ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Mama Samia anapoteza nguvu ndani ya CCM

    Pamoja na wote wanasiasa wanajaribu kufuata trend ya wananchi. Kwasasa tred ipo kwenye kudai haki, kupinga sheria mbovu, kupinga utekaji, undugu, u bara na u zanzibari, kupinga rushwa na kutaka haki kwa kila mtu bila kujali chama. Sasa kwa misingi hiyo hata ndani ya CCM kuna wengi hawapendi...
  2. JamiiForums Tanzania Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

    Hamjambo! 1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana. 2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana...
  3. A

    JamiiForums Tanzania CCM OYE

    WOTE TUTAMBUE JUKUMU LA MAMA SAMIA SIO KUTUPA WANANCHI FURSA,MAMBO MENGI HAYAFAI YAMETOKANA NA UTEGEMEZI HUU, JUKUMU LA MAMA SAMIA NI KUSIMAMIA SERIKALI NA UTENDAJI WAKE ,KUFANYA MIUNDO MBINU YA KIMAENDELEO YA TANZANIA NA KUANGALIA MASLAHI YAKE BINAFSI KAMA BINADAMU MWINGINE.TUACHE KUTAKA FURSA...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM tulichepuka, tunataka Kurudi Njia Kuu

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema CCM imeazimia kujifanyia tathimini kwa kupata maoni ya wanachama wake ngazi za chini kuelekea uchaguzi wa chama hiko kwa lengo la kupata viongozi bora na kushughulikia kikamilifu changamoto za Watanzania. Ameyasema haya mkoani Kigoma...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi aipongeza UVCCM kwa kuipa CCM ushindi

    DKT. MWINYI AIPONGEZA UVCCM KWA KUIPA CCM USHINDI MKUBWA UCHAGUZI MKUU 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kazi kubwa na ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu Nchemba jiuzulu kwa kuyachafua mataifa ya jirani hasa Kenya kuwa raia wake walikuja Tanzania kushiriki kupindua serikali ya CCM

    Wakili Maduhu anasema amekagua hati za mashitaka nchi nzima za watu walioshitakiwa kwa kuhusika na uhaini wa Oktoba 29 lakini hakuna hata raia kigeni aliyeshitakiwa. Wewe kama Waziri mkuu baada ya kuapishwa ulitamka kuwa kwenye maandamano hayo raia wa kigeni hasa Kenya walihusika na walikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Siasa za Upinzani ni lazima ziwe zile zinazowalazimisha CCM waendelee Kuteka na kuua, Kuzuia Vyama au Kuvifuta, Kuwafunga jela Wapinzani n.k

    Mnajua Maji ya shingo? Au ile tunasema Kupumulia mashine ? Hiyo ndio Hali ya CCM ilivyo kwa sasa. CCM kwa sasa ímeichafua NCHI kwa Matendo yake, Dunia yote inawamulika CCM. Hamjui Kuna wàna CCM wameficha Hela na Mali zao Njé ya NCHI?. .... Sasa hili ndio Kundi la Hatari ambalo hata Samia...
  8. JamiiForums Tanzania Wasira: CCM kujifanyia tathmini unalenga kuboresha uongozi na kutatua changamoto za wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kuagiza chama kujifanyia tathmini unalenga kuboresha uongozi na kuhakikisha changamoto za wananchi zinashughulikiwa ipasavyo. Wasira amesema katika kuelekea uchaguzi...
  9. JamiiForums Tanzania Huenda vibaka wa kisiasa na wanaharakati uchwara waliotajwa kuchochea ghasia za Oct.2025, wakatimkia ughaibuni kabla ya kunaswa na mkono wa sheria

    Sote ni mashahidi kwamba, hali ya kisiasa nchini hasa baada ya tume ya jaji chande kuwasilisha ripoti yake kwa rais Dr.Samia Suluhu Hassan, tayari kuna kila dalili na mipango kwa hasa hawa vibaka wa kisiasa na wanaharakati uchwara nchini, ambao kwa namna moja ama nyingine wametajwa kushiriki...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Sisty Nyahoza: Hebu onesha kwa umma barua ulizowaandikia CCM ukiwatishia kuwafutia usajili wao kwa kauli za viongozi na wanachama wao

    https://www.youtube.com/live/9rRDBtpMBqU?si=64FYJTRZAy4diXUs Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kupitia kwa mtu mmoja tu aitwaye Sisty Nyahoza imeanza tena kutengeneza mwanya wa uwezekano wa kutokea kwa vurugu na mauaji mengine kwa sababu tu ya maamuzi na utendaji wao mbovu, wa kijanja janja...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Bado siamini CCM imetoa eneo la Biafra kwa mfanyabiashara wa showroom wakati lilikuwa tija zaidi kijamii

    Eneo la wazi la Biafra Kinondoni limebeba kumbukumbu na historia ya makuzi ya watu wengi kwa miongo kadhaa. Wengi wetu tumelikuta kama sehemu ya michezo, mikutano ya kijamii na hata sehemu iliyounganisha jamii ya Kinondoni kwa namna tofauti tofauti. Ndiyo maana eneo hilo halikuwa tu ardhi ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Madai ya CCM kutumia helicopter za Jeshi wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025, Msajili aliwahi fuatilia na kuchukua hatua?

    Hili ndio swali langu kwa Msajili wa vyama vya siasa nchini kama anapita humu JF au ana wasaidizi wake wanapita humu
  13. JamiiForums Tanzania Kuna mtumishi aliyekubalika na watawala CCM na kudumu muda mrefu zaidi katika nafasi yake zaidi ya Jaji Mutungi?

    Amehudumu katika nafasi moja tangu mwaka 2013(miaka 13!). Amefanya kazi chini ya marais watatu bila kuondolewa kwenye kiti chake au hata kunyooshewa kidole na mtawala yeyote wakati wowote. Wote wameipenda na kuridhishwa na kazi yake Jaji Francis Mutungi, msajili wa vyama vya siasa!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tayari chali! CCM imebaki sasa kutegemea vyombo tu hata kampeni hawawezi

    Tayari chali! CCM imebaki sasa kutegemea vyombo tu hata kampeni hawawezi
  15. JamiiForums Tanzania Katibu wa Siasa na Uenezi CCM-Njombe: Ukiwa CCM una uhakika wa kwenda mbinguni, hatuendi kwa kusali sana

    Katibu wa Siasa na Uenezi CCM, Wilaya ya Njombe, Hitler Msolla amesema hayo Mei 12, 2026 wakati wa ziara ya kikazi katika Kata ya Mjimwema, alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata hiyo huku akiwakumbusha Viongozi umuhimu wa kulipia kadi zao za chama na kufanya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nape asema Uimara wa CCM unategemea Upinzani, akiri kum-'miss' Zitto Kabwe bungeni

    Akiwa kwenye mahojiano na Podcast ya MS, Nape Nauye Mbunge wa Mtama anaelez kuwa yeye ni muumini wa CCM imara inahitaji upinzani imara na kama upinzani utakuwa dhaifu basi italeta shida kwa CCM. Nape anaeleza pia kuwa anamkumbuka sana na kutamani uwepo wa Zitto bungeni.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Siasa na Uenezi CCM-Njombe: Ukiwa CCM una uhakika wa kwenda mbinguni, hatuendi kwa kusali sana

    Hitler Msolla Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Njombe, amesema hayo Mei 12, 2026 wakati wa ziara ya kikazi katika Kata ya Mjimwema, alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata hiyo huku akiwakumbusha Viongozi umuhimu wa kulipia kadi zao za chama na kufanya vikao vya...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Inakuaje mbunge Hajui kwamba hela ya kumuona daktari ni ya serikali yao CCM

    Habari . Kwanini wabunge watanzania wanachangia hoja pasipo kuwa wafuatiliaji wa mambo. Leo nimeona mbunge mmoja anaongea kuhusiana na hela ya kumuona Daktari (consultation fees) Hii ni fedha muongozo wake ulipitishwa bungeni na wabunge wakakubali. Kingine hela ya kumuona Daktari haingii...
  19. JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonyesha kuwa Watanzania wengi wanamsongo wa mawazo sababu ya utawala wa CCM chini ya rais Samia. Keki ya taifa anafaidi yeye na watu wake

    Leo Bungeni ni Mkwilima wake ndio ameutangazia umma kuwa Watanzania hasa Watanganyika kuwa wana stress na msongo wa mawazo. Kwamba wameshadata. Utaaje kudata kudata wakati wewe huwezi kupata milo hata miwili? Rais na familia yake na hata wakwe zake wanafaidi keki ya taifa? Hii nchi ni mali ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kitachoiondoa CCM madarakani ni Ukosefu wa ajira kwa vijana Kiburi, dharau na Propaganda za Maji taka ndo aguko la CCM

    Ukosefu wa ajira kwa vijana amabo ni GenZ hawa ndo wanafanya ccm wanalala macho wazi pamoja na vitisho vyote lakini vijana wa Ge-z waliweza kutoka nje October 29 bila kuogopa. Kwa mbegu iliyopandwa October 29 wasifikiri Gen Z wamekubali yaishe pamoja na kuona wenzao wanapigwa risasi marafi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…