Mwenyekiti wa CCM umetuumbua

Mwenyekiti wa CCM umetuumbua

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
36,509
Reaction score
45,123
Moja kwa moja kwenye mada; kitendo cha Mwenyekiti wetu kusema kura zote ziwe za wazi na zote zitangazwe hadharani kweli kimetuumbua makada wengi mno.

Sasa mtaani hatuna amani kila ukipita unasikia 4 mara 2 mara zero. Kwa kweli Mwenyekiti wetu tunakupenda sana ila kwa hili umetuumbua sana sisi makada wenzako wa CCM.

Hatuna raha huku mtaani tafuta namna utusafishe walau useme hizo kura si kigezo cha kukubalika ndani ya chama bali yalikuwa ni majaribio tu.

Ni ombi tu Mwenyekiti wetu kama itakupendeza. Ni mimi kada nwaminifu wa kawe niliyepata kura 2.
 
Zero ni zero sasa ulitaka iitwe 60?
Ikikupendeza acha kugombea subiri teuzi utajisikia huru.
 
Hapana kaka, kugombea ni haki ya kila mwanachama....sasa kitendo cha kutangaza hata sisi wa zero, 1, 2 hadi 6 ni aibu. Haya ni majibu ya tezi dume jamani.

Miaka ya nyuma tulikuwa tunatangaza watatu tu wa mwanzo ilikuwa inatosha ili kukilinda chama.
 
Wengi tu kina Mtulia na wenzake
400018700686_282189.jpg
 
Mbona Pascal kapata kura 1, wala hajamlalamikia mwenyekiti kwa huo utaratibu? Yeye kaomba tu wana JF tumpe pole. Na wewe nakupa pole, CCM ina wenyewe!
 
Moja kwa moja kwenye mada; kitendo cha Mwenyekiti wetu kusema kura zote ziwe za wazi na zote zitangazwe hadharani kweli kimetuumbua makada wengi mno.

Sasa mtaani hatuna amani kila ukipita unasikia 4 mara 2 mara zero. Kwa kweli Mwenyekiti wetu tunakupenda sana ila kwa hili umetuumbua sana sisi makada wenzako wa CCM.

Hatuna raha huku mtaani tafuta namna utusafishe walau useme hizo kura si kigezo cha kukubalika ndani ya chama bali yalikuwa ni majaribio tu.

Ni ombi tu Mwenyekiti wetu kama itakupendeza. Ni mimi kada nwaminifu wa kawe niliyepata kura 2.
Mtamlamba sana miguu mwenyekiti wenu huku akiendelea kujineemesha na kuwafanya vikaragosi.
 
Back
Top Bottom