ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hii CHADEMA Kiboko inatisha itawatoa Mapafu CCM

    Guys Chadema ilitisha sana kahama pamoja na.mizengwe ya CCM 1. NMB Wakagawa mitungi ya gas bure waaapi. 2. Leseni bure kwa boda boda waapi 3. Asili festival wapiii Watu walikataa yote hayo wakachagua Chadema.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Chatanda ikemewe, imeonesha dharau kwa Mwenyekiti wa CCM

    Natumia jukwaa kuelezea kauli tata ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Chatanda na kumtaka aliyoitoa kuomba radhi kwa kauli hiyo na akemewe. Sina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika kazi zake za kukiimarisha Chama lakini kauli zenye mashaka daima lina chimbuko la kusudi la kauli...
  3. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya nchi hii hayatokani wala kusababishwa na CHADEMA bali CCM imekengeuka sio tena Chama cha wakulima na wafanyakazi

    CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha wakulima na wafanyakazi ghafla kikawa chama cha wafanya biashara, Mafisadi ni ukweli usiopingika kwamba...
  4. Think2

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya ziwa victoria ni aibu kwa CCM na viongozi wake kwa ujumla

    Leo ilikuwa siku ya maadhimisho ya ziwa Victoria cha ajabu wananci wa jiji la mwanza wamesusia maadhimisho hayo kulikuwa hakuna watu kabisa Waliokuwepo ni waalimu(hawa ndio watu wajinga zaidi Tanzania) na wanafunzi wao tu tena wamesafirishwa kutoka maeneo mbalimbali ya jiji kuja nyamhongolo...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo kila CHADEMA wanapoweka mkutano .Serikali ya CCM mnaandaa matamasha na wasanii ili watu wasifike.Mnazidi kuumbuka

    Kwa mtindo huu siku ICC ikitaka kuja kwa nguvu na hisi mtatoa pesa yote kuwaleta wasanii wote billboard na mataifa mengine. Leo Kahama naelezwa walipoona mwendo wa watu kuwepo kwenye mkutano wakaamua kuita wasanii na vimbengwa.
  6. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna project inafanywa na CCM ili ACT - Wazalendo iongoze maridhiano

    Baada ya Chadema kusimamia msimamo wake kuhusu maridhiano, CCM imekuja na project mpya. Wameamua kuitumia ACT kwa vile imekuwa ikitumika kuisafisha CCM kwa muda mrefu. Ili Zitto na chama chake tuwaamini wameambiwa wahoji matokeo ya tume ya Chande na wahoji kwanini viongozi wa majeshi...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Samia Bado unamtuma Wasira asimame majukwaani kuiongelea CCM?!

    Real Stephen Wasira, bado anatumwa kuiubili injili ya ccm na mauaji yaliyojitokeza 29.10? Dr. Samia soma alama za nyakati huyo atumwe kigoma, sumbawanga, mbagara ILA akija Kilimanjaro tafadhali muwe macho
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna kikundi kinalipwa na CCM na serikali kwa jina cyber kinaitwa Farming Ghost Account.

    Farmin ghost account ilianza bara za asia sana kwa wale ambao mlikuwa mfahamu ni kwamba mtu mmoja au kundi la watu wanamiliki account kama email,mitandao ya kijamii zaidi ya moja. Mtindo huu umefanya makampuni ya mitandao ya kijamii kuanza kuzibiti mfano kama usajili wa simu sasa ila sio kote...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali ya CCM mnachokifanya ni kile kile cha Zimbabwe kwa mugabe.

    Kabla upako wa mugabe ujamfikia pale Zimbabwe kulikuwa na matukio kama haya ambayo tunaendelea nayo tanzania. Uhai wa mtu kuondolewa kulinda CCM kubaki madarakani sasa unajionesha wazi wazi kwa maneno na matendo. Nimeshindwa kuelewa mpaka sasa yani CCM ina vikundi vya siri ambayo sasa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ kaaeni chini mpange kuikataa CCM, inawafuata

    Leo Mzee Wassira ameropoka, mpango wao waliokaa wakajadili. According to yeye watawatafuta baadhi yenu na akasisistiza "Tusiwe tunafuga nyoka ndani" hili sio neno la Gen-Z. Tarehe 29 kuna Askari walioambatana na Waandamanaji wakisubiri kama Wakuu wa baadhi ya Kambi wataingiwa na Ujasiri... CCM...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Mama Samia anapoteza nguvu ndani ya CCM

    Pamoja na wote wanasiasa wanajaribu kufuata trend ya wananchi. Kwasasa tred ipo kwenye kudai haki, kupinga sheria mbovu, kupinga utekaji, undugu, u bara na u zanzibari, kupinga rushwa na kutaka haki kwa kila mtu bila kujali chama. Sasa kwa misingi hiyo hata ndani ya CCM kuna wengi hawapendi...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

    Hamjambo! 1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana. 2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana...
  13. A

    JamiiForums Tanzania CCM OYE

    WOTE TUTAMBUE JUKUMU LA MAMA SAMIA SIO KUTUPA WANANCHI FURSA,MAMBO MENGI HAYAFAI YAMETOKANA NA UTEGEMEZI HUU, JUKUMU LA MAMA SAMIA NI KUSIMAMIA SERIKALI NA UTENDAJI WAKE ,KUFANYA MIUNDO MBINU YA KIMAENDELEO YA TANZANIA NA KUANGALIA MASLAHI YAKE BINAFSI KAMA BINADAMU MWINGINE.TUACHE KUTAKA FURSA...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM tulichepuka, tunataka Kurudi Njia Kuu

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema CCM imeazimia kujifanyia tathimini kwa kupata maoni ya wanachama wake ngazi za chini kuelekea uchaguzi wa chama hiko kwa lengo la kupata viongozi bora na kushughulikia kikamilifu changamoto za Watanzania. Ameyasema haya mkoani Kigoma...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi aipongeza UVCCM kwa kuipa CCM ushindi

    DKT. MWINYI AIPONGEZA UVCCM KWA KUIPA CCM USHINDI MKUBWA UCHAGUZI MKUU 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kazi kubwa na ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu Nchemba jiuzulu kwa kuyachafua mataifa ya jirani hasa Kenya kuwa raia wake walikuja Tanzania kushiriki kupindua serikali ya CCM

    Wakili Maduhu anasema amekagua hati za mashitaka nchi nzima za watu walioshitakiwa kwa kuhusika na uhaini wa Oktoba 29 lakini hakuna hata raia kigeni aliyeshitakiwa. Wewe kama Waziri mkuu baada ya kuapishwa ulitamka kuwa kwenye maandamano hayo raia wa kigeni hasa Kenya walihusika na walikuwa...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Siasa za Upinzani ni lazima ziwe zile zinazowalazimisha CCM waendelee Kuteka na kuua, Kuzuia Vyama au Kuvifuta, Kuwafunga jela Wapinzani n.k

    Mnajua Maji ya shingo? Au ile tunasema Kupumulia mashine ? Hiyo ndio Hali ya CCM ilivyo kwa sasa. CCM kwa sasa ímeichafua NCHI kwa Matendo yake, Dunia yote inawamulika CCM. Hamjui Kuna wàna CCM wameficha Hela na Mali zao Njé ya NCHI?. .... Sasa hili ndio Kundi la Hatari ambalo hata Samia...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM kujifanyia tathmini unalenga kuboresha uongozi na kutatua changamoto za wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kuagiza chama kujifanyia tathmini unalenga kuboresha uongozi na kuhakikisha changamoto za wananchi zinashughulikiwa ipasavyo. Wasira amesema katika kuelekea uchaguzi...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda vibaka wa kisiasa na wanaharakati uchwara waliotajwa kuchochea ghasia za Oct.2025, wakatimkia ughaibuni kabla ya kunaswa na mkono wa sheria

    Sote ni mashahidi kwamba, hali ya kisiasa nchini hasa baada ya tume ya jaji chande kuwasilisha ripoti yake kwa rais Dr.Samia Suluhu Hassan, tayari kuna kila dalili na mipango kwa hasa hawa vibaka wa kisiasa na wanaharakati uchwara nchini, ambao kwa namna moja ama nyingine wametajwa kushiriki...
  20. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kwa Sisty Nyahoza: Hebu onesha kwa umma barua ulizowaandikia CCM ukiwatishia kuwafutia usajili wao kwa kauli za viongozi na wanachama wao

    https://www.youtube.com/live/9rRDBtpMBqU?si=64FYJTRZAy4diXUs Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kupitia kwa mtu mmoja tu aitwaye Sisty Nyahoza imeanza tena kutengeneza mwanya wa uwezekano wa kutokea kwa vurugu na mauaji mengine kwa sababu tu ya maamuzi na utendaji wao mbovu, wa kijanja janja...
Back
Top Bottom