ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. W

    JamiiForums Tanzania Kumbe CCM wanaweza kubadilisha katiba yao tena mtandaoni lakini ya Wananchi aaah!

    Katibu wa CCM, Amos Makala ametangaza leo kuwa CCM wanatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa na utatanguliwa na vikao vya Kamti Kuu Halmashauri Kuu Taifa kupitia njia ya Mtandao. Pia ameeleza kuwa ajenda ya kikao hicho ni Marekebisho ya Katiba ya Chama hicho ila najiuliza kama...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Samia atapitishwa kuwa mgombea anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni mapema

    Endapo kesho Mkutano Mkuu utatengua kanuni iliyopitisha mgombea mmoja na kuruhusu wagombea wasiopungua watatu, Rais Samia anaweza kuwekewa pingamizi kwa kuanza kampeni ya uteuzi mapema, Na endapo atateuliwa na chama chake, anaweza pia kuwekewa pingamizi mahakamani au kwenye Tume ya Uchaguzi na...
  3. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bila kujua CCM wanaenda kufanya reforms ndogo chamani huku wakigomea reforms za taifa.

    Wameitisha online conference meeting, lengo wabadilishe baadhi ya vipengele vya katiba yao kuelekea uchaguzi mkuu 2025 huku wakigomea mabadiliko ya sheria za uchaguzi mkuu ziweze ku suit vyama vyote kwa usawa
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM ubinafsi, wajumbe wao wamelalamika kidogo, wamekubali kubadili kanuni, ila NRNE wagoma

    Yule Kiongozi msemaji wa Dolla Chama , CPA Makala aka Kipara ,ametoa Rai ya kikao Cha wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kitakachofanyika online kuhusu marekebisho madogo ya Katiba ya CCM kutokana na Malalamiko ya rafu na Rushwa katika kuteua wagombea alizoziweka Samia (kanuni zinazolalamikiwa...
  5. Bhaghosha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi huyu ni hatari kwa mustakabali wa chama na Taifa!

    a. Aliingia kupitia mtandao b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama. d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Maliki Marupu amememjibu Dkt Malisa amemwambia akasome Katiba vizuri

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa . Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt...
  7. Ileje

    JamiiForums Tanzania CCM imejidhihirisha ni Chama cha kidikteta!

    Ni wazi Chama cha Mapinduzi, CCM kipo katika sintofahamu kubwa kutokana na viongozi wao wakishirikiana na machawa wao kuvunja Katiba yao! Kelele zimekuwa nyingi hadi Chama kimeshidwa kuhimili na sasa viongozi wake madikteta wanataka kuwapa wanachama nusu mkate 🤣! Eti wanaitisha Mkutano Mkuu wa...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mvutano ndani ya CCM ni alama ya kuvifungua akili vyombo vya dola. Vikiwa makini huu ndo wakati wa kusimika mifumo imara

    Siasa za Tanzania chini ya Chama cha Mapinduzi ni siasa za makundi kugombania Madaraka na Ulaji. Makundi yote yanafanana kwenye jambo kuu moja. Uchu wa madaraka ili kuila keki ya Taifa vizuri. Makundi yote haya yanaamini yakishika utawala wa nchi basi watapata hela wapendavyo, wataishi vizuri...
  9. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kuitisha Mkutano Mkuu kwa njia ya Mtandao, Je ni njia ya kuwakwepa/ kuwaogopa Wajumbe?

    CCM imetangaza kuitisha Mkutano Mkuu wa dharura siku ya jumamosi bila kuwekwa wazi agenda za mkutano huo. Hii ni kwa mara ya kwanza katika historia ya chama hicho hasa kwa mkutano mzito kama huo wenye wajumbe zaidi ya elfu 2 nchi nzima. Makatibu wa mikoa na wilaya wameagizwa kufanya...
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania CHADEMA baada ya kuona slogan yao si lolote, waigeukia CCM. Tuwapuuze

    Tetesi zinaeleza:- Jinsi kunguni zilivyotumwa, zikisaidiana na wanafiki ndani ya CCM, ili ziweke msisitizo/mkazo wa kuhakikisha rais wetu, anakata tamaa ya kugombea urais na mwishowe abwage manyanga. Jambo ambalo ni gumu sana, ukizingatia bado ahadi lukuki ambazo watanzania wamehaidiwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Comrade Mizengo Pinda kuiwakilisha CCM katika Kongamano la Vyama Vya Ukombozi

    MADA : KULINDA MAFANIKIO YA VYAMA VYA UKOMBOZI BAADA YA UHURU, VINAENDANA NA HAJA YA VYAMA HIVYO KUBAKI MADARAKANI African National Congress (ANC) itakuwa mwenyeji wa Kongamano la Kilele cha Vyama vya Ukombozi 2025 katika Hoteli ya Radison Blu, Kempton Park kuanzia leo tarehe 25 hadi 28...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watia nia wa CCM wanaswa live wakigawa vitenge na fedha kwa wajumbe

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Mara imewakamata wanachama saba wa Chama cha Mapinduzi kwa tuhuma za kugawa fedha nje ya ukumbi wa uchaguzi Musoma vijijini, huku baadhi ya watia nia wa nafasi ya udiwani viti maalumu wa chama hicho wakituhumiwa kujihusisha na vitendo...
  13. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kionjo video: CCM wataondoka kama alivyoondoka firauni

    "Achukuchaaa achochaaa, achukuchaaa achochaaa!!!!"Tulieni tulieni tulieni , kunaa mengiiiiiiiii
  14. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM mwaka huu hawatoi Fomu ya Urais?

    Tulioshangaa 2020 CCM kuprint nakala moja ya Urais kwa Urais tumepigwa kitu kizito na Chama kutokutoa Fomu Hata Ile moja ya ngama. Kila mtu atachanganyikiwa wakati ukifika. Bado kuzima internet
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mpaka Sasa 90+% ya wanachadema wa JF wameifungua na kuisoma katiba ya CCM

    Aisee hawa CCM wajanja sana.
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Picha: Dira ya maendeleo ya 2025-2050 ikitekelezwa na CCM.

    Kila mtanzania atapata dola 5000 kwa siku
  17. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Leadership Renewal in Tanzania: A Car Service Analogy as per Amb H Polepole

    The Imperative of Leadership Renewal in Tanzania A Car Service Analogy by H. POLEPOLE Tanzania's political system, much like any intricate machinery, necessitates consistent maintenance and periodic major overhauls to ensure optimal functionality. The analogy of servicing a car offers a clear...
  18. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania ZANU PF walimdhibiti Mwenyekiti wao Mugabe dakika za jioniiii. Je CCM wataweza?

    Robert Mugabe alilazimishwa kujiuzulu dakika za jioniii na chama kikashika hatamu nchi ikapata Rais mwingine. Hoja ilikuwa kuvunja katiba ya nchi na ZANU-PF, mila na desturi za makomredi. CCM wana ubavu huo? Au ndege ndio imeshawasha injini na Treni imeshaondoka...
  19. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania CCM tunaomba kuwekana sawa kwenye hili Jambo

    CCM naomba kuwambia jambo moja makosa na udhaifu wa wanachama wenu mnayajua vizuri, na ni bora mkawawajibisha au kuwafukuza kabisa ili kulinda heshima ya chama chenu mapema, kabla wao hawajaamua kufunguka mabaya yanayoendelea ndani ya chama chenu. Yahani ni mara mia mkaa kimya kuliko kuwajibu...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kada huyu wa CCM ameuawa na Redbrigade wa CHADEMA

    Wakuu ==== Je, kuna ukweli wa taarifa hizi?
Back
Top Bottom