Natabiri anguko la CCM Octoba 25/2020

Natabiri anguko la CCM Octoba 25/2020

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,499
Reaction score
4,687
Wasalaam, kufuatia ujio wa kachero Benard membe ktk chama cha ACT ni wazi ccm wanaenda kung'oka rasmi madarakani kwa aibu. Hili litakamili endapo vyama vyote vya upinzani ukitoa CUF vitasimamisha mgombea mmoja na kumuunga mkono, ikubukwe 2015 ccm ilibebwa na vyimbo vya dola ikanusurika

Ikubukwe tangu Tanzania ipate Uhuru imekua ikiongozwa na wawakoloni weusi ccm na wameigeuza nchi ya kifalme ya kuongozwa na babu hadi mjukuu, ukoo hadi ukoo hakuna haki za kidemocrasia angalia Bunge letu, angalia mahakama zetu haziko haziko huru, police wetu wamejiunga na ccm nani atatetea wanyonge?

Rai yangu kwa wananchi wa Tanzania angalie tulipotoka na tulipo umasikini wetu tulionao tulipewa na hawa ccm wakoloni weusi, hawa wametuibia sana keki yetu na bado wanalindana hata sasa, chama kimechoka kinahitaji kupumzishwa na mm na ww kwa manufaa ya Tanzania mpya
 
Kitakacho iua ccm ni hii tumbuatumbua kwa walotia nia wengi wao wakikatwa watakuwa upinzani
 
CCM ni Utopolo lakini sasa dawa imepatikana wanang'oka saa mbili asubuhi ,JASUSI kachukua fomu.
 
2015 ukiondoa UDP na TLP vyote hivyo havina wafuasi Ukawa ilikuwa ni muungano wa vyama vyote uvijuavyo na walikuwa na mtu wa nguvu Lowassa hawakushinda sembuse sasa watu wa kuungaunga na hawana ushawishi uje utuletee ngonjera na ngano hapa!
 
2015 ukiondoa UDP na TLP vyote hivyo havina wafuasi Ukawa ilikuwa ni muungano wa vyama vyote uvijuavyo na walikuwa na mtu wa nguvu Lowassa hawakushinda sembuse sasa watu wa kuungaunga na hawana ushawishi uje utuletee ngonjera na ngano hapa!
@kipara kipya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kitakacho iua ccm ni hii tumbuatumbua kwa walotia nia wengi wao wakikatwa watakuwa upinzani
Usisahau hata Bashite amepelekwa kugombea Kigamboni kwa malengo. Kwenye mchakato wa kuchuja wagombea utaona amekatwa kichwa ili ionekane ni demokrasia lakini pia ni kifo cha wengi. Atarudishiwa ukuu wake wa mkoa baada ya uchaguzi. Believe me

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Tayari...hamna kitu mule...Membe anakwenda kufanya yake!!

Jukwaa moja Membe, Lissu, Nyalandu, Mbowe, Maalim Mzee wa sawa sawa? CCM kutoka walau mlisi ni ngumu!! Wasije wakawaponza watu wa Tume na Mapolice wetu.

Hutaki nenda Kongo ama Rwanda mapemaaa
 
Pole kwa kuota ndoto za mchana! Mwaka huu CCM itashinda kwa kishindo kuliko hata ilivyokua 2015.
 
Kama hujaolewa kesho naleta mahali,una akili kubwa sana...✌✌✌💪💪💪
 
Tunawatahadarisha TU CDM Zitto 2015 alikataa kuungana na Ukawa kwasababu zake, hivyo hakuna sababu za yeye kuutaka muungano saizi. Utofauti wa Membe na lowasa ni majina TU ila kazi yao ni moja.

Angetaka mabadiliko ya kweli asingetaka kugombea apambane mwanachama wa kawaida tumpime kauli zake, vinginevyo huuu nao utakuwa utopolo zaidi ya 2015. Kura yangu ntabaki nayo
 
Ndivyo watanzania tulipaswa kufikiri, asante sana ndugu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom