ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania CCM hakika wana wazimu au wamevimbiwa madaraka?

    Kama kuna jambo la kusikitisha awamu ya mama ni hili la kuwapa watu wameorodheshwa kama wezi wa mali za chama nafasi za uongozi kwenye awamu yake. Watu wameorodheshwa kama wezi wa mali za chama halafu mtu anawaamini uongozi wa chama😂. Tusisahau awamu ya mama ni sawa mtu kuokota dodo. Tafuta...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Wakati wa wazee wa CCM kumshauri Rais Samia

    Hivi Karibuni Mzee Mangula amewashangaa viongozi wa Serikali wanaojadili kuhusu Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, Bila shaka hata Samia ni mmoja ya hao viongozi. Nina hakika kabisa kama Kutakuwa na majadiliano yenye manufaa ya nchi, Mradi wa Bagamoyo hauwezi kuanza hata Hadi 2025, otherwise...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Watanzania zindukeni kujua malengo na muelekeo wa Rais Samia

    SEHEMU YA NUKUU ZA KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA WAKATI AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO "Watanzania zindukeni kujua malengo na muelekeo wa Rais Samia katika kujituma kwa juhudi, bidii na maarifa, kazi iwe...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa letu linaharibiwa na watoto wa vigogo wa CCM waliorithiswa madaraka na wazazi wao. Tabia za kulifanya taifa letu la kisulutani inatugharimu

    Kasumba ya chama cha CCM kuwarithisha madaraka watoto wa viongozi inaligharimu taifa letu. Yawezekana huko nyuma wazazi wao walikuwa na uzalendo wa kweli lakini hawa watoto baada ya kuona kuwa siasa inalipa hasa baada ya CCM kuingiwa na na kubadilika kukumbatia ufisadi wazazi wao wakawalithisha...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuipongeze serikali ya CCM kusambaza umeme vijijini kwa kasi na mafanikio makubwa kwa muda wa miaka sita

    Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) imesema imeongeza huduma ya upatikanaji umeme kutoka asilimia 2 mwaka 2007 hadi kufikia 69.6 Juni mwaka huu. kurugenzi Mkuu wa Rea, Mhandisi Hassan Saidy amesema malengo yalikuwa kufikia asilimia 50 hivyo wameweza kuvuka lengo walilojiwekea.
  6. chase amante

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

    Habarini ndugu, Hivi sasa bei za bidhaa kuanzia bidhaa za majumbani kama sabuni, mafuta na vinginevyo mpaka mbolea ,vifaa vya ujenzi n.k vimepanda bei. Bei zimekua kubwa sana kiasi mtu wa kawaida kuzimudu inakua shida. Vifaa vya ujenzi ambavyo vingi tunatengeneza hapa hapa nchini navyo...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ombi la kikao CHADEMA lakataliwa kutokana na tishio la Ugaidi

    Nani asiye na habari ya mizunguko ya akina Chongolo au Shaka nchi nzima, wakikusanyika na kufanya siasa bila kubughudhiwa? Vipi hii kuwahusu hawa wengine? Bado Rais Samia na serikali nzima wangependa kuaminika kuwa haki na usawa ni agenda zao pia?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali ya CCM kusalimu Mwishoni

    Kumekuwa na kelele nyingi za watu kuashiria kutoridhika na agenda kadhaa za serikali. Rejea misimamo ya serikali na wapambe wao kwenye: 1. Uwepo wa Corona 2. Umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona 3. Uhitaji wa chanjo dhidi ya Corona 4. Umuhimu wa wanafunzi wanaopata mimba kurejea...
  10. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania CCM wameanzisha mgao wa maji na umeme ili kueneza propaganda ya kukataa Katiba Mpya

    Miezi michache iliyopita dai la katiba mpya lilipamba moto. CCM wakaja na hoja kwamba wananchi wanataka maji na umeme na sio katiba mpya. Baada ya kuona hoja ya hitaji la maji na umeme haieleweki hatimaye hangaya kaamuru mgao wa umeme na maji ili kuhalalisha madai yao. Watanzania tambueni huu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sixtus Mapunda ana cheo gani CCM?

    Nilikuwa clubhouse na nimevutiwa sana na jinsi Sixtus Mapunda alivyoweza kujibu maswali mbalimbali kuhusu siasa na CCM. Very composed, well informed na hata akitetea uongo anautetea kisayansi zaidi. Abdul Nondo amejaribu kumtikisa lakini wapi na mwishowe nilifurahishwa na msimamo wake kuhusu...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania SSH-2025 Brigade, namuona Easter Bulaya, Halima Mdee mguu kwa mguu na UWT & CCM kumsimika Mama katika Urais 2025

    Nadhani huu ni mkakati bora kabisa ambao utasisimua siasa kuelekea 2025, utaua women wing ya chadema na hata ya vijana. Halima Mdee na Easter Bulaya na troop nzima ya wanoitwa Covid ni "dhahabu" ya kisiasa inayomezewa mate na CCM, japo chadema wamekomaa kuwachafua, wamebalansi hali yao...
  13. mrangi

    JamiiForums Tanzania Tunauza viwaja na mashamba sehemu mbalimbali kwa bei nafuu

    ok ngojaa tukuchekie mkuu
  14. Bowie

    JamiiForums Tanzania CCM Mnatupekeka Wapi Kiuchumi?

    Toka tupate Uhuru 1961 Tanzania imetawaliwa na Tanu na baadaye CCM lakini cha kusikitisha ni jinsi ya uchumi wa Tanzania unavyoendeshwa kwa njia tofauti katika utawala wote wa awamu sita. Awamu ya kwanza njia zote za kiuchumi zilithibitiwa na serikali na utaifishaji mkubwa wa...
  15. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Tanzania isije kupata maendeleo chini ya siasa monopoly za CCM?

    Wakati wa mwwshimiwa kikwete tuliaminishwa kwamba 1. Soon mgao wa umeme utakua historia. Akatoka madarakanai kaacha mgao unaendelea. 2. Tukaimbishwa nyimbo za uchumi wa gesi. Kiukweli wanasiasa Mungu anawaona. Ule wimbo ulikoishia anayeweza kuelezea serikali ya CCM. 3. Akaja Mweshimiwa JPM na...
  16. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania CCM acheni Janjajanja. Mliua uchumi wa nchi miaka mitano iliyopita

    Miaka mitano mfululizo tuliona misifa na mipambio ya kumsifu mtukufu kuwa anafanya vizuiri. Ghafla eti kila kitu kimesinyaa na mnavunja rekodi kwa kuleta hadi mgao wa maji. Ukweli ni kwamba haya yote mliyasababisha miaka mitano iliyopita kwa kuacha kuusema ukweli mkahamia kusifu na kuabudu...
  17. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

    NBC imerejea leo, Mechi kubwa Inayotazamiwa ni wenyeji RUVU SHOOTING vs Simba SC. Baada ya Mapumziko ya wiki kadhaa sasa ngoma inarejea Tutarajiri Nini Kutoka Kwa Simba? Au Ruvu Shooting wataendelea kuwa Bora? ===== 00' Kabumbu limeanza uwanja wa CCM Kirumba 03' Simba wanapata kona ya...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM taifa Daniel Chongolo afunga kambi la UVCCM wilaya Muleba

    KATIBU MKUU CCM TAIFA NDG DANIEL CHONGOLO AFUNGA KAMBI LA UVCCM WILAYA MULEBA. Kagoma, Muleba. Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Daniel Chongolo Katika ziara yake pamoja na Sekretrieti ya CCM Taifa Amefunga kambi la UVCCM lilioandaliwa na Uongozi wa UVCCM Wilaya Muleba Chini ya Mwenyekiti wake...
  19. Cathelin

    JamiiForums Tanzania Tutende wema; hili la umeme na maji ni pigo sana kwa CCM

    CCM waliamini kabisa kuwa kuwafunga wapinzani especially Mbowe, kutadidimiza upinzani na CCM itatawala kwa raha. Mungu si athumani, umetokea ukame, maji na umeme ni shida Tanzania nzima, serikali ni Kama ime-panic hajui la kufanya. Wananchi Wana hasira Sana juu ya upatikanaji wa maji na umeme...
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, tusaidie haya wilayani Kakonko

    Kwanza nichukuwe fursa hii kukukaribisha - KARIBU SANA Pili, nikuombe utusaidie haya yafuatayo:- (a) Jumuiya za chama Hizi zianzishe miradi ya kiuchumi ili ziweze kuwa na nguvu za kiuchumi kwa ajili ya kupanua wigo wa utendaji kazi na kupunguza utegemezi kwenye chama - miradi ipo mingi sana...
Back
Top Bottom