ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Makada wa CCM wapewe elimu kuelisha wananchi manufaa ya ununuzi wa ndege

    Kuna baadhi ya makada wapewe mafunnzo namna ya kunadi mazuri ya yaliyofanywa na awamu hii ya 5
  2. Kipanya na rushwa mchakato kupata wagombea CCM

    Ukimya wa CCM kwenye kuteua wagombea una jambo nyuma yake,sio bure! Kwa nyepesi nyepesi zilizoko mtaani ni kuwa majimbo karibu yote rushwa imehusika! Je, itakuwa funika kombe?
  3. GE2020 Zijue sababu kuchelewa vikao Kamati Kuu ya CCM kupitisha Wagombea wa Ubunge

    Ratiba za kichama hapa Makao Makuu Dodoma zinaonesha kuwa vikao vya Kamati Kuu wa CCM almaarufu kama CC vilipaswa kufanyika tarehe 7 na 8 ya mwezi huu. Hata hivyo, hadi sasa hakuna kikao cha Kamati Kuu kilichoketi hapa Dodoma au hata Dar es Salaam. Ajenda kuu ya kikao hicho ni kupitisha majina...
  4. CCM na Tume ya Uchaguzi ni kama Majeshi ya Farao, hawawezi kuona hatari mpaka watakapozama ndani ya maji

    CCM, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, na pengine Uongozi wa Rais Magufuli ni kama Majeshi ya Pharao, yaliyokuwa yakiwafukuza wana wa Israel pasipo kuona hatari iliyokuwa mbele yao kwamba bahari imeachama na wangeweza kuangamia kwenye maji kwa kuendelea kuwafanyia vurugu wana wa Israel. Kwa kawaida...
  5. GE2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

    Moja kwa moja kwenye mada maana naona Tundu Lissu anajimwambafwai na hata sasa anaanza kuwachokoza watu wa kawaida kabisa hadi wasafisha viatu wa mjini Dar-es-Salaam. Niliamua kujivinjari maeneo ya mjini Dar na nikapata nafasi ya kusafisha viatu vyangu kwa kuweka Kiwi. Kwa kawaida mimi ni...
  6. B

    Hata kama upinzani hautapewa jimbo na wakurugenzi wasimamizi wa uchaguzi, bado lipo jukumu la CCM kujitafakari

    Kinafanywa na Wananchi kwa sasa hasa vijana ni ishara mbaya kwa Chama cha Mapinduzi. Labda CCM haijafanya tafiti kujua wananchi wanataka nini au wanajua ila hawataki kutimiza. Kwa nguvu aliyotumia Rais na timu yake awamu ya tano na namna wale aliodhani wanamfurahisha wanavyofanya mitahani ni...
  7. Hivi ndivyo kampeni za CCM zitakavyokua

  8. K

    GE2020 Wapinzani fanyeni kampeni za kisayansi Oktoba, 2020, tambueni CCM ni Constant namba

    Mada inahusika. Wapinzani wanalazimika kufanya kampeni za kisayansi sana. Tayari CCM ina mtaji wa NEC, ZEC, Polisi, Wasiri wetu na makada kadhaa. Mfumo wa nchi unawapendelea zaidi wao na ule uharibifu uliofanywa wa kutumiwa makada kuajiriwa kwenye sehemu nyeti. Makada hao si watiifu wa sheria...
  9. S

    Tayari CCM imeshabwaga manyanga, vingunge watafute kazi nyingine

    Ndio dalili zote zinavyoonyesha, hata kamati za ufundi zimeshawaambia viongozi waandamizi wa CCM watafute la kufanya. Baadhi ya habari ni kuwa kuna kundi kubwa sana sana ndani ya CCM ambao ni wanachama wa kawaida hawa wanaonekana kuwa mstari wa mbele ndani ya CCM tena wanashangilia kwa nguvu...
  10. L

    Hofu imezidi upande wa CCM

    Baada ya Tundu Lissu kuwasili nchini na kuanza kuwaelimisha wananchi kuhusu uongo na maigizo ya awamu ya tano, pamekuwa na sintofahamu nyingi upande wa chama dola CCM. Pamekuwa na matamko toka kwa viongozi mbalimbali mfano nimesoma kuhusu mgombea ubunge wa CCM jimbo la Ruangwa ndugu Kassim...
  11. Je, mbinu inayotumiwa na CCM kwa kipindi hiki ya kukaa kimya itakisaidia chama hicho?

    Nipende tu kuwakumbusha kauli ya Katibu mkuu CCM kwamba, watafanya kampeni kitanda kwa kitanda, na ndicho kinachoendelea, wako wanashugurika na kushawishi wanawake na wazee, walala hoi wasiokuwa na ajira na maskini kabasa. Mfano, kupitia TASAF, Sasa hivi majina yameongezwa, haijalishi unakipato...
  12. J

    GE2020 Hesabu hazidanganyi: CCM wataongezewa kura za Lowassa na CHADEMA watapunguziwa kura za Lowassa, CUF na NCCR Mageuzi

    Ni kwamba CCM na Dkt. Magufuli tayari wana mtaji wa kura walizopata 2015 na watafaidika na kurejea kwa mzee Lowassa ambaye ana ushawishi mkubwa. Kura za CCM zitaongezeka. CHADEMA na Tundu Lissu watazikosa kura za CCM ( kupitia Lowassa) walizopata 2015 kadhalika watazikosa kura za UKAWA yaani...
  13. GE2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

    Wakuu habari za jioni poleni kwa kutafuta na mihangaiko ya kutwa nzima. Mimi sina mengi ila nina imani humu kuna watumishi wa tume ya uchaguzi basi wafikishe salamu hizi, tunaomba mdahalo wa wagombea wote watakaoteuliwa kugombe Urais kuanzia, CCM, CHADEMA , ACT - Wazalendo nk ili tuwapime kwa...
  14. Kwenye Vita ya Uchaguzi CCM wameshachagua nini wanatoa kafara

    Wakati wa vita wakuu wa majeshi hufanya maamuzi magumu mojawapo likiwa ni kutoa kafara maeneo au kikosi fulani ili iwasaidie kushinda vita. Kwa kifupi wanaachia washindwe mapambano wakijua watashinda vita. Mfano wa kihistoria: Vita kuu ya pili ya dunia, Warusi waliwaruhusu wajerumani( Nazi)...
  15. S

    Kuna wakati unakuja wenzetu hawa watamkana na kujitenga na Mwenyekiti wao, na watataka chama chao kisihukumiwe wala kisihusishwe na matendo yake

    Yote yanayoonekana kufanywa na Bwana huyu, pamoja na yale yanayoonekana anayabariki/kuyafumbia macho, mambo haya yanaleta picha kuwa, huyu Bwana amekosa uwezo wa kutazama mbali, ameishiwa maarifa na zaidi anakimaliza kabisa kisiasa chama chake tena vibaya mno. Anaonekana ni mtu wa kubariki na...
  16. N

    Halmashauri Kuu ya Taifa Chama cha Mapinduzi, tunaomba mnusuru mpasuko unaoletwa na Viongozi wa CCM Mkoa wa Tabora

    Nikiwa kama mwanachama wa muda mrefu naandika kwa masikitiko makubwa sana, mambo yanayofanywa na uongozi wa CCM mkoa wa Tabora wakiongozwa na katibu wa CCM mkoa. Naamini jukwaa hili ndio njia pekee ya kufikisha malalmiko ambayo yataweza kufika kwa urahisi kwenye uongozi wa CCM Taifa na hatimaye...
  17. J

    GE2020 Tundu Lissu: Tusipojipanga CCM hatuwawezi

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu amewaambia wafuasi wake kuwa wasipojipanga sawasawa CCM hawataiweza. Lissu amekiri mbele ya umati wa watu mjini Shelui kwamba CCM ni chama kikubwa na inatakiwa pawepo mikakati thabiti wakati wa kuikabili. Chanzo: Azam TV
  18. GE2020 Rushwa ilivokithiri Kura za maoni za CCM Jimbo la Kalenga

    Tarehe 21 / 7 / 2020 Ulifanyika uchaguzi wa kura za maoni kupata mgombea atakayepeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 Jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Katika hali isiyotarajiwa RUSHWA ilikithiri sana kiasi cha wajumbe kupewa pesa eneo la uchaguzi kilipo...
  19. Propaganda za CCM kuwa Upinzani umekufa Tanzania aibu yao

    Kweli kwa mwendo huu upinzani umekufa Tanzania?Au walikuwa wanaota ndoto za mchana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…