ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania CCM wamekataa tamaa ya kushindana katika majukwa ya kisiasa na CHADEMA. Wanaona hawana tena cha kupoteza hivyo liwalo na liwe

    Yote mnayoyaona na kuyasikia, msingi wake mkuu ni kama nilivyoeleza katika kichwa cha habari cha uzi huu. Wamechafuka na kukataliwa ndani na nje ya nchi na kwa akili zao, CHADEMA ndio wamewaponza, wanasahau ni ulevi wa madaraka na kupuuza madai ya msingi ya wananchi ndio umewafikisha hapo...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa

    Watu weusi tunarudishwa utumwani wa kisasa sasa. Hakuna waafrika pakukimbilia afrika kila sehemu afrika ni kama ring tone zina fanana kwa ujinga wao. Hivi mnajua zile muvi za zombie ujumbe ulikuwa afrika itakuwa kama zombies na control na vikundi vya zombie wenye unafuu. Hii ripoti msije...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wote mpaka kufikia October 29 na kuweka serikali CCM madarakani .Tuseme ukweli hakuna yoyote anaweza kumkemea wala kukemeana

    Kama ushawahi kufanya biashara ambayo inapita gizani au haramu ni ngumu sana kupelekana kwenye haki na cha zaidi mtabaki kuangaliana au kuumizana wenyewe. Kwa utawala huu ni wazi kwa sasa usishangae hata walio muweka wanaweza kufanya chochote na hakuna wakukemeana. Hii itakuja kutokea mfano...
  4. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Mafwele nakukumbusha tu, hao CCM na Serikali watakupoteza muda ukifika

    Kwa sasa utaenjoy kuskia sauti za unaowaua wakiwa wanalia kuomba usiwauwe na unawaua! Amini nakuambia watu dhalimu kama wewe huwa hawafi mapema! Mungu huwa anawaacha ili watumikie dhambi zao hapa hapa duniani! Nakukumbusha tu CCM wakishamaliza episode hii basi utapukutika! America pia hawako...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wakinielewa kama Mange Kimambi anavyonielewa, CCM itachukiwa Kuanzia ngazi ya Familia Hadi Taifa, kuanzia Kijijini Hadi Mijini

    Nilimuonya LEMA na wengineo kua Waache Siasa za kuihalalisha Serikali ya CCM, Nikawashauri hapa https://www.jamiiforums.com/threads/mikutano-ya-chadema-ijikite-kuzungumzia-mo29-lissu-utekaji-na-mauaji-yanayoendelea-ijikite-kuwatia-wananchi-huzuni-na-hasira-lema-shituka.2436248/ Hapa Lengo ni...
  6. passioner255

    JamiiForums Tanzania CCM waondoeni hao wahuni walioteka chama chenu

    CCM haya yote yanayoendelea kama utekaji,mauaji nk ni kwa sababu wahuni wameteka chama chenu na serikali.Watanzania. wameshawawakataa ndo maana mnatumia nguvu nyingi mpaka kuua ili muwe madarakani. Kama hamtaki chama chenu kuanguka watoeni hao wahuni madarakani na chamani msafishe kila kitu...
  7. P

    JamiiForums Tanzania CCM na utii wa sheria

    Siku za hivi karibuni nimemsikia msajili msaidizi wa vyama vya siasa ndugu Sisty Nyahoza akikiri hadharani kuwa pamoja na ukubwa wa CCM lakini wamekuwa wanatii na kuwajibika kwa makosa mbalimbali yanayofanywa na wanachama wake Si mara moja au mbili wamekuwa wakiwaandikia barua za onyo na...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama aiandikia barua CCM kuhusu kauli ya Chatanda

    Kauli ya Chatanda yaiponza CCM, Msajili ailima barua. Tusubiri kilichoandikwa kama ni kutishia kukifuta au ni geresha.
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kahama: CCM, yaanza kuvunja Vizimba vya CHADEMA

    Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena. Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia. Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
  10. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Chadema Ikifa, Siasa za Vyama Vingi Zitakufa — Je, CCM Itabaki Salama?

    Katika siasa za kidemokrasia, uwepo wa upinzani si hisani kwa chama tawala bali ni sehemu ya mfumo wenyewe. Ndiyo maana swali la “ikiwa Chadema itadhoofika au kufa, CCM itabaki salama?” lina uzito mkubwa kuliko wengi wanavyofikiria. Kwa miaka mingi, imekuwa chama kikubwa na chenye mizizi...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sio Gambo tu zaidi ya makada 200 wa CCM kuhamia CHADEMA hii ni kwasababu CCM imeparaganyika tangu Oktoba 29

    Inasemekana zaidi ya makada mia mbili na ushee watahamia Chadema. Wamevutiwa na msimamo imara na madhubuti wa Heche na Lissu. CCM chini ya rais Samia inaendeshwa kwa undugunization na imekumbatia wapigaji. Wengi wa makada hawa walikuwa wanamsumbua Heche wakidhania Chadema ingeshiriki...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hii CHADEMA Kiboko inatisha itawatoa Mapafu CCM

    Guys Chadema ilitisha sana kahama pamoja na.mizengwe ya CCM 1. NMB Wakagawa mitungi ya gas bure waaapi. 2. Leseni bure kwa boda boda waapi 3. Asili festival wapiii Watu walikataa yote hayo wakachagua Chadema.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Chatanda ikemewe, imeonesha dharau kwa Mwenyekiti wa CCM

    Natumia jukwaa kuelezea kauli tata ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Chatanda na kumtaka aliyoitoa kuomba radhi kwa kauli hiyo na akemewe. Sina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika kazi zake za kukiimarisha Chama lakini kauli zenye mashaka daima lina chimbuko la kusudi la kauli...
  14. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya nchi hii hayatokani wala kusababishwa na CHADEMA bali CCM imekengeuka sio tena Chama cha wakulima na wafanyakazi

    CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha wakulima na wafanyakazi ghafla kikawa chama cha wafanya biashara, Mafisadi ni ukweli usiopingika kwamba...
  15. Think2

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya ziwa victoria ni aibu kwa CCM na viongozi wake kwa ujumla

    Leo ilikuwa siku ya maadhimisho ya ziwa Victoria cha ajabu wananci wa jiji la mwanza wamesusia maadhimisho hayo kulikuwa hakuna watu kabisa Waliokuwepo ni waalimu(hawa ndio watu wajinga zaidi Tanzania) na wanafunzi wao tu tena wamesafirishwa kutoka maeneo mbalimbali ya jiji kuja nyamhongolo...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo kila CHADEMA wanapoweka mkutano .Serikali ya CCM mnaandaa matamasha na wasanii ili watu wasifike.Mnazidi kuumbuka

    Kwa mtindo huu siku ICC ikitaka kuja kwa nguvu na hisi mtatoa pesa yote kuwaleta wasanii wote billboard na mataifa mengine. Leo Kahama naelezwa walipoona mwendo wa watu kuwepo kwenye mkutano wakaamua kuita wasanii na vimbengwa.
  17. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna project inafanywa na CCM ili ACT - Wazalendo iongoze maridhiano

    Baada ya Chadema kusimamia msimamo wake kuhusu maridhiano, CCM imekuja na project mpya. Wameamua kuitumia ACT kwa vile imekuwa ikitumika kuisafisha CCM kwa muda mrefu. Ili Zitto na chama chake tuwaamini wameambiwa wahoji matokeo ya tume ya Chande na wahoji kwanini viongozi wa majeshi...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Samia Bado unamtuma Wasira asimame majukwaani kuiongelea CCM?!

    Real Stephen Wasira, bado anatumwa kuiubili injili ya ccm na mauaji yaliyojitokeza 29.10? Dr. Samia soma alama za nyakati huyo atumwe kigoma, sumbawanga, mbagara ILA akija Kilimanjaro tafadhali muwe macho
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna kikundi kinalipwa na CCM na serikali kwa jina cyber kinaitwa Farming Ghost Account.

    Farmin ghost account ilianza bara za asia sana kwa wale ambao mlikuwa mfahamu ni kwamba mtu mmoja au kundi la watu wanamiliki account kama email,mitandao ya kijamii zaidi ya moja. Mtindo huu umefanya makampuni ya mitandao ya kijamii kuanza kuzibiti mfano kama usajili wa simu sasa ila sio kote...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali ya CCM mnachokifanya ni kile kile cha Zimbabwe kwa mugabe.

    Kabla upako wa mugabe ujamfikia pale Zimbabwe kulikuwa na matukio kama haya ambayo tunaendelea nayo tanzania. Uhai wa mtu kuondolewa kulinda CCM kubaki madarakani sasa unajionesha wazi wazi kwa maneno na matendo. Nimeshindwa kuelewa mpaka sasa yani CCM ina vikundi vya siri ambayo sasa...
Back
Top Bottom