hiki...
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Mbunge wa Newala Vijijini, Ajali Rashid akutwa amefariki katika Gesti ya Mingoyo

    Mbunge wa Newala vijijini, AJALI RASHIDI AKBAR amekutwa amefariki katika gesti ya Mingoyo - Mnazi Mmoja - Lindi, inaelezwa kuwa yeye ndio mmiliki wa gesti hiyo mpaka sasa bado chanzo cha kifo chake hakijafahamika na mwili wake umepelekwa hospitali ya Sokoine kwa uchunguzi. Spika wa Bunge la...
  19. JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Kamati ya Maadili CCM bado haijapata ujasiri wa kutuita rasmi kuhojiwa

    Huyu kweli ni "Mwamba wa Kusini". Sina cha kuongeza..... msome mwenyewe!
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kupoteza majimbo yafuatayo

    Kimahesabu, CCM ndio washindi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 kabla hata ya mwenda kwenye Box la Kupigia kura. Ushindi huu wa CCM ambao umetokana na utekelezaji kabambe wa miradi mbali mbali chini ya serikali ya awamu ya tano. HESABU ZA KISIASA zinaonesha majimbo yafuatayo ya Upinzani yanakwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…