Kwa Jinsi mambo yalivyo Uchaguzi Mkuu mi binafsi nahamia CCM

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Wakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako.

Yale tuliyokua tunayapigia Kelele kwa miaka yote sasa yamekua yanatakelezeka chini ya Mheshimiwa Magufuli Sina Sababu ya kumpinga kwa sasa ampingaye ana lake Jambo vijana wenzangu twendeni na Magufuli 2020.

Mni PM namba zenu tutengeneze Group!
 
Umehamia CCM kuunga mkono juhudi za kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?kwani maendeleo ni Hisani za CCM au ni pesa za walipa kodi?
 
Wapo wanaamini maendeleo yanaletwa na CCM wakizani ni pesa binafsi toka mfukoni mwa CCM ni Hisani za CCM hawajui kuwa maendeleo ni kitu cha lazima kwa walipa kodi ambao wengi siyo wapenzi wa CCM.
 
Wakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako.

Yale tuliyokua tunayapigia Kelele kwa miaka yote sasa yamekua yanatakelezeka chini ya Mheshimiwa Magufuli Sina Sababu ya kumpinga kwa sasa ampingaye ana lake Jambo vijana wenzangu twendeni na Magufuli 2020.

Mni PM namba zenu tutengeneze Group!
ni haki yako ya kikatiba. kwanza umechelewa sana.
 
Nchi ina miaka zaidi ya 50 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, endapo isingekuwa CCM madarakani mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa, German, China, Japan na hata America, pesa nyingi imepotelea mifukoni mwa wana CCM na sasa pesa nyingi inapigwa na madalali wa siasa na watengeneza propaganda wa CCM akina cyprian Musiba le mutuz na wenzao, pesa inayotumika kuwanunua wabunge madiwani kurudia chaguzi ndogo kudhoofisha kuhujumu chadema, kudidimiza demokrasia ni pesa nyingi sana, ni pesa ambazo zingeweza kutumika kujenga viwanda kila kata, vyuo vikuu kila wilaya, Hosptal za rufaa kubwa zenye madaktari Bingwa kila mkoa, barabara vijijini kote, daraja toka Dsm mpaka Zanzibar na pemba kisha CCM watulie wavune kura kiwepesi toka kwa wananchi pasipo kufanya uchakachuaji kuiba kura kuwaonea wapinzani, CCM ingejikita kwenye maendeleo zaidi upinzani ungekuwa ukifanya kazi kubwa kupata kura, lakini huto tunaendeleo twa kujenga reli, flyover, bwawa la umeme mbugani kufukuza wanyama Mali asili twenye 10% nyingi za wana CCM kulikojaa ufisadi kampuni zao wenyewe haitoshi kuwashawishi watanzania kuwa hayo ni maendeleo makubwa wakati wanajua pesa nyingi inatumika kuidhoofisha chadema na kudidimiza demokrasia.watanzani wameamka wanajua vingi kuliko wana CCM wenyewe.
 
Wakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako.

Yale tuliyokua tunayapigia Kelele kwa miaka yote sasa yamekua yanatakelezeka chini ya Mheshimiwa Magufuli Sina Sababu ya kumpinga kwa sasa ampingaye ana lake Jambo vijana wenzangu twendeni na Magufuli 2020.

Mni PM namba zenu tutengeneze Group!
Yapi mliyokuwa nnayapigia kelele ambayo yanatekelezwa sasa?
 
Wakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako.

Yale tuliyokua tunayapigia Kelele kwa miaka yote sasa yamekua yanatakelezeka chini ya Mheshimiwa Magufuli Sina Sababu ya kumpinga kwa sasa ampingaye ana lake Jambo vijana wenzangu twendeni na Magufuli 2020.

Mni PM namba zenu tutengeneze Group!
Tangu lini umekuwa Chadema???? Wewe ni CCM uliye CCM na hata uchaguzi huu upo CCM. Tunakujua humu na post zako tangu kitambo zipo humu.

Tuliokuwa CCM ni sisi ambao mwaka huu kutokana na kuitafuta kweli bila kushawishiwa vibaya na mtu yeyote tumeamua kuiunga mkono Chadema na wapinzani wa CCM.

Mpaka sasa watu wa CCM tulioamua kuunga mkono upinzani ni Mimi Lord Denning na Britanica tu. Post zetu na mwenendo wetu unaonekana humu

Mimi Lord denning ndo nimekuwa specific zaidi nawaunga mkono Chadema baada ya kuridhika na sera zao za ubepari kama ndo sera sahihi kwa Tanzania na pili namuunga mkono Tundu Lissu kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano Tanzania kwa sababu naamini ni mtu sahihi kwa sababu ya upeo na mawazo yake. Yote haya naamini ni kwa maendeleo ya kweli ya watu na vitu hapa Tanzania na Hii ni baada ya kufanya utafiti wangu binafsi kwa miaka karibu 3 juu ya maendeleo sahihi ya Tanzania yetu.
 
Nilochokiona +ve hakuna
Kama ni kelele za mafisadi kilichofanyika ni kubadirisha tu ,hivi sasa kuna mafisadi wapya.
 
Uwe CCM mara ngapi,kuwa CUF au NCCR mageuzi haihitaji kuhama,unaweza kuwa CCM ukabaki huko huko
 
Back
Top Bottom