ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kiongozi yupi ndani ya CCM anaweza kuvumilia kukaa mahabusu japo kwa wiki moja kwa ajili ya Wananchi?

    Kati ya viongozi wote wa CCM ni yupi anaweza akatuhumiwa kisiasa akakamatwa na kuwekwa ndani kisha akavumilia kukaa huko akisubiri haki itendeke bila kutuma watu Kwa viongozi waandamizi wakamwombee msamaha? Yupi mwenye uchungu na Wananchi kiasi kwamba anaweza kuweka Taifa mbele na kuachana na...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Tutarajie Katiba Mpya miaka michache ijayo na mpasuko mkubwa wa kiitikadi ndani ya CCM

    Huu sio utabiri ila ndio suluhu ya mwisho ya yanayoendelea huko jikoni. Inasemekana Hayati Magufuli alikuwa tayari amekubali kuuanza upya mchakato wa kuunda katiba ya Wananchi na hili alipata ushauri wa Kina kutoka kwa Mshauri na Mlezi wake Hayati Benjamini, moja ya mependekezo makubwa ya...
  3. mgt software

    JamiiForums Tanzania Ukali wa Rais Samia kifo rasmi cha CCM Asilia na CCM Chotara, CCM Chawa nao hawatafanikiwa

    Wana JF Baada ya Mama Yetu Rais na Chief kutema nyongo kwa makundi yanayoendelea kuandaa kuvuruga mipango yake ya sasa ya kuboresha nchi na kuondoa makondokonda makubwa pamoja na vidonda vilivyoachwa na serikali tangulizi, nupende tu kusema basi kifo rasmi cha Ccm asilia wanaojinasibu kama...
  4. CCM Music

    JamiiForums Tanzania CCM inazidi kupoteza uungwaji mkono sababu ya ugumu wa maisha ya wananchi wengi. Inaniuma sana

    CCM ni kwa ajili ya Wakulima na Wafanyakazi (Jembe na Nyundo). Na haya ndio kiini cha maisha halisi ya watanzania na ndio maana hiki chama nakipenda sana. Lakini, kwa sasa CCM ni chama cha wafanya biashara wakubwa ama cha wenye hela ama cha wenye connection na wenye hela. Period. Hakuna tena...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kwa hii CCM inayopasuka na sisi tunavyojipanga kidigitali 2025 tukishiriki uchaguzi tunaweza kukamata dola

    Tunashuhudia Chama chetu kikisonga kidijitali na kusajili maelfu kwa mamilioni ya wanachama. Tunashuhudia Ccm ambayo imeanza kumeguka kati ya wapinga upigaji madili na wapiga madili. Kwa hali hii ya kisiasa ni wazi kuwa 2025 kama tutashiriki uchaguzi basi tutatoka na ushindi mkubwa.
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Afya; Ahadi ya CCM kwa wananchi

    ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Katika kipindi cha miaka mitano ijayo, Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kutoa kipaumbele katika sekta ya afya kwa kuwa inagusa maisha ya Watanzania na ustawi wa Taifa letu. Lengo la Chama ni kuhakikisha wananchi wanakuwa na...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Bandari; Hii ndio ahadi ya CCM Kwa wananchi

    Usafiri wa Majini Kwa kushirikiana na sekta binafsi, kuendelea kuboresha huduma za uchukuzi katika Bandari za mwambao kwa kufanya yatuatayo:- (a) Kuanza ujenzi wa gati Na. 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam; (b) Kukamilisha uboreshaji wa gati Na. 1 – 7 ili kuimarisha utoaji wa huduma...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Kutoka ilani ya CCM haya ndio ahadi na yanayotakiwa kutekelezwa

    Wafanyabiashara Wadogo (a) Kutengwa kwa maeneo rasmi yenye ukubwa wa hekta 15,822.64 kwa ajili ya wajasiriamali wakiwemo mama lishe na wauza mbogamboga kufanyia biashara katika mikoa 19 ya Arusha, Iringa, Mara, Rukwa, Tanga, Shinyanga, Mwanza, Kilimanjaro, Singida, Morogoro, Manyara, Njombe...
  9. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Digital ni successful plan ambayo hata CCM mnaweza kuiga

    Hawa Chadema sahivi wanakaba hatari[emoji1]. Wametawanya viongozi wao kitaifa, viongozi wa Bavicha, viongozi wa Bawacha nchi nzima kusajiri wanachama wao kwa njia ya kidigitali, whatever we like or not Chadema wamefanikiwa saana kwa hilo. Kusajili watu ata 5m kwenye database yako sio mchezo...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa Serikali ya awamu ya sita na CCM: Kustawi kwa awamu ya sita na CCM

    Kwanza nimshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kuendelea kuilinda nchi yetu Naomba ieleweke hivi kila serikali iliyoko madarakani imechaguliwa na wananchi baada ya kuinadi ilani ya chama husika. Mwaka huu tunaomaliza nchi ilipitia kipindi kigumu sana kwa kuondokewa na Rais aliyechaguliwa na...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko mkubwa ndani ya CCM. Je, sisi wapinzani tutanufaika 2025?

    Tayari mpaka sasa kuna WanaCCM wanaojinasibu kupinga ufisadi na uonevu, na hawa wameshalianzisha na pia kuna kundi ambalo linajinasibu limeshika hatamu na sasa ndio wakati wao wa kujitanua kwa kila namna na tayari kuna harafu kuwa wameanza kupiga madili Kwa ujumla kuna dalili kubwa kuwa Ccm...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tukiendelea kuwatumia wana CCM kwenye miradi watatukwamisha sana

    Mimi naona tungeendelea kuwatumia ma professors wa vyuo vikuu hawana tamaa na pesa kabisa wanaridhika wangefanya kazi vizuri sana, WanaCCM wenzetu wangeendelea kukaa tu bungeni huko hawawezi kutuibia. Lakini kuendelea kuwatumia wana CCM wenzetu kutatukwamisha sana sana. Yaani mimi nafikiria...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri ndani ya CCM kuna kundi la Rais Samia na la Hayati Magufuli

    Huu ndio ukweli ulio wazi ingawa CCM wenyewe hawawezi kukiri hadharani. Kuna hatari ya kundi la Mwendazake kutaka kumuhujuma Mama na mnyukano huu unalenga uchaguzi wa 2025. Hata hivyo, kundi la Mwendazake wajue tu kwa katiba hii mbovu, hakuna wataloweza na ninachowashauri waungane na wapinzani...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wapinzani hasa CHADEMA kusifia wastaafu wa CCM inatukanisha upinzani

    Kumekuwa na kautamaduni ka viongozi na mashabiki wa upinzani kuwasifia viongozi wa CCM pindi wanpokuwa wamestaafu toka kwenye majukumu yao ya kiserikali/chama. Utamaduni huu unawachanganya wananchi hasa wale wenye uwezo mzuri wa kutunza kumbukumbu, kwani mara nyingi unakuta huyu mstaafu wanae...
  15. S

    JamiiForums Tanzania CCM tufanye nini Ili Watanzania mnene ya kwamba sasa kweli matunda ya Uhuru tunayaona?

    Inawezekana kila tunalolifanya, hamtuelewi au mnapotoshwa na hivi vyama uchwara na baadhi ya wasaka tonge,mbali ya ilani zetu kedekede ambazo zinazidi kufurika hadi hatuna pa kuziweka, bado tunaona Watanzania wamejawa na shauku ya kama kuna jambo wanalihitajia ili waone tumefikia kule...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Viongozi wa dini wamekuwa wakisaidi katika kuhamasisha umoja, amani na mshikamano

    SEHEMU YA NUKUU ZA HOTUBA YA KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA ITIKADI NA UENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA SHEREHE YA MAULID MADRASAT NURUU TEMEKE MWISHO DSM "Nitoe wito kwa viongozi wa dini nchini kuwa mstari wa mbele katika kuelekeza jamii mambo mema, ikiwepo kupinga na kukemea vitendo...
  17. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Miaka 60 ya uhuru viongozi wa CCM wakikagua shule iliyojengwa kwa nyasi mkoani Morogoro

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Dorothy Mwamsiku akiwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Anthony Mhando, ametembelea Shule Shikizi Lukande, Wilaya ya Ulanga. https://t.co/S87ZMyXNjU
  18. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Kesi ya akina Mbowe ina manufaa gani kwetu CCM, mbona haitupi any political mileage?

    Wana CCM mliopo mtandaoni. Ni kweli wapinzani hawana ajenda na bawajawahi kuwa nayo zaidi ya blah blah tu. Lakini, nasema lakini sisi wana CCM kupitia CCM Maslahi ndio tunawapa hawa wapinzani cha kutusumbua nacho. Mfano: Hii kesi ya kijinga ya Mbowe ina manufaa gani sasa ki siasa kwetu CCM...
  19. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 02 Desemba 2021ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi nchini Ndg. Daniel Chongolo

    Leo tarehe 02 Desemba 2021ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi nchini Ndg. Daniel Chongolo. Chama Cha Mapinduzi katika akaunti za mitandao ya kijamii kimeandika ujumbe ufutao; "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakutakia heri katika kuadhimisha kumbukumbu ya siku...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Diwani CCM aeleza jinsi ‘mabaunsa’ wa Sabaya walivyomsulubu

    Julai 27, 2021, kesi ya unyang’anyi iliyomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya iliendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Arusha na shahidi wa tano wa Jamhuri, Seleman Msuya (36) aliieleza mahakama alimwona Sabaya akiongoza ‘vijana wake’ kuingia duka la Shaahid...
Back
Top Bottom