Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,501
- 164,076
Hili ndio swali langu kwa Msajili wa vyama vya siasa nchini kama anapita humu JF au ana wasaidizi wake wanapita humu
Nafikiri viongozi wa CHADEMA waibue upya hii tuhuma na kama wana ushahidi wauwasilishe.Angethubutu angefutwa Kazi siku hiyohiyo
Gentleman,Hili ndio swali langu kwa Msajili wa vyama vya siasa nchini kama anapita humu JF au ana wasaidizi wake wanapita humu
Jaji Mutungi na wewe wote niGentleman,
Mwenye dhamana ya umma wa waTanzania kuongoza nchi ana haki ya kutumia kila kilicho cha umma kuongoza nchi. Na hiyo ni kwa mujibu wa sheria 🐒