ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Polepole analalamika rafu za JK kumbeba Samia urais CCM 2025, lakini alifurahia rafu za JK 2015 zilizopelekea Magufuli kugombea urais na kushinda!

    Huenda Polepole hakuwa anaelewa dhana dhima ya karma katika maisha ya kila siku. Lakini kwa kuwa katika press ya leo mara kwa mara amemtaja mwenyezi Mungu, huku akisema yeye ni muumini mzuri wa kikristo, basi alipaswa kukumbuka lile andiko linalosema; Apandacho mtu ndicho atakachovuma! JK huyu...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa navyo wafahamu CCM na serikali wanaweza kuogopa kupeleka balozi Cuba sasa

    Kwa jinsi karata zilivyochezwa walijua huyu jamaa atakuwa kama jina lake pole pole kumbe kawa kasi kasi sasa na mbinu alizotumia. Usijeshangaa tanzania itagoma kupeleka balozi au hata mtu kwenda huko kukawa kikwazo wakijua ndio watu wanapata ujasiri na kuwa ubobevu ambao leo idara zilizotakiwa...
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaCCM wanasema Polepole ameifanyia CCM upasuaji mkubwa bila ganzi, halafu amefumua upya mshono bila ganzi

    Hichi ndicho kinachoendelea vichwani mwa baadhi ya wanaCCM baada ya Polepole kulipua kambi ya kijani siku ya jumapili na kisha leo kuibuka upya na petrol kuteketeza kambi nzima ya kijani. Makada wa kijani wameshindwa pakuanzia maana mama mkuu hajatoa muelekeo wa namna ya kujibu mapigo. Huenda...
  4. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 First Gwajima, Now Polepole — Who’s Next in CCM With Balls?

    Kama Gwajima na Polepole Wamesema, Basi Chama Kimeanza Kupiga Chafya. Homa ya Ukweli Inakuja? ==============For English Audience============= You know things are getting interesting when voices from within CCM, a party famed for its strict discipline and "family secrets stay in the family"...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole ahitimisha Press yake akisema 'Kwa Ku conclude, Kwa Desturi ya CCM, Mwaka huu kutakiwa kuwe na Wagombea Wapya wenye Sifa na Uwezo"

    Wakati Watanzania mbalimbali waki summarize Press ya Mzalendo Polepole Kwa namna mbalimbali waonavyo. Polepole yeye kahitimisha Kwa kusema huku akisisitiza "Mwaka huu KwaDesturibya CCM kunapaswa kua na Wagombea Urais Wapya wenye Sifa, Wapyaaa wenye Sifa" Tazama hapa kuanzia Dakika 25...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Polepole aandika historia ya matusi mazito kwa wanachama wa CCM

    KATIKATI ya upepo wa maandalizi ya uchaguzi, sauti ya matusi imeibuka akiwaita wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kuwa ni “wahuni”. Kauli hii imetolewa na mtu aliyewahi kushika nafasi ya heshima ndani ya chama hicho, aliyewekwa juu kama mzigo wa haraka uliotupwa mezani bila kuulizwa mzani...
  7. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Watia nia ubunge waweka kambi makao makuu ya CCM Dodoma kulilia tatu bora

    Baadhi ya watia nia ya ubunge wameonekana kwenye viunga vya Makao Makuu ya CCM Dodoma wakikutana na watu mbalimbali kwa lengo la kuwaomba wasaidiwe ili wapitishwe na vikao vya Kamati kuu kuwa wagombea ubunge. Wanadaiwa kukutana na watu mbalimbali na kuwapatia fedha ili wakashawishi vikao...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu tetesi za Luhaga Mpina kukatwa CCM; “ugomvi na viongozi wa CCM umechangia

    Inasekana ugomvi baina ya Mpina na viongozi wa CCM Mkoa wa Simiyu ndio chanzo cha jina lake kukatwa katika vikao vya Mkoa. https://youtu.be/qN1T8rrBep8?si=64FCUMgEIb8iIE-T
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Simiyu atoa tuhuma nzito za rushwa kwa Kamati za Siasa za Wilaya na Mkoa

    Kada wa CCM Mkoa Simiyu, Godfrey Sitta Sukari akizungumza na waandishi wa habari alieleza kupitia uzoefu wa kuwa mwanachama muda mrefu, alisema kumekuwepo mabadiliko ya hivi karibuni ya kanuni na vifungu kwenye katiba ya chama ambapo kama vijana lazima wakosoe na kupongeza kwa mema Pia ametoa...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Dola isiruhusu uhuni wa mtu kujipitisha kugombea Urais CCM , Mwaka 2030 kuna Muhuni atamptisha Kijana wake na hakuna atakayehoji, Tupige vita mapema

    Mpaka Sasa hamna Mahali Ambapo RAIS SAMIA kachukua Fomu, na kuijaza, na kuirejesha , yaaan Uhuni MTUPU Mtu kaamua kujipitisha Mwenyewe kavunja Katiba ya CCM ,kavunja Katiba ya Nchi Licha ya uvunjifu huo, Hata kuchukua Fomu, hajachukua Wakuuu !! Nitoe Rai, kama Vyombo vya Usalama Nchini...
  11. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu anakuwa mgombea wa kwanza kuingia madarakani kupitia CCM bila kupitia mchakato wa Uchaguzi. Je, wameogopa nini kumshindanisha na wenzie?

    wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine, Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ?? Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Polepole, POWER is invariably personal; there is no group power! Ilibidi umtaje anayeamrisha/anayebariki UHUNI kwenye CCM

    HAKUNA GROUP POWER , hasa kwenye nchi zetu hizi za kishenzi! CCM inapokuwa kweye vikao, kuna mtu yuko juu. Kila member humo, particularly vinavyoendeshwa na Samia, kila mshiriki anaangali mdomo wa rais unacheza vipi, naye anafuatisha humo humo. Au anamtuma mtu aweke agenda inayomhusu na...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Polepole amesema CCM ni chama imara, kitashinda uchaguzi mkuu kwa kishindo

  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polepole kufukuzwa CCM; nafasi yake kuchukuliwa na Mbowe

    Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kupinga hadharani maamuzi ya mkutano Mkuu wa CCM ukiwa mwanachama ni dharau na Uasi mkubwa kwa Mwenyekiti Polepole afukuzwe Chamani

    Hiyo ni kanuni muhimu ya uwajibikaji wa pamoja ndani ya CCM Akabidhi KADI ya Uanachama na aende huko anakoona kinamfaa
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CCM sasa imebaki na "wanasiasa mfumo"

    Hali ya kisiasa ndani ya CCM kwa sasa haivutii sana. Viwango vya ueledi kisiasa umeshuka sana, hadi sasa tumebaki na "wanasiasa mfumo". Wanasiasa mfumo ni wale wanakuwa recycled toka kazi za kiserikali, na kurudishwa chamani. Wanasiasa mfumo hawana mawazo ya kwao kisera wala kisiasa, wao ni...
  17. Zombi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Tanzania yangu chini ya mkoloni CCM

    Naishi Tanzania, lakini sihisi huru. Chini ya utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), najiona kama mtumwa katika nchi yangu mwenyewe. Uhuru tuliourithi kutoka kwa kina Nyerere umebaki historia, kwani viongozi wa sasa wameugeuza kuwa fursa ya kujinufaisha wao na familia zao, huku mwananchi wa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Polepole asema watu wabaya CCM wanajulikana

    Humphrey Polepole ameeleza kuwa watu wabaya CCM wanajulikana. Amesisitiza chama kinapaswa kuhakikisha watu wabaya na wahuni hawaingii kwenye mchakato na chama kinawajua. "Urekibishaji unaanza kuhakikisha kwamba hakuna watu wabaya na wahuni wanaingia kwenye mchakato na chama kinawajua mbona hili...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, nilishindwa hata kuwapongeza, Unapongeza vipi kisicho halali?

    "Na hii lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, sio kipindi hiki, hata kipindi cha Magufuli kuna baadhi ya viongozi walikuwa wanasema mgombea ni mmoja, siyo kweli na kwenye kauli rasmi ambayo mimi kwa wakati ule niliitoa kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM, tulisema tunafungua kwa watu wote...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali

    Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali Kusema ni mgombea mmoja ni makosa Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba...
Back
Top Bottom