Vifahamu "Vichinjio" vinavyowamaliza Makada wa CCM

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,404
Reaction score
100,603
Kama nitaonekana sina utu basi naombeni mnisamehe. Haya turudi kwenye mada husika.

Je, uliwahi kukutana na kebehi za Makada wa CCM uwapo kazini? Last year nikiwa kwenye shughuli zangu kwenye moja ya wilaya hapa Tz katikati ya Mkutano, "mpuuzi" mmoja akasimama na kututaka kuonyesha kama tuko na "vichinjio" ambavyo yeye aliamini ukiwa nacho kamwe huwezi kuguswa. Niliumia sana baada ya kugundua kuwa kichinjio hicho eti kumbe ni Kadi ya CCM. Nilikaa kimya nikawastahi.

Kuna siku pia kuna kiongozi wa chombo cha serikali alionekana kwenye video clip ambayo ilisambaa kwenye magrupu ya kijamii akitoa "kwa bahati mbaya" kadi ya CCM badala ya kitambulisho! I think alikua Kamanda wa Polisi yule ( mtanikumbusha)!!

Leo hii wametakiwa kukatwa mshahara kwakua wametangaza nia na kujaza form kila mtu anakua mkali, kwanini? Tumieni vichinjio vyenu mlivyotamba navyo viwaokoe! Nasema hivi, mlitusumbua sana nyie watu, sasa hamna kupewa mshahara, na hampati hata senti tano.

Yaani ofisi zote za umma zilijaa siasa zaa CCM. It is your time kuvuna mlichopanda, naona wengine mnaanza kujikana kuwa sio Wana CCM, tunawajua kwa majina na kwa sura. Lazima mkatwe ili kiherehere kiwaishe.
 
Woga na unafiki wa kutafuta teuzi, yaani ilijazana kutia nia kupitia CCM.

Magufuli safi sana kwa kuwanyoosha wanafiki hawa,tena ungesimamia ule msimamo wako kuwafukuza kazi ambao hawakuomba ruhusa.
 
Yeah wafukuzwe walitunyanyasa sana bawa!!/ Leo wamejificha mithili ya digidigi wakisikia HR anakuja wanakimbia, lazima wakatwe
 
Makada waliopo kwenye ofisi za umma wameanza kuficha mashati yao ya kijani 🤣
Tatizo vihelehele viliwajaa.Walifikili kujipendekeza kwao kutawasaidia sasa imekula kwao....
Tatizo mwenyewe kasema inategemea kaamka je. 2015 aliwazawadia wengi waliojaribu na kushindwa(uDED na uDAS achilia mbali kazi nyingine), hivyo siyo kwamba watu wamekurupuka wengi walijipanga bahati mbaya hii 2020 inaonyesha kaamkia upande tofauti. Ni kweli pia kazi nyingi za umma usipokuwa na hicho kichinjio ubosi utausikia hivi hivi tu. Hapa naona mbwa wamekamatika kwa miluzi mingi. Tuwape pole nao wasilielie na nyodo wapunguze.
Na bado hawataamini kuachwa wale ambao hawakumsikiliza papaa mukulu, wanaweza kuchinjwa na vichinjiao vyao.
 
Hahahaha acha kwanza hii August waione chungu! Halafu ndio kuna ada za Watoto
 
Kama nitaonekana sina utu basi naombeni mnisamehe. Haya turudi kwenye mada husika.

Je, uliwahi kukutana na kebehi za Makada wa CCM uwapo kazini? Last year nikiwa kwenye shughuli zangu kwenye moja ya wilaya hapa Tz katikati ya Mkutano, "mpuuzi" mmoja akasimama na kututaka kuonyesha kama tuko na "vichinjio" ambavyo yeye aliamini ukiwa nacho kamwe huwezi kuguswa. Niliumia sana baada ya kugundua kuwa kichinjio hicho eti kumbe ni Kadi ya CCM. Nilikaa kimya nikawastahi.

Kuna siku pia kuna kiongozi wa chombo cha serikali alionekana kwenye video clip ambayo ilisambaa kwenye magrupu ya kijamii akitoa "kwa bahati mbaya" kadi ya CCM badala ya kitambulisho! I think alikua Kamanda wa Polisi yule ( mtanikumbusha)!!

Leo hii wametakiwa kukatwa mshahara kwakua wametangaza nia na kujaza form kila mtu anakua mkali, kwanini? Tumieni vichinjio vyenu mlivyotamba navyo viwaokoe! Nasema hivi, mlitusumbua sana nyie watu, sasa hamna kupewa mshahara, na hampati hata senti tano.

Yaani ofisi zote za umma zilijaa siasa zaa CCM. It is your time kuvuna mlichopanda, naona wengine mnaanza kujikana kuwa sio Wana CCM, tunawajua kwa majina na kwa sura. Lazima mkatwe ili kiherehere kiwaishe.
Hawa ccm akili zao ziko kwenye pesa yani rushwa,ufisadi etc..angalia picha kichwani badala zikae akili zimekaa pesa ya rushwa.
Hicho ndio chama cha hovyo duniani kuwahi kutokea
Screenshot_20200722-132532_Twitter.jpeg
 
CCM damu damu hakuna,ukiwapima kutumia LIE DETECTOR yawezekana ukaambulia watu 50 kati ya watia nia 10,000.
 
Back
Top Bottom