ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020 CCM tayari wako ngazi moja juu ya wapinzani wao.

  2. JamiiForums Tanzania CCM isiwatupe wana Chadema na wapinzani wengine walioenda huko, itawamaliza kisiasa, wapewe nafasi 40 ubunge

    Hali ya kisiasa kwa wanaChadema walioenda CCM si nzuri kwa kweli. Hofu kubwa ni kugeukwa na CCM, na wakigeukwa tu basi itakuwa ndio mazishi yao ya kisiasa. Huku hofu ni kubwa ya kukatwa jina. Wengi ni wageni hawana mtandao wa kura ndani ya CCM, jamani CCM msiwatupe, vikao vya juu viwakate...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 RC Makonda: Waendesha bodaboda wajitokeze kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu kupitia CCM

    Hiyo ndio kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda akiwataka waendesha boda boda wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi mkuu kupitia CCM. Anasema CCM kuna Demokrasia ya kutosha hivyo basi ni haki yao kugombea. Maoni Yangu Hiki nacho ni kituko...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea

    Membe anasema: Kuhusu kugombea ndani ya CCM: Kuhusu kugombea ndani ya CCM, tukafikia mwafaka na Washauri, Tukafikia uwamuzi kwamba, sisi hatujamkosea mtu, sisi hatujawa waharifu, sisi hatuna uoga na tunaniamini, sisi tuna haki kabisa kabisa ya kugombea urais huu kwa sababu tunalindwa na Katiba...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

    Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM. Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni. Maoni yangu: Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hili la Jecha kuchukua fomu limeitia doa kubwa CCM

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Sote tunafahamu utata mkubwa uloiojitokeza mwaka 2015, na nafasi ya Jecha katika utata huo. CCM kama chama tawala ambacho kinajinasibu kukubalika na wananchi na ambacho kinda kushinda kwa kura halali, hakikutakiwa kujihusisha na mtu kama Jecha. Ukila na kipofu...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

    CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu karibu CCM

    Awali ya yote namshukuru Mungu Mwenyezi Mwenye Nguvu zote aliyotenda Muujiza ambao kila mtanzania mwenye macho aliona. Uhai wako ulikuwa kitu Cha thamani sana kwa sababu maalumu. Kwaniaba ya Chama Changu Cha Kidemokrasia, Chama Cha Mapinduzi niseme maneno machache karibu CCM. Karibu uitumie...
  9. JamiiForums Tanzania "I'm sorry my President" Pamoja na juhudi zote zile tumewavua wapinzani dhaifu na wasaka tonge pekee! Hii ndiyo ilikuwa air time yetu CCM ujue!

    Sasa Rais wangu unategemea kuanzia mwaka 2021 hadi 2025 tutapata wapi wenye uthubutu wa kuunga mkono juhudi? Yani pamoja na juhudi, nguvu, ushawishi, mafweza, kupitishwa bila uchaguzi ndani ya chama, kuhakikishiwa ulaji hadi mwaka 2025 kweli tumeibuka na wale kina yakhe? Pamoja na kutoa ofa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Kule Moshi manispaa diwani wa CCM kata ya pasua na boma mbuzi wagawa vifaa vya covid 19 ikiwa no sehemu ya rushwa kampeni za ubunge

    Kuelekea uchaguzi mkuu October Moshi yametokea mengi kupitia wanaotaka kugombea ubunge Jimbo la Moshi mjini.kule kata za pasua na boma mbuzi madiwani wanaogawa vifaa vya kujikinga na corona wakati huo huo wakiomba Kura za ubunge .wakati huo huo wafuatao wako mitaani kuomba Kura na kugawa rushwa...
  11. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya CCM Bara katika picha

  12. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM yaanza kampeni kimya kimya. Tulia aanza kula kwa Mama Lishe, wananchi waziponda mbinu hizo; yadaiwa zimepitwa na wakati

    Kitendo cha viongozi wake kuzunguka mitaani bila jambo lolote la Msingi huku wakizongwa na wafuasi waliobeba bendera za chama chao kimetafsiriwa kama ni ishara ya kuanza kampeni kabla ya muda . Hii ni kinyume kabisa cha sheria za uchaguzi ambapo kampeni zinapaswa kufanyika katika muda...
  13. JamiiForums Tanzania Kutamalaki Demokrasia: CCM iwatie moyo Wanachama kuchukua fomu za Urais

    Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana. Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka alama 'Jembe na Nyundo' hadi kuwa alama ya 'Jiwe'"

    Habani wana JF Toka enzi za TANu kabla na baada Uhuru wa Tanganyika hadi kuzaliwa kwa CCM, chama hiki kimekuwa kikijinasibu kuwa ni chama cha kutetea maslahi ya Wakulima na Wafanyakazi wa nchi hii! Tangu Serikali ya awamu ya Rais Magufuli maarufu a.k.a Jiwe iingie madarakani Wakulima Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Namba 12: Haji Rahid Pandu amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Haji Rahid Pandu amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Ni mgombea wa 12 kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hapa Iringa kama CCM mmekosa mgombea ubunge, basi tutamuomba Kasesela agombee akatuwakilishe bungeni

    Iringa siyo mkoa wa mchezo mchezo. Najua kwamba Balozi Augustine Mahiga (RIP) ndio angechukua ubunge wa hapa lakini Mungu amempenda zaidi. Sasa kuna azunguka zunguka kudai kimetumwa na mwenezi kugombea, niseme tu Iringa hatutarudia makosa kama CCM mmechemka kabisa; hata Salim hana nia ya...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baadhi ya wana CCM wanaotafuta nafasi za Ubunge, wameanza usumbufu wa rushwa

    Baadhi ya wana CCM wanaotafuta nafasi za Ubunge, wameanza usumbufu. Mimi siyo mwana CCM lakini leo napigiwa na mtu anayejitambulisha ni Mkurugenzi wa Halmashauri na anataka kugombea na anaomba support yangu. Namuuliza simu yangu kapata wapi? Anaomba niwe mpole tu tuelewane. Nauliza mbona mapema...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Serikali ijayo itafuata " kikamilifu" itikadi ya Ujamaa na Kujitegemezi. Je, CCM kuna vijana wazalendo wa kumsaidia Rais Magufuli?

    Maandalizi yote ya kuirejea itikadi ya Ujamaa na Kujitegemea kivitendo kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Nyerere yamekamilika. Kwa sasa tuna ATCL ni yetu 100&, tunamiliki TTCL 100%, Tanesco 100%, Mamlaka za maji 100%, TRC 100%. Tunakwenda kuwa na benki yetu ya biashara kubwa mbadala wa NBC, TPDC...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo picha Zanzibar CCM Urais itachezwa

    Igweee! CCM ndio chama lao full jasusi kukitetea chama na kamwe hawajashindwa. Hii Ramani ndio ya mchezo mzima plz do not ask me more question. Baada watoto wa vigogo kuingia ulingoni na kuusaka urais CCM, kama kawa wanatengeneza mpango wa kufanya kazi kuwa rahisi kama sio lahisi. Watoto wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…