Sababu za kwa nini CCM itaanguka kwenye uchaguzi wa 2025

Bando la wiki

JF-Expert Member
May 23, 2023
319
884
Kwanza ieleweke 2025 chama cha mapinduzi kina nafasi kubwa ya kuanguka kwenye uchaguzi mkuu. Endapo kama mama sa100 ndo atapewa nafasi ya kupeperusha bendara ya CCM kazi itakuwa nyepesi sana ya kuanguka kwa sababu zifuatazo;

  • ufisadi kutamalaki chini ya uongozi wake, hapa hata hutakiwi kupepesa macho kuona ufisadi ulivyotamalaki kwenye uongozi huu. Rejea ripoti ya CIG
  • Uzanzibar wake. Huyu mama kaonesha wazi kupendelea Zanzibar kwenye teuzi hata mambo yasioya muungano kaweka ndugu zake wa Zanzibar. Mikopo na pesa nyingi inaelekezwa Zanzibar huku wanaolipia gharama hizo ni watanganyika.
  • Mama kuongoza kampeni ya kuuza mapande ya ardhi ya watanganyika kwa ndugu zake wa uarabuni huku wazawa wakiamishwa kama misukule cheki sakata La Loliondo, DP world n.k
  • Ugumu wa maisha na kupanda kwa bei ya vitu muhimu kama chakula, usafiri. Hapa serikali ya awamu ya 6 imechemka vibaya, vitu muhimu havishikiki sokoni. Chakula bei juu, usafiri bei juu, bill za DAWASA NA TANESCO bei juu kils kitu bei juu kinachofanya maisha ya wananchi kuendelea kuwa magumu. Wananchi wanajihoji au kwa kuwa viongozi hao wanakuta misosi mezani, mafuta na magari bure ndo maana wanashindwa kumpunguzia mzigo hii wananchi??
  • mfumo dume, bado watanzania wengi hawaamini katika mfumo jike kuongoza kwa nafasi kubwa kama mkuu wa nchi. Hivyo wengi wanaona mama samia bado hatoshi kupambana kama rais wa nchi. Ukitaka kuamini hili hata ukiuliza akina mama wa mtaani kuhusu samia wengi wanadai hawaoni anachokifanya, akina mama wao wanamlalamikia juu ya kupanda kwa bei masokoni bila tamko la kudhibiti na bei zikatembea vizuri.
  • makundi ndani ya CCM, ndani ya CCM kumeibuka makundi hatari hasa baada ya kifo cha Magufuli. Kundi la kwanza SUKUMA GANG kundi linalojitanabaisha kwa kupinga ufisadi na kudumisha uzalendo kwa nchi huku likituumu kundi lingine na kuliita MSOGA GANG watu wazuri hawafi, walamba asali, wazee wa kutumia neema na fursa za nchi kwa maslahi yao binafsi na watoto wao. Sasa haya makundi yameshalelewa na hivyo yanaendelea kutopendana ndani kwa ndani chamani. Na siasa zao wanazicheza kwa siri sana.
  • uelewa wa wananchi umeongezeka sana, so zile zama za siasa nyepesi za vipande vya kanga na kofia zinaisha muda wake. Watanzania wengi sasa hivi wanajielewa, vijana wengi wamesoma hawana ajira hivyo wakiulizwa na wazazi na ndugu zao huko vijijini sababu ya kutoajiriwa kwao wanawaelimisha wazazi wao huko vijijini kwamba ni kwa sababu ya ufisadi wa ccm na kuwapa ajira watoto wao. Hiyo inakaa kichwani kwa wananchi hivyo wanasubiri 2025
  • wasifiaji au machawa kwa kufupi hawa ni wanafiki wanasifia machoni huku rohoni wana husda. Hawawezi kusema ukweli juu ya uhalisia wa mambo hivyo mwisho wa siku Ccm itajikuta majimbo mengi wabunge wa upinzani watachukua
 
2020 !!
 
Udini unakutafuna
 
Samia ni mweupe kichwani na upinzani pia hamna kitu, ni kama kikundi cha wanafiki fulani hivi, mafisi. Samia atashinda kirahisi kwa sababu kwa sasa hakuna upinzani Tz ila kikundi cha wajanja wanaotumia siasa kama biashara yao.
Atashinda kwasababu mimi na wewe ni majinga na si kwasababu ya kukosekana upinzani.
 
Kwanza ieleweke 2025 chama cha mapinduzi kina nafasi kubwa ya kuanguka kwenye uchaguzi mkuu. Endapo kama mama sa100 ndo atapewa nafasi ya kupeperusha bendara ya CCM kazi itakuwa nyepesi sana ya kuanguka kwa sababu zifuatazo;

  • ufisadi kutamalaki chini ya uongozi wake, hapa hata hutakiwi kupepesa macho kuona ufisadi ulivyotamalaki kwenye uongozi huu. Rejea ripoti ya CIG
  • Uzanzibar wake. Huyu mama kaonesha wazi kupendelea Zanzibar kwenye teuzi hata mambo yasioya muungano kaweka ndugu zake wa Zanzibar. Mikopo na pesa nyingi inaelekezwa Zanzibar huku wanaolipia gharama hizo ni watanganyika.
  • Mama kuongoza kampeni ya kuuza mapande ya ardhi ya watanganyika kwa ndugu zake wa uarabuni huku wazawa wakiamishwa kama misukule cheki sakata La Loliondo, DP world n.k
  • Ugumu wa maisha na kupanda kwa bei ya vitu muhimu kama chakula, usafiri. Hapa serikali ya awamu ya 6 imechemka vibaya, vitu muhimu havishikiki sokoni. Chakula bei juu, usafiri bei juu, bill za DAWASA NA TANESCO bei juu kils kitu bei juu kinachofanya maisha ya wananchi kuendelea kuwa magumu. Wananchi wanajihoji au kwa kuwa viongozi hao wanakuta misosi mezani, mafuta na magari bure ndo maana wanashindwa kumpunguzia mzigo hii wananchi??
  • mfumo dume, bado watanzania wengi hawaamini katika mfumo jike kuongoza kwa nafasi kubwa kama mkuu wa nchi. Hivyo wengi wanaona mama samia bado hatoshi kupambana kama rais wa nchi. Ukitaka kuamini hili hata ukiuliza akina mama wa mtaani kuhusu samia wengi wanadai hawaoni anachokifanya, akina mama wao wanamlalamikia juu ya kupanda kwa bei masokoni bila tamko la kudhibiti na bei zikatembea vizuri.
  • makundi ndani ya CCM, ndani ya CCM kumeibuka makundi hatari hasa baada ya kifo cha Magufuli. Kundi la kwanza SUKUMA GANG kundi linalojitanabaisha kwa kupinga ufisadi na kudumisha uzalendo kwa nchi huku likituumu kundi lingine na kuliita MSOGA GANG watu wazuri hawafi, walamba asali, wazee wa kutumia neema na fursa za nchi kwa maslahi yao binafsi na watoto wao. Sasa haya makundi yameshalelewa na hivyo yanaendelea kutopendana ndani kwa ndani chamani. Na siasa zao wanazicheza kwa siri sana.
  • uelewa wa wananchi umeongezeka sana, so zile zama za siasa nyepesi za vipande vya kanga na kofia zinaisha muda wake. Watanzania wengi sasa hivi wanajielewa, vijana wengi wamesoma hawana ajira hivyo wakiulizwa na wazazi na ndugu zao huko vijijini sababu ya kutoajiriwa kwao wanawaelimisha wazazi wao huko vijijini kwamba ni kwa sababu ya ufisadi wa ccm na kuwapa ajira watoto wao. Hiyo inakaa kichwani kwa wananchi hivyo wanasubiri 2025
  • wasifiaji au machawa kwa kufupi hawa ni wanafiki wanasifia machoni huku rohoni wana husda. Hawawezi kusema ukweli juu ya uhalisia wa mambo hivyo mwisho wa siku Ccm itajikuta majimbo mengi wabunge wa upinzani watachukua
Sisi ni chawa wa faida.
 
Mimi siku zote naombea utokee uasi katika vikosi vya wanajeshi wetu ndio kitu kitakachoweza kuitoa ccm madarakani hakuna njia nyingine
 
Unajidanganya ndugu yangu. Ccm itashinda tena kwa kishindo. Hizi kelele ni za kawaida sana hata kwa Jpm kulikuwa na kelele nyenye za kutekana na kuua lakini alitangazwa mshindi bila kushinda. Time ni ya ccm we piga kula lakini wao ndo wanatangaza mshindi wamtukaye.
 
Kwa Tume ipi ya Uchaguzi???
 
Kwa Tume ipi ya Uchaguzi?
 
Back
Top Bottom