Ni hawa hawa Wanamtandao waliomfurusha Shibuda CCM alipotaka kugombea urais 2010 lakini leo wameshasahau

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,902
141,842
Chadema mwaka 2010 walimpokea John Shibuda aliyetimuliwa CCM baada ya kwenda kinyume na tamaduni za uchaguzi chamani.

Shibuda alipewa fursa ya kugombea ubunge huko Shinyanga na kufanikiwa kushinda baada ya changamoto nyingi zilizosababishwa na mshindani wake kutoka CCM ndugu Kisena.

Ni katika kukumbushana tu maana wengine ni wasahaulifu.

Maendeleio hayana vyama!
 
Aisee nakumbuka ni kweli kabisa.....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Is B > A??
choose B.
It is all about profitable business.Nothing personal.
NB
nyani halioni kundule
 
Mara uje na id ya Etwege mara sijui maendeleo hayana vyama threads nyingi kwa siku. Utadhan unataga na kama unataga lazima utage mayai yako humu jamvini??!

UNAKERA
Hiyo ni mashine ya umbea
IMG-20200211-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom