CCM Lumumba zimejaa Toyota Landcruiser mkonga nje za Wenyeviti wa mikoa. Ni vema CHADEMA wakajifunza matumizi mazuri ya ruzuku

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,439
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,439 2,000
Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi.

Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa na serikali.

Kiukweli Chadema jifunzeni kutoka CCM wanunulieni magari tena imara wenyeviti wenu wa kanda hawa akina Suleiman Methew badala ya kuwaacha watumie bodaboda.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
 
Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
3,774
Points
2,000

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
3,774 2,000
Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi.

Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa na serikali.

Kiukweli Chadema jifunzeni kutoka CCM wanunulieni magari tena imara wenyeviti wenu wa kanda hawa akina Suleiman Methew badala ya kuwaacha watumie bodaboda.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Mimi naamini ccm wangekuwa na matumizi mazuri ya ruzuku then wakawa na viongozi professional, vikao vya kamati kuu visingefanyikia ikulu kwa sababu yoyote ile,skendo kama za EPA,ESCROW nk zisingekuwepo na mali zingine za umma zisingetumika kufanya kazi za ccm,sorry nimesahau kuwa wizi wa mali ya umma ni sera ya siri ya ccm
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
9,606
Points
2,000

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
9,606 2,000
Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi.

Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa na serikali.

Kiukweli Chadema jifunzeni kutoka CCM wanunulieni magari tena imara wenyeviti wenu wa kanda hawa akina Suleiman Methew badala ya kuwaacha watumie bodaboda.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
dah, comrade Fatuma bana kumbe upo chamani lakini mambo mengi hujui aisee..... mbona huku kwetu CCM huwaga tunajichoteaga tu pale hazina kwa mpwa wa mwenyekiti wetu?
 
mwananyaso

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
1,816
Points
2,000

mwananyaso

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
1,816 2,000
Hapa hawaji ,tegemea matusi lukuki
Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi.

Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa na serikali.

Kiukweli Chadema jifunzeni kutoka CCM wanunulieni magari tena imara wenyeviti wenu wa kanda hawa akina Suleiman Methew badala ya kuwaacha watumie bodaboda.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
myoyambendi

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
86,834
Points
2,000

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
86,834 2,000
Nipo hapa Lumumba kwa kweli pamependeza kila mwenyekiti wa CCM mkoa amefika na Toyota " mkonga nje" ambazo wanazitumia kukagua utekelezaji wa ilani ya chama hadi katika maeneo yasiyofikika kirahisi.

Haya magari yote ni mali ya chama na huu ni mfano mzuri wa matumizi sahihi ya ruzuku inayotolewa na serikali.

Kiukweli Chadema jifunzeni kutoka CCM wanunulieni magari tena imara wenyeviti wenu wa kanda hawa akina Suleiman Methew badala ya kuwaacha watumie bodaboda.

Ni hayo tu kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Magari ya CCM na sera zao, CHADEMA wana sera zao. kujifunza ya ccm ina maana hamna tena chadema!!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,439
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,439 2,000
..kwanini CCM mnatumia magari ya kifahari wakati kuna wanafunzi wengi wanakaa sakafuni, na shule hazina vyoo?
Hiyo ni ruzuku ambayo inatumika kurahisisha mawasiliano kati ya chama na wananchi.

Chadema mnapata zaidi ya sh milioni 300 kila mwezi mnazipeleka wapi?
 
JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
17,570
Points
2,000

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
17,570 2,000

..ccm mnapata mara 4 ya wanachopata CDM, which should be around 1.2 billion.

..sasa kwanini viongozi mtembelee magari ya kifahari, na mkae ktk ofisi zenye viyoyozi, wakati wananchi mnaowaongoza wanaishi ktk lindi la umasikini?

..kwanini hiyo 1.2 billion msitumie kuboresha shule zetu zilizoelemewa na wingi wa wanafunzi? Au kwanini msianzishe skimu za kilimo cha umwagiliaji ili vijana wapate ajira?
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,439
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,439 2,000
..ccm mnapata mara 4 ya wanachopata CDM, which should be around 1.2 billion.

..sasa kwanini viongozi mtembelee magari ya kifahari, na mkae ktk ofisi zenye viyoyozi, wakati wananchi mnaowaongoza wanaishi ktk lindi la umasikini?

..kwanini hiyo 1.2 billion msitumie kuboresha shule zetu zilizoelemewa na wingi wa wanafunzi? Au kwanini msianzishe skimu za kilimo cha umwagiliaji ili vijana wapate ajira?
Mapato ya CCM ni zaidi ya sh 59 bilioni kwa mwaka......so wana uwezo hata wa kununua ndege wakitaka!
 
JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
17,570
Points
2,000

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
17,570 2,000
Mapato ya CCM ni zaidi ya sh 59 bilioni kwa mwaka......so wana uwezo hata wa kununua ndege wakitaka!
..59 billion + ruzuku 14.4 billion = 73.4 billion.

..viongozi wa ccm wasingekuwa walafi na wabinafsi wanachama wa kawaida wangeweza kupata ahueni ktk maisha yao.
 
Forum statistics

Threads 1,391,865
Members 528,491
Posts 34,092,257
Top