CCM according to its action,is dancing to devil`s tune,the dance which will eventually lead to its downfall

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,574
Reaction score
164,454
Hivi ndivyo naweza kusema kuhusu chama hiki cha kijani ambacho,kwa matendo yake, kinaonekana kukosa maarifa na sasa kinacheza tu muzik unaopigwa na devil,muziki ambao,japo wao wanaufurahia,lakini mwisho wa siku utapelekea anguko lao.

Midundo inayopigwa na devil na wanayoonekana kuifurahia na inayoweza kuja kuwaangusha na hii:
1.Kununua mamluki wakiamini ndio chama chao kitakubalika
2.Kunyanyasa wenye mawzo tofauti na wao
3.Kuwapa kisogo watumishi
4.Kutotimiza ahadi zao kama ile ya kutoa mshiko kwa kila kijiji
5.Kujali vitu kuliko watu
6.Poor handling ya covid-19
7.Kuziba watu midomo
8.Kuminya uhuru wa watu
9.Kukosekana kwa checks and balance
10.Shughuli za Mjengoni kufanyika gizani.
11.Kubambikia watu makesi
12.Kuharibu mahusiano na wanaowasaidia na sasa hata majirani zao
13.Kutokuwa wakweli.
14.Kupora na kuvuruga chaguzi
15.Kunyanyasa na kutesa watu,n.k.

Baada ya hii midundo wanayoifurahia,kinachofuata ni anguko lao.

Devil,keep on playing the music for them to continue dancing till it is late into the night.
 
Hivi ndivyo naweza kusema kuhusu chama hiki cha kijani ambacho,kwa matendo yake, kinaonekana kukosa maarifa na sasa kinacheza tu muzik unaopigwa na devil,mziki ambao,japo wao wanaufurahia,lakini mwisho wa siku utapelekea anguko lao.

13.Kutokuwa wakweli,n.k

Baada ya hii midundo wanayoifurahia,kinachofuata ni anguko lao.

Time wil tell
Unamwamsha alielala?
 
15.Kunyanyasa na kutesa watu

Baada ya hii midundo wanayoifurahia,kinachofuata ni anguko lao.

Time wil tell
Hayo yote ni matendo ya shetani.
Wakiacha urafiki na shetani, wakaacha ngoma, imani, na vitimbwi vyake.
Wakamwacha kabisa shetani na matendo yake kutokea kwenye mioyo yao.
Nchi hii itakuwa yenye baraka, upendo na amani ya kweli.
Nchi yenye katiba na sheria inayolinda na kutoa haki kwa wananchi bila ya ubaguzi wa aina yoyote.
Tutakuwa na taifa moja lenye raia wakweli na wenye furaha.
Ameen.
 
Hivi ndivyo naweza kusema kuhusu chama hiki cha kijani ambacho,kwa matendo yake, kinaonekana kukosa maarifa na sasa kinacheza tu muzik unaopigwa na devil,muziki ambao,japo wao wanaufurahia,lakini mwisho wa siku utapelekea anguko lao.

Midundo inayopigwa na devil na wanayoonekana kuifurahia na inayoweza kuja kuwaangusha na hii:
1.Kununua mamluki wakiamini ndio chama chao kitakubalika
2.Kunyanyasa wenye mawzo tofauti na wao
3.Kuwapa kisogo watumishi
4.Kutotimiza ahadi zao kama ile ya kutoa mshiko kwa kila kijiji
5.Kujali vitu kuliko watu
6.Poor handling ya covid-19
7.Kuziba watu midomo
8.Kuminya uhuru wa watu
9.Kukosekana kwa checks and balance
10.Shughuli za Mjengoni kufanyika gizani.
11.Kubambikia watu makesi
12.Kuharibu mahusiano na wanaowasaidia na sasa hata majirani zao
13.Kutokuwa wakweli.
14.Kupora na kuvuruga chaguzi
15.Kunyanyasa na kutesa watu,n.k.

Baada ya hii midundo wanayoifurahia,kinachofuata ni anguko lao.

Devil,keep on playing the music for them to continue dancing till it is late into the night.
Salary Slip nimefurahi sana kuona sisi wana CCM tumewazidi mawazo mitandaoni na mitaani. Hakika sasa hivi ukienda kariakoo na uanze kumtukana Dkt Magufuli lazima uuawe kwa kupigwa mawe, watanzania wa sasa wanajitambua. Poleni maana hata mwenyekiti wenu wa kikundi cha kigaidi alitegemea watu waandamane kumuunga mkono lockdown ila kaambulia patupu, kafukuza watu ila hawatafukuzwa na bunge mpaka walambe pensheni na kale kamchango ka kinyonyaji kakakosa, na hayo majimbo including jimbo lake lazima CCM tulichukue, akome na wewe mkome kutumikia watu wa nje
 
The end justifies the means.

Tusubiri mwisho utakuwaje maana kwa sasa bado ni mapema sana..
 
Bwashee sasa wewe una mbinu gani za kupambana na ccm?

Juzi tu hii kiki ya kujikarantine umeona mwenyewe ilivyowavuruga!
Tuache masihara mtani una hali mbaya!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Well mbinu yangu haitakuwa ya Manunuzi ila na sina Polisi wa kunibeba ila Fungueni mikutano ya siasa ni hicho tu ndio ninachokitaka
 
Hayo yote ni matendo ya shetani.
Wakiacha urafiki na shetani, wakaacha ngoma, imani, na vitimbwi vyake.
Wakamwacha kabisa shetani na matendo yake kutokea kwenye mioyo yao.
Nchi hii itakuwa yenye baraka, upendo na amani ya kweli.
Nchi yenye katiba na sheria inayolinda na kutoa haki kwa wananchi bila ya ubaguzi wa aina yoyote.
Tutakuwa na taifa moja lenye raia wakweli na wenye furaha.
Ameen.
Ubarikiwe sana
 
The end justifies the means.

Tusubiri mwisho utakuwaje,.
Mkuu usipoteze muda, kuna watu wana IQ kubwa sana wanafanya kazi 24/7, kila unachokiwaza kilishapigiwa mahesabu, kama una kereka kufa tu maana Tanzania will never ever again kuwa kichwa cha mwendawazimu, ila mnaotaka tuharibikiwe you will all die for the sake of Mother Tanzania. Angalia list ya wale miamba waliojifanya bila wao no Tanzania na walitaka kuendeleza business as usual wapo wapi????? So be careful, hii nchi sasa ipo mikononi mwa Mungu, kila anayesimama mbele kupinga ni kama alivyopata kusema shekhe wa mka wa Dsm
 
Dkt Magufuli lazima uuawe kwa kupigwa mawe, watanzania wa sasa
Mabutu seseseko pia kuna kipindi ilikuwa ukimsema vibaya Wazairwaa walikuwa wanaweza kukuuwa ila muda ulipofika
 
Hivi ndivyo naweza kusema kuhusu chama hiki cha kijani ambacho,kwa matendo yake, kinaonekana kukosa maarifa na sasa kinacheza tu muzik unaopigwa na devil,muziki ambao,japo wao wanaufurahia,lakini mwisho wa siku utapelekea anguko lao.

Midundo inayopigwa na devil na wanayoonekana kuifurahia na inayoweza kuja kuwaangusha na hii:
1.Kununua mamluki wakiamini ndio chama chao kitakubalika
2.Kunyanyasa wenye mawzo tofauti na wao
3.Kuwapa kisogo watumishi
4.Kutotimiza ahadi zao kama ile ya kutoa mshiko kwa kila kijiji
5.Kujali vitu kuliko watu
6.Poor handling ya covid-19
7.Kuziba watu midomo
8.Kuminya uhuru wa watu
9.Kukosekana kwa checks and balance
10.Shughuli za Mjengoni kufanyika gizani.
11.Kubambikia watu makesi
12.Kuharibu mahusiano na wanaowasaidia na sasa hata majirani zao
13.Kutokuwa wakweli.
14.Kupora na kuvuruga chaguzi
15.Kunyanyasa na kutesa watu,n.k.

Baada ya hii midundo wanayoifurahia,kinachofuata ni anguko lao.

Devil,keep on playing the music for them to continue dancing till it is late into the night.
Ukisoma report ya CAG utajua jinsi awamu hii inavyovuruga mambo. Uozo uliotolewa na CAG April kwa bahati mbaya watu hawakuusikia kwasababu ya taharuki ya corona ila kuna mambo ya kutisha sana.
 
Back
Top Bottom