ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kampeni ya mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli Bagamoyo, Pwani. Kikwete asema haoni hofu ya CCM kushindwa

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Magufuli yupo mkoa wa Pwani eneo la Bagamoyo na anaeongea sasa ni aliyekuwa mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete. Pia kwenye mkutano wa leo yupo Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete. Ridhiwani kawaomba Wanachalinze wenzake kumchagua Dkt...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM acheni kujipa Moyo, CHADEMA walijiandaa na Uchaguzi muda mrefu. Siri hii hapa...

    Kwa hakika ni WanaCCM wachache sana wanaojua kuwa CHADEMA NI MSINGI lilikua ni zoezi operation ya chama nchi nzima na lilikua na lango la kuhakiki wanachama wake nchi nzima ngazi zote kuanzia msingi, matawi hadi taifa. Zoezi hili lilifanikiwa 100%. CCM wengi hasa viongozi wake hawakujua lolote...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge wa CCM wafuatao watasombwa na upepo wa kimbunga cha Lissu kama walivyosombwa na mafuriko baadhi ya wabunge wa Kaskazini mwaka 2015

    Mwaka 2015 wako baadhi ya wabunge wa CCM waliopoteza majimbo yao kutokana na mafuriko ya Lowassa, wabunge wengi wa Kaskazini hawakufanikiwa kurudi tena bungeni kutokana na mafuriko ya Lowassa. Na hii ilitokana na mgombea kutokea ukanda huo.wabunge kama Ole Sendeka, Anna Kilango, Steven Kebwe...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM tumezidiwa sana na tunaweza tusimalize vizuri. Huyu mtu kasi yake ya ajabu

    Ndugu zangu wanaCCM mlioko humu ndani na kwingineko, hali ni ngumu sana huyu mtu anatuzidi kwa kiasi kikubwa sana kwa ninavyotazama mimi na msema kweli mpenzi wa Mungu. Huyu ni ambaye ni sawa na Faru aliyejeruhiwa yupo Energetic, anaongea mambo magumu yanayogusa ndani, anaijua sheria sana...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kosa kubwa walilofanya CCM kwenye kampeni zao ni kupoteza muda kusifia yaliyopita badala ya kueleza watafanya nini

    Kawaida na hulka ya binadamu ni kutamani kusikia au kuona kitu kipya kuliko cha zamani, wazungu wanasema test the difference. Tangu kampeni zianze CCM wamekuwa wakipoteza muda mwingi kuelezea vitu walivyo fanya wakasahau kuwaeleza wapiga kura nini kipya watawafanyia wananchi endapo...
  6. JamiiForums Tanzania UV-CCM na Vijana wa CCM mmelala sana katika mitandao ya kijamii, mko wapi?

    Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii. Kila post ni vyama vya upinzani tu. Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna mahali CCM ilikosea?

    Wakuu heshima sana, Kadri siku ya uchaguzi mkuu zinapokaribia nabaki najiuliza maswali kadhaa bila majibu. Najaribu kutafakari ni eneo gani haswa CCM ilikosea ?. Mosi, kununua wapinzani (wabunge, madiwani na viongozi wa vyama).Wananchi au ukipenda unaweza kuwaita wapiga kura hawapendi siasa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu aanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta

    Leo Babati Mjini. Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta Chanzo: BAVICHA TAIFA Asanteni Babati Tukutane 3010 kujipongeza...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu. Agosti 25, 2020 M/Kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka kitabu cha ilani ya CCM: 2010-2015 Uchumi ulikuwa kwa wastani wa 7%, 2015-2020 Uchumi ulikuwa kwa 6.9% Kumbe tumerudi nyuma!

    Ilani ya CCM 2015-2020 Ukurasa wa 7 Ilani ya ccm 2020-2025, Ukurasa wa 10 Hivi hizi kelele zote hasa huwa za nini wakati namba zinaonyesha jamaa na CCM mpya yake wame- drop? Kumbuka hizo ni mukuu kutoka ilani ya CCM yenyewe. NB: Moderator achia uzi ujitegemee, wala usiupotezee maana hizo...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Ratiba ya Kampeni ya Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kuanzia Oktoba 18 - 27, 2020

    RATIBA YA KAMPENI YA MH #TUNDU LISU KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA. TAREHE 18.10.2020 1. HANANG 2. MBULU 3. KARATU TAREHE 19.10.2020 1. SIMANJIRO 2. MONDULI 3. LONGIDO 4. ARUMERU 5. HAI 6. MOSHI MJINI TAREHE 20.10.2020 1. MWANGA 2. LUSHOTO TAREHE 21.10.2020 1. KOROGWE 2. MUHEZA 3. TANGA...
  12. JamiiForums Tanzania Wanasiasa mjifunze kufanya kazi na wenye itikadi nyingine kwa lengo la kuleta maendeleo

    Mwaka 1992 Tanzania ilitangaza kuwa ni nchi ya vyama vingi. 2020 bado kuna viongozi wanao simama majukwaani na kusema mkichagua upinzani hatuleti maendeleo. Sifa kubwa ya kiongozi ni kuweza kuwaongoza wale anao wajibika nao kisheria katika mamlaka yake. Kiongozi anaefuata kanuni za haki bila...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii mkishamaliza kuiweka CCM madarakani mkumbuke mtarudi kitaa kuganga njaa kama kawaida yenu hadi 2025

    Nawakumbusha tu msije mkajisahau mkadhani CCM itaondoka na nyie kwenda Ikulu na kuendelea kula bata na kupewa visent mnavyodanganywa kwa Sasa.
  14. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Airtel mnatumiwa Polepole wa CCM, kutoa namba za watu kuwaomba kura

    Kitendo cha mtandao wa Airtel kugawa namba za watu kwa CCM bila ridhaa zao na kuwatumia ujumbe wa kuwaomba kura uungwa kabisa. Huu ujumbe ambao unamuombea Magufuli kura unaonekana kua ni maneno ya msemaji wa CCM Humphrey Polepole kuwaomba watu kura. Ni usumbufu kitendo hiki kutawakosesha wateja.
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa mgombea ubunge wa CHADEMA kata ya Selela Jimbo la Monduli

    Waswahili walisema tangu zamani kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha , hicho ndicho kinachotokea sasa huko Monduli . Wamasai wameamka na wamegoma kuabudu binadamu na sasa wameamua kufanya uamuzi kwa kutumia fikra huru . Hizi ni picha za Mkutano wa mgombea ubunge wa Chadema kata ya Selela Jimbo...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wanapotosha. Haiwezekani kuwa 70 % ya Wapiga kura ni Wana CCM

    Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

    Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati. Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai. Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi...
  18. JamiiForums Tanzania Vodacom nani aliyewaruhusu kuwapa CCM namba yangu ya simu?

    Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nimemwelewa Samia aliposema hata tukimchagua Tundu Lissu CCM itaendesha serikali. Usipigie kura mbunge wa upinzani

    Wote hamkumwelewa Samia, Samia kasema kwamba hata tukimpigia kura Tundu Lissu CCM ndiyo watakaoendesha serikali. Bahati mbaya wengi wetu hawajaielewa hii kauli anamaanishanini. Wengi wanamtukana na yeye anafurahia matusi maana kuna kilichojificha ambacho hatukijadili. Hali iko hivi. Samia...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Mgombea wa CCM akimwombea kura Magufuli kwa kulia na kugaragara chini!

    Hivi huku kuomba kura kwa namna hii ni kwamba mtu anakuwa anatafuta uongozi wa kwenda kuongoza watu au wanatafuta uongozi wa kwenda kula? Hivi ni wananchi wajinga wa wapi wanaweza kumpa kura mgombea fulani ili awe kiongozi wao kwa kulialia na kugaragara jukwaani bila kuwashawishi watu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…