Uchaguzi 2020 Naamini CCM itashinda kwa 99%, Vyombo vya usalama kaeni pembeni mniprove wrong

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Nakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.

Naiomba Polisi na vyombo vya usalama vikae pembeni vilinde uamuzi wa wananchi.

Hii itathibitisha kwamba chama changu CCM kimeshinda kwa halali na kukakata ngebe za upinzani.

Hashtag #tanpolstayawaywithourpolls also #wearebornfree

Vyombo vya usalama na sisi wananchi tunaipenda CCM mno tuiache isimame yenyewe.
 
Hilo linawezekana iwapo uchaguzi utafanyika chini ya hii tume ya uchaguzi, kwani nina uhakika wapiga kura hawatafika 10m. Nijuavyo wapiga kura wengi wa upinzani hawatapiga kura, kwani wao ndio wahanga wa hizi chaguzi zisizo huru na haki. Hivyo hiyo idadi ccm waliyopanga kujitangaza kuwa watashinda, ndio watakayopata tena nina hakika ni 100%. Ila kuwa uchaguzi huo utapuuzwa, hilo wala halina mjadala.
 
Mimi ni mwanachama wa CCM kwa muda wa miaka mingi sana. Ninajua tutashinda, lakini tukishinga kwa zaidi ya 70% tumeiba kura ama wapinzani wamejitoa kwenye uchaguzi.

Siasa za karne na hakuna nchi duniani ambapo chama kinaweza kupata zaidi ya 60 to 70 % ya kura zote zinazopigwa.

Tuwe wakweli, haiwezekani hata kidogo, wale 6m waliopigia kura upinzani, leo wote wamerudi ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.

Naiomba Polisi na vyombo vya usalama vikae pembeni vilinde uamuzi wa wananchi.

Hii itathibitisha kwamba chama changu CCM kimeshinda kwa halali na kukakata ngebe za upinzani.

Hashtag #tanpolstayawaywithourpolls also #wearebornfree

Vyombo vya usalama na sisi wananchi tunaipenda CCM mno tuiache isimame yenyewe.
Unataka kuwapunguzia perdiem?? Haitatokea hiyo. Watu wana njee bwashee usiombe
 
Never na haitatokea CCM kushinda kwa ushindi huo wa 99%,
Ukifanyika uchaguzi wa huru na haki CCM wanawezapata 49%
Kwasasa wanafanya wenyewe kampeni na mikutano,,
Mm mwenyewe CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashiru si tu anafanya kampeni, anamsemo wake anafunga mitambo maaluumu ya kisasa, baada ya Tanga kuvuna madiwani cuf, akaelekea Kigoma kufunga mitambo. Tarajieni madiwani ACT kuunga juhudi pia. Ccm mupya ni mupya kweli kweli , lengo 2020, ni 99%.Hawa watakuwa na mwisho wa anguko la aibu kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.

Naiomba Polisi na vyombo vya usalama vikae pembeni vilinde uamuzi wa wananchi.

Hii itathibitisha kwamba chama changu CCM kimeshinda kwa halali na kukakata ngebe za upinzani.

Hashtag #tanpolstayawaywithourpolls also #wearebornfree

Vyombo vya usalama na sisi wananchi tunaipenda CCM mno tuiache isimame yenyewe.
Huo no ufinyu wa fikra
 
Umesema kweli tupu kwamba CCM itashinda kwa 99% kwa sababu nia, uwezo inao tena mkubwa. Kwa Mara ya Kwanza toka mfumo wa vyama vingi uanze CCM imekuwa ni sehemu ya kila mtanzania.

Uliposema vyombo vya ulinzi vikae pembeni ndio umepotosha. Polisi haijawahi kuwa mbereko ya CCM na hii ndio sifa kubwa ya kujivunia. Kinachofanyika ni kulinda mchakàto mzima wa uchaguzi ili usitibuliwe na wahuni.
 
Mimi ni mwanachama wa CCM kwa muda wa miaka mingi sana. Ninajua tutashinda, lakini tukishinga kwa zaidi ya 70% tumeiba kura ama wapinzani wamejitoa kwenye uchaguzi.

Siasa za karne na hakuna nchi duniani ambapo chama kinaweza kupata zaidi ya 60 to 70 % ya kura zote zinazopigwa.

Tuwe wakweli, haiwezekani hata kidogo, wale 6m waliopigia kura upinzani, leo wote wamerudi ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri, wanataka kutuaminisha kwamba walirudi na Lowasa
 
Umesema kweli tupu kwamba CCM itashinda kwa 99% kwa sababu nia, uwezo inao tena mkubwa. Kwa Mara ya Kwanza toka mfumo wa vyama vingi uanze CCM imekuwa ni sehemu ya kila mtanzania.

Uliposema vyombo vya ulinzi vikae pembeni ndio umepotosha. Polisi haijawahi kuwa mbereko ya CCM na hii ndio sifa kubwa ya kujivunia. Kinachofanyika ni kulinda mchakàto mzima wa uchaguzi ili usitibuliwe na wahuni.

Watu wengine sijui mnakaa mwezini
 
Nakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.

Naiomba Polisi na vyombo vya usalama vikae pembeni vilinde uamuzi wa wananchi.

Hii itathibitisha kwamba chama changu CCM kimeshinda kwa halali na kukakata ngebe za upinzani.

Hashtag #tanpolstayawaywithourpolls also #wearebornfree

Vyombo vya usalama na sisi wananchi tunaipenda CCM mno tuiache isimame yenyewe.
Unamiini kwa asilimia ngap uchaguz hautakuwa wa uchakachuaji?

from mudi kidato
 
Mwambieni M/K wa ccm Taifa itakapokaribia muda wa kampeni kamwe asiwaite Wakurugenzi wa Halmashauri pale Ikulu kama alivyofanya kwa Watendaji Kata. Hapo mtashinda kwa %.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mwanachama wa CCM kwa muda wa miaka mingi sana. Ninajua tutashinda, lakini tukishinga kwa zaidi ya 70% tumeiba kura ama wapinzani wamejitoa kwenye uchaguzi.

Siasa za karne na hakuna nchi duniani ambapo chama kinaweza kupata zaidi ya 60 to 70 % ya kura zote zinazopigwa.

Tuwe wakweli, haiwezekani hata kidogo, wale 6m waliopigia kura upinzani, leo wote wamerudi ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huamini hata kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa mlipata 99.9 % kama ilivyotangazwa na Mtukufu Jaffo ?
 
Nakubaliana na tafiti za watu mbalimbali kwamba CCM ITASHINDA KWA 99% hii ni kweli na mimi kama superbug naiamini CCM ila naomba niuthibitishie umma kwamba CCM inapendwa sana Tanzania.

Naiomba Polisi na vyombo vya usalama vikae pembeni vilinde uamuzi wa wananchi.

Hii itathibitisha kwamba chama changu CCM kimeshinda kwa halali na kukakata ngebe za upinzani.

Hashtag #tanpolstayawaywithourpolls also #wearebornfree

Vyombo vya usalama na sisi wananchi tunaipenda CCM mno tuiache isimame yenyewe.
Hizo 99.9% ni pamoja na Tume ya Uchaguzi,Vyombo vya Usalama,Wakurugenzi,Watendaji mitaa na Vijiji ,Ofisi kuu ya Bao la Mkono,Nape+Kinana =Oyeeeer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom