Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Inaonekana kuna umuhimu wa kuwakumbusha wabunge hasa watoakanao na Chama cha Mapinduzi kusoma na kitembea na vitabu vya Ilani ya CCM iwapo hawaitaki wajiuzulu mapema maana wanyonge wa nchi hii wanawasubiri kwa hamu sana mshindwe kuisimamia ilani ya CCM ili wawanyoe kwa chupa.
KWA HISANI YA WANACCM
Ndugu Watanzania,
Ni wazi kwamba tangu tupate uhuru 1961, chama kimoja tu ndiyo chama tawala.[emoji21]
Mantiki ni kwamba, ndicho chama kilichoshiriki aidha dhuluma au faida kwa watanzania, maana ni chama kinachounda serikali kwa nyakati hizo zote.
Vilio vya mtanzania, ni sehemu tu ya kicheko...
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.
Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi...
Angalia maisha ya watanzania wa kawaida yalivyo duni, maisha ya kukosa maji ,elimu bora na hata chakula cha uhakika. Lakini ni mara chache sana kusikia mwanaCcm akisema tuwe na sera nzuri ambazo zitahakikisha mwananchi wa kawaida wa chini kabisa anaweza kunufaika kiuchumi.
Angalia hata...
Nilichogundua wananchi wengi wanaoipenda CCM ni kwasababu ya Magufuli. Sasa hapa ndio pana mtihani. Nadhani mnakumbuka jinsi walivyokuwa wakimuaga kwa shangwe.
Sasa nimegundua kuna uwezekano mkubwa tayari watanzania wameanza kuigeuka CCM. Na hii ni kwasababu tu viongozi wameanza kwenda kinyume...
KUONDOKA mapema kwa Rais John Magufuli, kumeiacha Tanzania katika njia panda, wananchi wakijiuliza ni nini kitafuata baada ya hapa.
Nini hatma ya Tanzania baada ya Magufuli? Ndilo swali kubwa kwa sasa kwa watanzania na bila shaka Afrika na dunia yote. Baada ya kazi kubwa ya ujasiri mkubwa...
Ikumbuke kwamba mambo mengi yanayopitishwa na bunge au kwa lugha raisi "kikundi laghai cha CCM" yanapita kwa njia moja kuu. Njia hii ni kuwahonga mabilioni ya pesa wabunge, individually yaani mmoja mmoja, na hatimae wote wanakuwa kitu kimoja. Wakishakuwa kitu kimoja wanaanza kuimba wimbo mmoja...
Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu.
Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi?
Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani...
Toka mwisho wa February mwaka huu 2921, Tanzania imepitia msukosuko liasi wa kisiasa na kiserikali kutokana na kutooneka, kufariki, na maziko ya Rais wa nchi Mh. John Pombe Magufuli.
Muda wote huu CCM imekuwa kama kungwi, akifanya kazi huku kajigubika kaniki.
Cha kushangaza zaidi ni makada...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete.
Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako...
Hii ni taarifa kwa wachumia tumbo wote na wafitini.
Ni muhimu tukawaelewesha kuwa timu yetu huwa haibadiliki na majira kwani ina one and only purpose.
Timu hii itasimama na CCM katika hali zote.
Timu hii hupewa majina mengi.
Timu hii inasimamia uzalendo.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari.
Rais Samia amesema...
Ieleweke CCM ni CCM na kina Muundo, Sera na mwenendo wake.
Kwa muktadha huo kila awaye mwenye uwakilishi utokanao na CCM inampasa bila hiari kufuata, kuheshimu na kuuishi u-CCM ulio na muundo, sera na miiko yake.
CCM haitamvumilia yeyote yule atayekiuka kwayo yale yawayo mahitaji ya wakati...
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Mtimika na kuwa mazishi yake yatafanyika leo katika makaburi ya Tanita yaliyopo eneo la Kibonde Maji.
Mmoja wa wahudumu nyumba hiyo ya kulala wageni (jina lake linahifadhiwa) amesema diwani huyo alifika akiwa...
Jana hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliyempongeza Mhe. Rais kwa Hotuba nzuri, hata akina Kigwangala wanaokesha mitandaoni walikaa kimya. Watu waliopongeza ni wapinzani na wanaharakati pamoja na wananchi wa kawaida.
Siku zote ccm si chama kilichopo kwa ajili ya wananchi ni chama kwa ajili...
Mzee Warioba wewe ndio ulikua kiongozi wa kuandika Katiba mpya,
Mzee Kikwete wewe ndio uliguswa na kilio cha katiba mpya ndio ukaunda kamati.
Wazee wenye busara Ni pamoja na Mzee Butiku,Mangula na wengine.
Mama Samia wewe ndio Rais kwa Sasa.
Nawaomba wazee nyinyi,mkutane pamoja na Rais Samia...
Mitandaoni kumeibuka kikundi cha watu ambao naamini ni wanasiasa ambao kwa namna moja au nyingine wanataka kukwamisha juhudi za Mhe. Rais katika kuwatumikia Watanzania. Kikundi hiki kipo nyuma na mbele katika kupingana na muelekeo na mtazamo wa Mhe. Rais na yote inatokana na kuona wapo kwenye...
Moja ya changamoto kubwa inayokabili watawala wetu nikuaminishwa kwamba usipokuwa Mwenyekiti wa chama hautoweza kuongoza Nchi. Hii ni doctrine imewekwa kulinda maslahi ya chama na kumfanya Rais awe na jukumu lakulinda chama. Kulinda chama hakuhitaji haki maana ukisimamia haki hakuna namna chama...
Awali ya yote mie binafsi nampongeza mno mno mno hadi sasa walau anatutia moyo na kuturudishia matumaini mapya!
Huyu Mama ana set standards za namna Kiuongozi Mkuu wa nchi anavyopaswa kuwa.
Hafokei
Haropoki
Yupo very composed
Hana papara
Anafahamu shida za watanzania ki uhalisia
Mpole kama...