ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Maajabu ya siasa Mimi ccm hata wamuweke Nani hapo juu automatically namuona ni tatizo.

    Binafsi hiki chama ninakichukia kutoka uvunguni mwa moywan I'm 23yrs ila Ccm nimetokea kuichukia tangu nasoma primary Uganda hadi secondary Lake view mpaka namaliza chuo University of dsm 2018 hii. Nilichogundua Mapenzi hayalazimishwi yankj automatically. Na huu ndo ukweli. "Hakika kunguru...
  2. JamiiForums Tanzania Kutoka CCM, heri ya sikukuu ya Pasaka

    Habarini wanajamvi wenzangu, poleni na majukumu mbalimbali ya kujenga taifa. Hakika tuendelee kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo yetu na taifa letu, Mungu hatatuacha atazibariki kazi za mikono yetu. Leo baada ya majukumu nimepita kwenye mitandao ya kijamii na kukuta salamu hizi nikaone ni...
  3. JamiiForums Tanzania Bila CCM kutoka madarakani hatuwezi piga hatua ya maendeleo ya kuonekana

    Habari wakuu. Mimi nimetafakari sana kuhusu jinsi mambo yanavyokwenda hapa kwetu. Yaani unaweza kupata hasira hawa jamaa hatua waliyofikia ni mbaya sana. Kwanza wamejua hawapendwi na uchaguzi bila kutumia nguvu ya dola hawashindi. Pili wanawaza mambo ya kuwakomoa watu kuwalit uhuru awamu hii...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kauli ya J. Kikwete unawafundisha wana CCM tuwe wakweli

    Mhe. Rais Mstaafu J. Kikwete ameandika katika ukurusa wake wa Twitter maneno haya; Ndoto ya wananchi nikuona vijana wanapata ajira na maslahi yanayoendana na Hali ya uchumi ya Sasa. Nikipata nafasi yakuzungumza na Rais sitasahau kumweleza haya. Je, Mzee anawashwa Kama akina Hapi, Makonda na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania CCM tumepoteana; tunasapoti Jambo dakika moja viongozi wanatugeuka!

    Wana CCM tunawakati mgumu sana mitandaoni na hata maskani tunapokaa, tumekosa confidence yakusimamia mijadala kwa sababu hatujui msimo wa chama na serikali ni upi. Leo hii kila mada inayoibuliwa tukaitetea mwisho wa siku tunaumbuka, tumekuwa watu wakudelete posts zetu kuepusha fedhea. Mifano...
  6. JamiiForums Tanzania 21days of mourning with new troubles of economic shake "Wanyonge" we are survive as flies

    Hayo madini tulionayo , Tafuteni kodi huko Punguzeni mishahara ya Wabunge Sisi "Wanyonge tumewakosea nn mpaka mtufanyie hivi .?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tokea afe Horace Kolimba cheo cha Katibu mkuu wa CCM kimekuwa kama hakina Baraka

    Jaribu kuwafuatilia Makatibu Wakuu wa CCM walioteuliwa baada ya Horace Kolimba kukutwa na yaliyomkuta utawaona ni kama wamevurugwa kwa namna fulani. Yaani shukrani ya chama kwao huwaga kama ni " mateke" Niwakumbuka akina mzee Gama R.I.P baadae Nchimbi akamvuruga, kuna huyu mzee wetu Mangula...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Chadema wako sahihi kutoshiriki uchaguzi kwa sababu wabunge wao wote 20 ni kama wako CCM

    Katika hili la kutoshiri uchaguzi mimi nakubaliana kabisa na Chadema kwamba wamefanya maamuzi sahihi. Kwani wale wabunge 20 wa Chadema mule bungeni wanafanya kazi gani yenye maslahi kwa upinzani. Wao muda wote wanarandaranda na viongozi wa CCM akina babu Tale. CHADEMA komaeni hivyo hivyo hadi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ni yapi maoni ya wabunge wa CCM kuhusu hoja ya makusanyo ya Kodi iliyotolewa na Mhe. Rais?

    Naanza kujiuliza upi msimamo wa Waziri wa Fedha kwenye kukusanya mapato? Bado ataendelea kusimamia mfumo wa mabavu? Makamu wa Rais pia alikuwa Waziri wa Fedha wakati wafanyabiashara wananyanyaswa, leo trilioni mbili anazoelekeza litakusanywa kwa mfumo wa zamani au njia aliyoelekeza Rais...
  10. JamiiForums Tanzania CCM lipo tatizo kwa sasa, tena kubwa sana. Hawamkubali Mama?

    Hii tabia ya baadhi ya watu kujisahau katika mamlaka kutaka kujimilikisha chama kutokujali kwamba vyeo ni dhamana ndio tatizo. Nimeshangaa sana CCM ya JPM kila kilichofanyika walikua wanapongeza na kusifia hata mzee akitukana, Kwa sasa watu wale wale wamekua wanarudi kama Yanga(Jokes)...
  11. JamiiForums Tanzania PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

    Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la...
  12. JamiiForums Tanzania Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

    Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa Kesho saa 3 unusu usiku
  13. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania. Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai. Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema.. Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
  15. S

    JamiiForums Tanzania CCM wameshaivuruga nchi - TAHADHARI

    Kwa kweli namna katiba inavyovurugwa ni wazi kabisa Chama cha Mapinduzi kimeshaivuruga nchi na sasa, na sasa kila mmoja anaongoza kivyakevyake, msemo wa Kiswahili maarufu ule usemao mwenye nguvu mpishe, ndio tunaokwenda nao sio tena kufuata ule msemo wa Uongozi ni dhamana. Mnavuruga Katiba ya...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Jamal Tamimu akikatwa jina CCM kwa mara nyingine Muhambwe mtapata shida

    Jina la bwana Jamal Tamim aliyeshinda kura za maoni za ubunge kupitia CCM jimbo la MUHAMBWE limekatwa,hivyo kuliacha jimbo hilo likiwa katika hati hati ya kuchukuliwa na wapinzani. Bwana Jamal Tamim amekuwa akijitahidi sana katika shughuli za maendeleo na WANAMUHAMBWE wanalijua hilo, na...
  17. JamiiForums Tanzania CCM yamteua Dkt. Florence George Samizi kugombea ubunge jimbo la Muhambwe

    CCM imemteua Dkt. Florence George Samizi kugombea Ubunge Jimbo la Muhambwe lililopo kibondo Mkoani Kigoma, baada ya kifo cha Astashasta Nditiye ambaye alikuwa mbunge mteule wa jimbo hilo. Zaidi soma >Atashasta Nditiye afariki dunia Wana-CCM 25 walijitokeza kuomba idhini ya kugombea katika Jimbo...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Bado nafasi mbili wazi Katibu Mkuu CCM na Waziri wa Fedha, hivyo January, Dkt. Nchimbi na Dkt. Mwigulu vuteni subra

    Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dkt. Nchimbi na Mwigulu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo. Bado kuna nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM iko wazi. Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa Fedha. Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu...
  19. JamiiForums Tanzania Mapengo yatakayoondoa CCM

    Wapinzani wa CCM wakijipanga vizuri huu ndiyo wakati wa kuchukua nchi kwa mafungu mafungu. ACT ZNZ wamemaliza na bado Kwa Mpango wakitangaza wakaulize na wengine watakaotemwa. Wajipange kuongea na jamii waondoe kidogo kidogo wala wasianze papara mara wamemtukana huyu na yule. Kwasasa ikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…