DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,356
- 83,329
Nashangaaga mtu akisema CCM kutoka madarakani haiwezekani.
Watu tusikae kwa kukariri serikali Ikiweza kusambaza civil Education kwa Jamii nzima basi CCM bye bye.
Sisi vijana ambao tunaipenda Chadema kinachotuharibia nikutokupiga kura.
My advice: Chadema naomba muwasistize vijana kupiga kura, pia hakikisheni uwepo wa independent committee baada ya hapo tuje tuone CCM wanaendeleaje kukaa kwenye power.
Tanzania bila CCM inawezekana. CCM ni chama cha watu wavijijini na watafuta Fursa.
Chadema ni chama cha vijana wasomi na watu wanaojitambua; sitegemei kijana From 18-28 akaichagua CCM na ndo idadi kubwa yawapiga kura wote.
See you again CCM