ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze

    Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe. Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

    Karibu kila mahali na mitandaoni kote wadau mbali mbali wanaulizia aliko Mchambuzi Mahiri na Mtetezi kabambe wa siasa za CCM, Bwana Thadei Ole Mushi. Kwani ni kipi kimemtokea huyu Jamaa?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Je, CCM wameanza kampeni za uchaguzi wa 2025?

    Wanajamvi Nauliza iwapo kampeni zimeanza, maana ninachokiona kwa CCM ni kama wameanza mapema mno bila vyama vingine kushtukia. Mifano na viashiria ni vingi lakini leo nitazungumzia ziara ya kufunga mbio za Mwenge Manyara zilivyoombatana na wasanii wa ‘Mama ongea na Mwanao’. Hii imekaaje?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Gumzo: Makatibu CCM Singida Wasafirishwa na Mfanyabiashara kwenda Arusha kuandaa Mazingira ya Kuchukua Jimbo 2025

    Huko Mkoani Singida Makatibu wa CCM kata wilaya ya Mkalama inasemekana walisafirishwa na mfanya biashara ajulikanae kwa jina la Baraka Kwenda jijini Arusha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa 2025, ikiwa ni moja ya ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi ndani ya CCM pia ni ajabu kwa Uongozi wa CCM...
  5. JamiiForums Tanzania Msimamo wa CCM kwa rasilimali za Taifa ni upi?

    Kwa mujibu wa katiba ya JMT suala la rasilimali za Taifa limejengewa wigo mpana wa ulinzi wake kupitia ibara ya 27.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda maliasili ya Jamhuri ya Muungano, mali ya mamlaka ya nchi, mali yote inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi, na pia kuheshimu mali ya mtu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nitajie kiongozi wa CCM aliyelalamikia uwepo wa mgawo wa umeme nchini? Kama hakuna, je mgawo ni ajenda ya chama?

    Viongozi wa CCM na serikali hakuna Sehemu wanaosikika wakipiga kelele kupata madhara ya kiuchumi kwa upungufu wa umeme nchini. Hakuna hata mmoja aliyesikika au simama kutoa mawazo mbadala juu ya nini kifanyike. Ukimya huu unamaanisha kwamba hakuna adhari wanazoona au wameamua kwa pamoja wakae...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wakati Mahakama na Bunge nchini Tanzania zikiwekwa mfukoni na CCM, huko nchini Kenya Mahakama kuu imezuia Polisi wa nchi hio kutumwa nchini Haiti.

    Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa muda kutumwa kwa maafisa wa polisi nchini Haiti kufuatia pingamizi/ombi lililowasilishwa na chama cha...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa akamatwa kwa kufanya mkusanyiko usio halali huko Busokelo Rungwe

    Mwambata wa 'SAUTI YA WATANZANIA' na Mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa, ameshindwa kufanya mkutano wake na waandishi wa habari uliotakiwa kufanyika mapema Jumatatu hii (Oktoba 09.2023) jijini Mbeya baada ya kuchukuliwa na maofisa wa Jeshi la Polisi kutoka hotelini alipofikia kwenda Ofisi ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sasa kama bandari ya Ujiji hairidhishi sisi nyie kama sehemu ya CCM si muifanye iridhishe. Poor Act Wazalendo

  10. JamiiForums Tanzania 2025 tuchague kwa uwazi CDM huisaliti CCM kwa husuda

    Team! # Kuchagua kwa siri ni tukio baya sana - kutoichagua CCM ni kuionea kwa sababu hizi:- * CCM imejenga Miundombinu - "barabara, viwanja vya ndege, meli, reli" kibao kwa ajili ya watanzania wote (CCM, CDM, CUF, NCCR nk) * Elimu ya Juu - sijasikia wkt wa mikopo kwa watoto wetu ikitolewa kwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike wananchi waanze kutokeza kwenye mikutano ya viongozi wa CCM na serikali wakiwemo mawaziri?

    Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa. Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya lakini wananchi wamegoma kujitokeza kwenye mikutano waliyofanya. Katibu mkuu mdogo wetu Chongoro...
  12. JamiiForums Tanzania FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

    Match Day 📅 October 8, 2023. ⚽ NBC Premier League Singida Fountain Gate vs Simba Sc 🏟️ CCM Liti, Singida. ⏰ 4:00Pm. Haya, kumekucha vyema. Baada ya michezo ya jana ya ligi kuu Tanzania Bara kupigwa, Tukishuhudia Yanga kutoa kipigo kwa Geita Gold cha 3-0 Huku Ihefu akizamishwa na KMC kwa 1 -...
  13. JamiiForums Tanzania CCM imtumie Chalamila kufanikiwa kwa Samia

    Na Kevin Lameck Tanzania itaingia katika chaguzi mbili muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya wananchi na Taifa kwa ujumla. Ni uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kwa mara ya kwanza tutamshuhudia Samia Suluhu Hassan akipambana kwenye majukwaa ya kampeni ili...
  14. JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa CCM tunaomba utembelee Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, vijiji vyote Tangu uhuru havijawahi kupata maji safi na salama

    Kwa masikitiko makubwa na hizi ni kubwa, ninaomba kumjulisha Katibu Mkuu wa CCM kuwa, Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, mkoa wa mbeya. Haina maji safi na salama Tangu Tanzania upate uhuru hadi leo. Kata ya Matundasi ina vitongoji vifuatavyo:- Itumbi Kisimani Makatang'ombe Matondo...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Ntate Katika Mkutano wa Utekelezaji Ilani ya CCM Mtaa wa Maganga, Temeke.

    MBUNGE JANEJELLY NTATE KATIKA MKUTANO WA USOMAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM MTAA WA MAGANGA, TEMEKE Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 07 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Mkutano wa kusoma...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Leo Mzee Kikwete ametimiza miaka 73; wanasiasa wa CCM na Upinzani nawakumbusha kumtakia maisha marefu

    Mhe. Kikwete amewaleta kwenye uwanja wa siasa vijana na wazee wengi wanaongara leo. Lakini wasipokumbishwa kumtakia happybithday huyu father may be wanaweza kupotezea. Sisi jukumu letu nikuwakumbusha kuandika hata KINAFIKI kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba mzee kazaliwa. Naona...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani Tanzania vinashindana, vikipata mshindi ndio mapambano dhidi ya CCM yataanza

    Asalam, Tukumbushane, 20% wanataka vyama vingi, 80% wanaitaka CCM kama Chama Pekee. Hapajakuwa tena na kura za maoni tofauti na hizo. Matokeo ya Uchaguzi Mkuu hayajawahi kushinda huu utafiti wa Je tuwe na vyama vingi au lah. Hoja, hii 20% haina rangi kiasi kwamba unaweza kusema ni yule na...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

    Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja. Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport. Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka. Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ya sasa ikiwa CCM itaendelea kubaki madarakani basi sitamsomesha mwanangu hapa

    Ukweli ni mtupu tuna wapotezea mda watoto wetu kwenye hii nchi isiyotaka waelewa na wenye kuona mbali. Angalia tu kuanzia serikali ya ccm,wajinga wanapewa nafasi kubwa kuliko welevu. Japo elimu tunayo ila Ijawahi kusaidia taifa hata kubuni njiti ya kiberiti. Tunawo wataalamu wakila nyanja ila...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mwaka 2025 Waziri Mkuu apeperusha bendera ya CCM kuwania kiti cha urais

    Nimekuwa nikifuatilia hotuba, maamuzi, ushauri, ufuatiliaji wa shughuli za Serikali na kufanya kazi kama timu moja napendekeza Mhe. Waziri Mkuu apeperushe bendera ya CCM mwaka 2025 kwa nafasi ya mgombea wa CCM kama Rais.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…