ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Singida Magharibi wananchi wamlilia Hamisi Lissu Mahanju wa CCM kuhusu ubunge, wadai Kingu ni mwongo

    Na Fundi Madirisha, Muhintiri-Ikungi-Sigida. Katika harakati zangu za kupitapita katika kila kona ya jimbo la Singida Magharibi ili kujipatia taarifa muhimu juu ya mwenendo wa siasa za jimbo ambalo limekua chini ya CCM tangu Uhuru, inaonekana wananchi wa eneo hili wamechoka sana...
  2. JamiiForums Tanzania Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

    Mbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja. WASIFU Dkt. Hussein Ali Mwinyi ni Waziri wa...
  3. JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kama ni kweli mmependekeza iwe hivi basi mnaenda kutengeneza Makundi na Mpasuko baina yenu

    Akina Mzukulu tupo pale mlipo na tutaendelea kuwepo hadi Jumapili ijayo huko Dodoma ila nimesikitishwa mno na Mapendekezo yenu ya Kiuwoga kuwa Mmekubaliana na uliokuwa pia Mtazamo wangu kuwa Profesa Makame Mbarawa awe Isles next CCM Flag bearer kwa mwaka 2020 lakini eti kwa Kumpoza Mzee Mwinyi...
  4. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wilhelmon Mayo, Mtia nia wa ubunge jimbo la Babati Mjini, Manyara

    Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na anayeshirikiana na wananchi katika maisha ya kila siku. Mtu kama huyo ndio anayehitajika na anayetafutwa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 John Cheyo: Mimi ndiye mwenyekiti wa UDP, Nitashawishi tumuunge mkono Rais Magufuli

    " Mimi ndiyo mwenyekiti nitashawishi vikao vyote vya UDP kwamba @ccm_tanzania wakimteua @MagufuliJP kuwa mgombea Urais na sisi tutamuunga mkono lakini wasipomteua basi tutaangalia namna nyingine " - John Cheyo, Mwenyekiti wa UDP. EastAfrikaRadio Kuna Mtu Mmoja aliwahi Kuniambia kuwa Mzukulu...
  6. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Dkt. Chiduo (Marehemu) Gairo yapata Dkt. Joel Mmassa mhadhiri UDOM kunyukana kura ya maoni CCM na tajiri wa Gairo mhe. Shabiby

    Na mwandishi wetu Jimbo la Gairo mkoani Morogoro ni kati ya majimbo nchini yatakayokuwa na upinzani mkali. Tajiri wa kampuni ya mabasi ya abiria Ahmed Shabiby awamu hii anakabiliwa na upinzani mkali jimboni kwake. Mtoto wa mwalimu mstaafu na mzee maarufu wa Gairo Mzee Johnson Mmassa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 WanaCCM walioichafua CCM 2015 hawana moral Authority ya kurejea 2020

    Wapo wana CCM walioamua kuichafua CCM Mwaka 2015 kisa ni maslahi yao binafsi (sio kufuta upepo wa Lowassa) yaani waliamua kufanya fitina ili CCM ianguke ingawa CCM haikunga ili survive ..ilipambana na baada ya hapo wana CCM hawa wakarejea kinafiki ndani ya CCM na kuanza tena tabia zao chafu za...
  8. JamiiForums Tanzania Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa

    Wanafunzi wapatao 733 wa shule ya msingi Mlali iliyopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wanalazimika kukalia viroba juani kutokana na madarasa waliyokuwa wakitumia kuchakaa kisha kubomolewa tangu mwezi Februari mwaka huu. Chanzo: ITV Tanzania Mzukulu ninavyojua tu ni kwamba Maendeleo na...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Steven Nyerere aibua kiroroja: Atinga ofisi za CCM kuchukua fomu ya Ubunge. Hakujua muda bado ila alipaswa kutangaza nia tu?

    Kuna video inatembea ikomuonesha Steve Nyerere akijinadi kufika ofisi ile kuchukua fomu ya Ubunge. Hivi hakumuelewa Dkt. Bashiru aliposema ni kuulizia tu utaratibu wa kugombea na kutangaza nia? Fomu zitatolewa kuanzia tarehe 14 hadi 17 July kupitia CCM.
  10. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watu Makini wako Chimbo, kipyenga kikilia taharuki itawamaliza zaidi CCM ya sasa!

    Hotuba za Uchaguzi na Ilani zinaandaliwa kwa umakini wa hali ya juu. Nimechungulia ya Chama kimoja - wameshindwa kukosoa asilimia 18 tu yaliyowekwa kwenye Ilani ya CCM inayomalizika yameshindwa kutekelezwa. Kwa maana hiyo katika Sehemu ya Utangulizi wa Ilani ya Chama hicho imeeleza vema jinsi...
  11. JamiiForums Tanzania TAKUKURU Shinyanga inamshikilia Joseph Jonas Tasia kwa kukutwa na doti mia sita (600) za vitenge vyenye nembo ya Chama Cha Mapinduzi na vya kawaida

    TAKUKURU mkoa wa Shinyanga katika ufatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa viongozi, manao tarehe 29/06/2020 majira ya saa tatu usiku mtaa wa Mwasele B nyumbani kwa Joseph Jonas Tasia ilikamata doti mia sita za vitenge zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi na vya kawaida vikiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wengi wataikumbuka CHADEMA huku wakilia na kusaga meno, CCM ina wenyewe

    Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1992, CHADEMA ina udhaifu mkubwa mmoja: kuwaamini watu haraka;kuwapa sapoti kubwa na kuwapa maisha. Ndiyo maana, CHADEMA haiishi kupokea wanaokatwa CCM na kuwapa nafasi za kugombea Urais, Ubunge na Udiwani. Hiyo ni kuanzia uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Nakukumbusha Kitila Mkumbo , kwamba 2015 CHADEMA ilimshinda Didas Masaburi wa CCM kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu 10

    Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini nakutahadharisha kwamba Ubungo si Jimbo jepesi na hasa kwa wanasiasa wasaliti kama wewe . Mtoto wa Mjini ...
  14. JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kunaanza kufuka moshi

    Urais Zanzibar 2020: Makundi yanavyohaha kuzuia mabadiliko! 1 July 2020 Oktoba mwaka huu wapiga kura wa Zanzibari tutamchagua Rais mpya, akiwa ni Rais wa nane tangu Mapinduzi Matukufu ya mwaka 1964. Uchaguzi wa Rais Zanzibar mwaka huu pengine utaingia katika rekodi ya namna yake kwani kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni CCM kila kona, Wagombea Vyama vingine wako wapi?

    Naangalia mitandao na magazeti na vyombo vya habari. KIla sehemu wananchi wanajitokeza kupambana nafasi za Ubunge kupitia CCM. Nilitegemea Vyama vingine pia kuonesha bashasha hizo, lakini siwaoni. Muko wapi CUF, ACT, TLP, CDM, UDP, n.k? Kwa mtindo huu, yaweza kuwa ni uchaguzi wa upande mmoja...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa wakati wa Serikali ya Tanzania, Bernard Membe ambaye mwezi Februari mwaka huu chama chake cha CCM kilipendekeza kumvua uanachama wake amesisitiza kuwa dhamira na uamuzi wake wa kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

    Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu. Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote. === Aliingia...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyekiti Taifa wa CCM anaogopa Watu Kuchafuana na Kupeana maneno ya Shombo Kipindi hiki cha kuelekea Kuanza kwa Kampeni za CCM?

    Nimeona amerudia zaidi ya mara mbili au tatu hivi Kuwaomba wale Watia nia hasa wa Nafasi za Udiwani na Ubunge pamoja na kwamba amewaruhusu kuanzia Leo hii waanze Kujipitisha huku na kule na pia kujua taratibu zingine wasiwe tu Wanachafuana na Kuumbuana kwa Matendo yao mabaya. Kwanini Mwenyekiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…