ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa ameandika kwenye mtandao wa X kuwa Wana CCM wanapitia wakati mgumu

  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

    Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi. Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
  3. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Viongozi maarufu 'walioasi' na kuitikisa CCM

    Julai 13, 2025 aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchni Cuba, Humphrey Polepole alitangaa kujiuzulu nafasi hiyo na nafasi nyingine za utumishi umma Jumapili akitaja sababu kadhaa za kufikia uamuzi huo ambao haukutarajiwa na wengi. Sababu kuu alizotaja ni ukiukwaji wa taratibu za chama cha CCM...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ndio chombo cha Juu zaidi Tanzania kinachoweza kubadili au kubatilisha matumizi ya katiba yake au hata katiba ya nchi

    Na ndio maana mkutano mkuu maalumu wa CCM pale makao makuu Dodoma mapema mwaka huu2025, uliamua, ukaridhia na kuidhinisha mabadiliko ya katiba ya CCM bila tatizo lolote na vile vile mkutano mkuu huo huo wa CCM taifa, ukajadili, ukaamua, ukaridhia mapendekezo ya wajumbe wa mkutano mkuu huo wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini

    Badala ya kuongelea mabadiliko ya katiba kuongelea tamaduni ambazo ndizo zimeleta umasikini Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini mkubwa nchini. Watanzania wanataka maendeleo na mabadiliko ya katiba
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba ufafanuzi juu ya hii hoja kuwa CCM walivunja katiba kwa kikuka ibara ya 38(2)(a).Je mgombea wao wa urais ni batili?

    Soma kwa makini ibara ya 38(2)(a)👇
  8. K

    JamiiForums Tanzania Makosa mawili ya rais Samia yanayotugharimu

    Mara 4R, Mara mardhiano....... haya yote ameshidwa na vigogo ndani ya CCM https://youtu.be/Ku52ZOjs0oQ?si=N3mmmLL4TrSqjbhQ
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Yawezekana huyu ni mmoja wa kundi kubwa la waloiteka CCM, apendekeza rais Samia azingatie wale waloishia darasa la Saba na kidato cha nne

    Jakaya Kazungu Bakari ambae ajiita ni kada wa CCM, bila shaka ni mzaramo wa kutoka Pwani. Mambo anoongea yamekosa hekima na nidhamu na jamaa amekaa kishari mno. Msikilizeni. https://www.youtube.com/watch?v=w_usBdo-JBs&t=607s Huyu bwana, amemtaka pamoja na mambo mengine balozi Humphrey...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayotokea katika vikao vya CCM hayakuhusu.

    Kama upon mtafaruku,CCM watafanya Press Conference watasema kwamba wameshindwa kuelewana. Ya nini kuleta tetesi na uvumi? CCM wameshamchagua mgonbea na Nchimbi amepigilia msumari jana anasema mgonbea wa CCM ni Samia Suluhu.
  11. mkuuwakaya

    JamiiForums Tanzania Kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa amejipitisha kuwa mgombea urais kwa mlango wa uani/jikoni? Na Msajili kajikalia kimyaaa kama hamna kilichotokea

    Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Hali hii ndugu zangu haitapita hivi hivi, hata kama mgombea ambaye amepitishwa na JK atapita hapo Oktoba. Hali hii itaendelea kukitafuna chama chetu na kuleta mgawanyiko mkubwa. USHAURI: Tufuate utaratibu wa watu kwenda kuchukua fomu, na kama tutakubaliana...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini John Heche amekuwa akirejea kauli kwamba akipiga simu moja tu CCM anapata uwaziri, kuna ujumbe uliojificha anautoa?

    Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema. Hii inamfanya anatutambia kila wakati. Siku za karibuni palizuka tetesi kwamba Heche anatumia gari ya kigogo wa CCM katika...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa kwa sasa katiba ya CCM inasomwa, kuchambuliwa na kutetewa zaidi na chadema kuliko CCM?!!!

    Kweli siasa ni sayansi, ukiijua michanganyiko yake Wala hupati tabu.......watu wanapiga practicals vizuuuuri na zinaleta majibu mujarabu kabisa. Kwa wiki hizi mbili humu jukwaani ni uchambuzi tu wa katiba na vifungu vyake ya ccm mwanzo mwisho kutoka kwa chadema waliojaa humu. Kuna wazee...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katika ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda

    Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda. Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka kupitia katiba hiyo hiyo. Ni wazi katiba haina maana tena hapana tunaitaji mabadiliko. Tunahitaji...
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Zitto Kabwe ameandika 'CHADEMA na wanaharakati sasa wamekuwa mashabiki wa CCM'

  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyepinga uteuzi mgombea Urais CCM aibuka tena, asema sio tu katiba ya chama iliyovunjwa, bali hata katiba ya Tanzania ilivunjwa

    Mchungaji Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa sehemu ya Mkutano Mkuu wa CCM kwani agenda hiyo ilipachikwa dakika za mwisho hivyo kuna maswali ya...
  17. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mch. Dk. Godfrey Malisa: Naendelea kusisitiza katiba ya nchi na chama zilivunjwa kwa kumteua SSH kuwa mgombea Urais wa CCM

    Mchungaji Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa sehemu ya Mkutano Mkuu wa CCM kwani agenda hiyo ilipachikwa dakika za mwisho hivyo kuna maswali ya...
  18. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiko wapi nyie wapinzani pumzi mbwembwe mikwara mipasho majigambo yenuu kwishnei hakuna anayewajali habari kubwa ni CCM

    CCM ndiyo habari yenye kuuza Kila sehemu usipoandika habari za CCM huwezi pata wasomaji kabisa yaani Hadi nawaonea huruma wapinzani Mkilala mnawaza CCM mkiamka mnawaza CCM mkienda kusaka ugali.mnawaza CCM mkiwa bar mnalewa mnawaza CCM mkirudi majumbani mnawaza CCM yaani CCM ndiyo maisha ndiyo...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Khamis Mgeja aliwezaje kua Mwenyekiti CCM mkoa? Haijui hata Katiba ya Chama, Samia kavunja Katiba ya Chama/Dola, Ukweli Huu hapa

    Yeye kama anatibiwa huko India kwa Fedha za Abduli, atulie atibiwe akipona Ashukuru, Akifa, atulie !!. Katiba ya CCM Ibada ya 100 (5) Unapofika wakati wa uchaguzi, Mkutano Mkuu wa CCM wa Taifa utashughulikia mambo yafuatayo:- (a) ---- (b) Kuchagua jina moja la Mwanachama atakayesimama katika...
  20. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa Bananga: Nimerudi CCM kufanya kazi sio kisa nimefukuzwa CHADEMA

    Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Hawa Bananga akijibu maswali kupitia kipindi cha One on One with ya Wasafi TV. Hawa kwa sasa ni mwanachama wa CCM na amejitosa katika mbio za ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini amefunguka mengi. Hawa Bananga, mmoja kati ya waliokuwa Wabunge 19 wa...
Back
Top Bottom