Hakuna haja ya kuchagua wapinzani maana wananunulika kama bidhaa za Madukani 2020 ni kuchagua CCM tu kwa 100%

Kama wananchi wanawachagua wapinzani hafu hao wapinzani wanafika bei kwa nini nichague mtu anayefika bei kirahisi

Mtanzania mwenzangu huu mwaka 2020 Tusirudie kosa tuichagueni CCM kwa 100%
100%

Kama wao wananunuliwa nirahisi sana kuuza maliasili zetu zote na watamalizia kuuza nchi. Kwani shida yao kubwa ni pesa

Kuchagua upinzani kwa tafsili rahisi ni kuchagua bidhaa zinazonunulika na siyo kuchagua viongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zambi mbaya Sana kukubali kununuliwa na kununua .Ni ukatili dhidi ya demokrasia, ukatili dhidi ya matazamio ya watu.
 
Kama wananchi wanawachagua wapinzani hafu hao wapinzani wanafika bei kwa nini nichague mtu anayefika bei kirahisi

Mtanzania mwenzangu huu mwaka 2020 Tusirudie kosa tuichagueni CCM kwa 100%
Mpinzani gani aliyenunulika? Hao wote unaoona wamerudi ccm ni wale waliokatwa na ccm 2015, upinzani kwa kuwahurumia wananchi ambao walikuwa wanawapenda hao waliokatwa wakaamua kuwapa nafasi ili wawatumikie wananchi. Tatizo njaa za tumbo zimewazidi
 
Waitara alikatwa? Vipi kuhusu marwa ryoba
 
Kama wananchi wanawachagua wapinzani hafu hao wapinzani wanafika bei kwa nini nichague mtu anayefika bei kirahisi

Mtanzania mwenzangu huu mwaka 2020 Tusirudie kosa tuichagueni CCM kwa 100%
Kwa hiyo tufute uchaguzi ili pesa ijenge miundo mbinu?
Lakini tukiachia chama kimmoja nani atakiwajibisha?
Je kama tugesoma shuleni bila kufanya mtihani,tungejuaje kama tumefaulu masomo?
Tuache kujidanganya watawala na wapinzani wanategemeana kutuletea maendeleo na demokrasia pana.
 
100%

Kama wao wananunuliwa nirahisi sana kuuza maliasili zetu zote na watamalizia kuuza nchi. Kwani shida yao kubwa ni pesa

Kuchagua upinzani kwa tafsili rahisi ni kuchagua bidhaa zinazonunulika na siyo kuchagua viongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Anayewanunua anaenda kuwafanyia nini?Wengine si wamepewa teuzi kwenye nafasi nyeti?Umewahi kumuuliza anayewanunua wapinzani anapata wapi fedha na faida aipatayo?
 
Sina haja ya kujua anaewanunua anaenda kuwafanyia nini. Lakini pia sina haja ya kujua anaewanunia anatoa wapi pesa ya kiwanunua. Bali nimachojua ni kuwa wapinzani wananunuliwa hivyo hawafai kupewa mamlaka ya kuiongoza nchi kwani wakionyeshwa pesa tu wanabadili mwelekeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom