Propaganda za CCM zinawafanya Watanzania waamini kuwa hakuna korona nchini

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Viongozi wa CCM wanashangaza, wanatuhimiza kunawa mikono, kuvaa barakoa, kuepuka mikusanyiko na kukaa Nyumbani Kama hauna sababu ya kutoka, lakini wakati huo huo wanatuambia kuwa Tanzania Hakuna korona.

Cha kushangaza idadi ya Madereva wanaopimwa na kukutwa na virus vya korona kwenye mipaka ya nchi jirani Kama Kenya, Uganda na Rwanda inatisha sana na inatufanya tuamini kuwa korona imeshakuwa kubwa kuliko kawaida hasa ukiamua kutumia Madereva hao kama sample.

Mimi nasubiri Rais wangu arudi Dar ndo na mini nitajuwa Tanzania hamna korona.
 
Viongozi wa CCM wanashangaza, wanatuhimiza kunawa mikono, kuvaa barakoa, kuepuka mikusanyiko na kukaa Nyumbani Kama hauna sababu ya kutoka, lakini wakati huo huo wanatuambia kuwa Tanzania Hakuna korona.
Cha kushangaza idadi ya Madereva wanaopimwa na kukutwa na virus vya korona kwenye mipaka ya nchi jirani Kama Kenya, Uganda na Rwanda inatisha Sana na inatufanya tuamini kuwa korona imeshakuwa kubwa kuliko kawaida hasa ukiamua kutumia Madereva hao Kama sample.

Mkuu unaweza kutubandikia tamko lao na source ya kuwa Tanzania hamna Corona?!
Nadhani hapo umewasingizia.
 
Corona ipo lakini huku wilayani hatuioni,hatuna mgonjwa hatuna kifo,na ki ukweli hata mask majority hawavai Ila watu wengi wamepunguza misongamano na sasa wananawa mikono.hapo ndio watu wanaamini maneno ya mh RAIS JPM kuwa ni mafua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hizo propaganda za kisiasa

Back
Top Bottom