ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkurugenzi wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa aibua mjadala kukatwa jina la Luhaga Mpina vikao vya CCM

    Unfortunately sijajua tunataka wabunge wa aina gani - nilisifia hizi kanuni mpya za chama upande mmoja kuwa imeongeza watu wengi kupiga kura na kupunguza rushwa ila nikaonyesha hatari ya utaratibu wa kurudisha majina matatu inaweza italeta shida sana kwa wale wabunge wanaosimamia haki za jamii...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Makamu Mwenyekiti CCM na Katibu Mkuu (J.Malecela, Horace Kolimba) kushindwa kusimamia Haki za Bara ni Sawa na John Nchimbi, Mpango na Kassim

    Itakumbukwa huko nyuma Marehemu Ali H.Mwinyi Raisi aliingiza nchi OIC kinyume cha Katiba , ikapelekea G55 , na mwishowe Mwl aliandika kitabu , uongozi na hatima ya Tanzania na kupelekea J.M Malecela, aliyekubali kufuata ya Mwinyi, kwa Matamanio ya kurithi kiti, Chama kumpotezea, na Horace...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu kutoka Serikalini au CCM ambae keshamjibu Balozi Polepole

    Salaama wanjamvi Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi Asanteni
  4. Fanfa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa Chama hebu wapige bao wanaokuhujumu kwa mbinu takatifu isiyo na mawaa

    Ni dhahiri mwenyekiti wa Chama ukilazimisha kwa hali ilivyo hutatoboa kwenye uchaguzi ujao pamoja na kwamba wewe ndo kiongozi wa nchi. Itakuwa ngumu wewe kujua maana hutakuwa na muda sababu utakuwa na stress za kampeni. Sababu kuu ni kwamba sasa adui yuko chumbani kwako siyo sebuleni tena...
  5. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kama Ccm umejiunga nayo ulivyofika Chuo Kikuu huwez kumuelewa Polepole.

    Huwez kujibu hoja za polepole kama wewe ulijiunga na Ccm ulivyofika chuo kikuu na ulijiunga kama fashion. Ndio wengi wamebaki midomo wazi kwa yale aliyoyasema polepole. Polepole haujui tu Katiba wala kanuni za chama cha Ccm bali anajua hadi Miiko ya chama cha mapinduzi {Ccm} ambayo hua...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania JF itulinde wanaChadema, mada za CCM zimezidi, za kwetu zinapotea ndani ya sekunde kwa kuwa zinakosa wachangiaji, No reform inaweza kusahaulika

    Nashauri JF wabalansi ili na sisi tupate nafasi, ukurasa mzima unajadili CCM, mbalansi angalau na sisi tusisahaulike
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ukubwa na umuhimu wa ccm katika kuiongoza nchi wajidhihirisha wazi kwa umma wa waTanzania

    Macho, maskio na shauku za waTanzania wote kutaka kujua au kufahamu kinachoendelea ndani ya makao makuu ya chama taifa ni kubwa mno. Watanzania wanatamani kujua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao chini ya uongozi madhubuti wa ccm imara inayoongozwa kisanyansi na Dr.Samia Suluhu Hassan...
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asipokuwa makini CCM itamfia

    Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia. Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi. Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hitimisho; Watu wote humu ni CCM!

    Ndiyo, hivyo ndivyo ilivyo humu jf mpaka Sasa baada ya uchunguzi wangu wa kina. Hoja za upingaji na upondaji huja tu ikiwa Inategemea pale ccm juu amekaa nani na anasema au kufanya nini kinachotofautiana na mawazo au uelewa wa mwanaJF. Tofauti na hilo, wote humu ni wanaccm tu kwa hakika kwani...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea CCM yamenikumbusha kisa cha Rais Ben Ali wa Tunisia mwezi January, 2011

    Wakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali ili aendelee kuwa Rais. Maandamano yaliposhika kasi, Ben Ali alipanda ndege na kukimbilia Saudi...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa ticket ya CCM atachukua lini fomu ya kugombea Urais na atairudisha lini?

    Muda wa kuchukua fomu na kuzirejesha kwa wabunge na madiwani ulisha pita. Urais hakuna aliyechukua fomu,au hakuna mgombea urais??? Nimeuliza tu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kila mtu anaishabikia CCM kwa style yake

    KILA MTU ANAISHABIKIA CCM KWA STYLE YAKE Kitu muhimu wananchi wanachopaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi; kelele, mivutano na shutuma zisizo na maana ni sehemu ya maisha. Hakika katika jicho la tatu; jicho la kutulia na kutumia akili nyingi - ni wazi Upizani dhidi ya Chama Cha...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu

    Polepole ni Mhuni namba moja kwenye CCM - Mafufu
  14. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Sekta ya habari imevamiwa, ni aibu. Mwenezi wa CCM Taifa ameongea na mwandishi wa habari na kukaribisha maswali. Hakuna swali lolote kuhusu Polepole

    Nimeangalia mwanzo mwisho wa Press conference ya Katibu mwenezi wa CCM TAIFA na WAANDISHI wa HABARI. Alipomaliza kutoa taarifa yake alikaribisha maswali kutoka kwa WAANDISHI wa HABARI. Kilichonishtua ni kwamba hakuna swali LOLOTE kuhusu Pole pole kujiuzulu. Wala hakuna swali kuhusu Chadema...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wanapenda majungu na udaku. CCM wanetoa notice wao wamefurahi wakidanganyana mambo ambayo hayako kabisa

    Maelfu ya wajumbe walimpitisha Samia na maisha yakaendelea. Kangedere kamoja ambako hakana impact yoyote kwa chama kametoa press jana sijui juzi Leo CCM wametoa notice watanganyika kwakuwa wana utindio mdogo wa ubongo wanazusha mambo ya hovyo. Mimi si mpenzi wa CCM lakini uzushi na majungu...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM nyaya zimegusana

    Sasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi? No reforms no Election yatinga Meza Kuu za CCM. Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣 Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka Reforms 🤣🤣🤣 mene, mene, tekeli, na peresi.
  17. E

    JamiiForums Tanzania Makalla asema mchakato uteuzi wa wagombea CCM hadi Julai 28, 2025

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu (NEC) kitakachotanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Makala: Kamati kuu ya CCM na Halmashauri kuu Zitakaa tarehe 26/07/2025

    Kamati kuu ya CCM itakaa 26/7/2025 na Uteuzi wa wagombea utafanyika28/7/2025 Source Channel ten
  19. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania CCM ikifa, tutazika au tutasafirisha?? Kila baada ya miaka 10 CCM hujihuisha kwa kupata dam mpya kwenye circulation ila miaka hii 10 ya sasa vipi?

    Desturi hii imetuokoa sana sana sana. Kila alipoingia mwamba mwingine aliingia na mfumo mpya uliotosha kukiponya Chama na kukiokoa na makando kando yaliyo tawala kwa myaka kumi ilokuwa inaisha. Sasaivi tupo na maza, ameshikilia kijiti toka alipoingia 2015, as cheo chake ndani ya chama...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Amos Makalla: Wagombea watulie wakati tunaendelea na mchakato, uteuzi wa mwisho ni tarehe 28 Julai, 2025

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Amos Makalla, anazungumza na wananchi kupitia Vyombo vya Habari kutokea Ofisi za Makao Makuu Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=YHDtsQ23r0A Updates Makalla asema maandalizi ya ya uchaguzi ndani ya chama...
Back
Top Bottom