G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,555
- 35,880
Sasa Rais wangu unategemea kuanzia mwaka 2021 hadi 2025 tutapata wapi wenye uthubutu wa kuunga mkono juhudi?
Yani pamoja na juhudi, nguvu, ushawishi, mafweza, kupitishwa bila uchaguzi ndani ya chama, kuhakikishiwa ulaji hadi mwaka 2025 kweli tumeibuka na wale kina yakhe? Pamoja na kutoa ofa nyingine ya uwaziri kwa mlevi mmoja ili tu tuwavute bado tukaibuka na kakundi la aina ile? TWAFAA!
Rais wangu, sasa tuna lipi lingine la kufanya? Hakuna! Yani upinzani strong umebakia huko na mbaya zaidi wamo makinda kibao wanazaliwa kwao. Pia humu ndani tuna mamluki kibao wako nao. Nakwambia tena mkuu wangu, TWAFAA! Haiwezekani eti leo Waitara awe ndiyo asset yetu pamoja na kutumia mbinu za kila hali na mali.
Yani tunaingia kwenye uchaguzi mkuu na Chadema strong, ACT strong huku wanaotuunga mkono kutoka huko wakiwa hawana hata uhakika wa kura 100 nchi nzima? Dah TWAFAA!
Rais wangu, huko majimboni tuna hali mbaya sana. Wabunge wetu wanaokubalika moja kwa moja hawazidi 50. Na waliohamia huko majimboni ndiyo hata watu hawana time nao. Hili linatuaumbua sana sisi timu JeiPiEmu.
Na inaonekana wapo tayari kwa mbwai kama tutawazingua oktoba maana wengine tumewakatili hata uhai na wakapona hivyo cha kupoteza hawana tena. Wanaungwa mkono huko nje ambapo sisi tuna maproblemu kibao. Tumewatukana sasa wakikinukisha si watakuwa timu kubwa ageinisti azi? Mimi bwana kwa kuwa ulilipika mwenyewe bila kunishirikisha na ukalikoleza chumvi haliliki tena, nimeamua kukuachia upambane nalo.