Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika.
Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM.
Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho.
Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote...
Baada ya wajumbe huku chini kideal vizuri na wale waliokuwa machawa, wazembe na waliongia kwenye nafasi za uongozi kwa kubebwa, CCM imeona haiweziishi bila machawa wameona waje na mpango mwingine wa kuhakikisha wanawapitisha huko juu Ili kudharaulisha na kupuuza maamuzi ya wajumbe kwaiyo...
Wakuu,
Haya ndo yanayojiri uko kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, wajumbe wanataka Mabadiliko
Hao watatu wameharibu kura sijui ni kina nani
Soma pia: GE2025 - CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu
Chama cha mapinduzi (CCM) kitapata hasara kubwa sana kama Samia hatagombea Urais kwa sababu zifuatazo;
1. CCM imewekeza kwenye matangazo nchi zima kwa takribani miaka minne sasa kumtangaza Samia. Bill Boards kila kona ya nchi zimejaa. Barabara zimejaa matangazo ya Samia. Huu ni uwekezaji mkubwa...
Picha utafikiri za miaka ya 1914 kwenye Vita kuu ya dunia
Picha utafikiri wanamlika samaki kwenye maji?
CCM wanashindwa kabisa kuweka technology nzuri
Hizi aibu kwa nchi mpaka lini ? Hawajui tupo duniani na dunia inafatilia haya maigizo yao?
Ndio maana wakenya wanatucheka tu na kuhaki system...
Inasikitisha kuona tume inayojiita huru, wamekuwa wepesi sana kutoa matamko na kuchukua hatua dhidi ya CHADEMA mfano siku si nyingi walipinga mchakato uliompitisha Tundu Lissu kama Mwenyekiti, Ila Mpaka sasa haijachukua hatua yoyote licha ya CCM kuvunja katiba katika kumpata mgombea wao, Na si...
Wale wazushi wa humu JF sikilizeni matokeo ya kikao cha dharura cha CCM Dodoma. CCM ni chama imara zaidi ya jabali hamwezi ht kuitingisha, msiifananishe na hao wenzenu. Sijui baada ya hapa mtakuja na uzushi upi, tunausubiri ila wengine mtawehuka mwaka huu. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, OKTOBA...
Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM akishiriki Mkutano Mkuu Maalum CCM kwa Njia ya Mtandao White house -Dodoma, leo tarehe 26 Julai, 2025
https://www.youtube.com/live/-Tu6zVGA9PU?si=2ByaTaVIA6m33xsQ
Mwenyeiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Rais Samia ameshafungua mkutano na sasa shughuli zimeanza...
Yaani hiki kitendo cha kuitisha mikutano mitatu kwa siku moja yaani Kamati Kuu, Halimashauri kuu na Mkutano Mkuu ni dharau kwa Wajumbe na Wanachama wa CCM. Kwa mani yangu kinachofanyika hapa ni kikundi fulani kuleta agenda yao ili vikao halali vya chama ivipitishe. On top of that hata hayo...
Kweli ya Mungu mengi, nani angejua Mkutano wa CCM unaweza fanyika bila Chawa?
Bongo Movie na Chawa wote wa CCM wwalikuwa anapambana kushonesha nguo za Kijani hadi kuwatukana mafundi wetu.
Hii picha sasa ndo wajue Dunia hubadilika na mambo ya kibadilika hawana uwezo wowote.
Chawa sijaona...
Japo wengi wanashabikia kwa kutofahamu, lakini kazi aliyoifanya Samia ni kubwa sana katika nyannja zote. Hata wapinzani wanaponda sana utawala wa Samia lakini katika waliopo CCM sasa hivi pengine Samia ndiye bora kuliko wote
Haya ni mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan (Machi 2021 – Julai 25...
Leo CCM wanafanya Mkutano Mkuu maalum kidijitali . Niseme ukweli huu mkutano hautakuwa na matokeo chanya kama CCM wanavyotarajia. Asilimia kubwa ya Wajumbe hawajui dhana ya mtandao na hasa kule vijijini. Mfano Mjumbe wa Mkutano Mkuu toka kule Itilima, Rorya, madaba, Mlangali je wana uelewa...
Kama kurekebisha Katiba yenu jambo ambalo ni kubwa Sana ndani ya mwaka mmoja mmeweza kufanya mara mbili, kwa nini hamtaki kurekebisha baadhi ya vifungu vya Katiba Tanzania pamoja na Sheria za uchaguzi?
CCM inaogopa uchaguzi huru na wa haki kuliko inavyoogopa kifo.
1. Ulazima wa kuchukua na kujaza form
2. Ulazima wa kutafuta wadhamini
3. Ulazima wa majina matatu
4. Ulazima wa kupigiwa kura na mkutano mkuu
Yote haya yanafanyika ili mgombea wa sasa asiendelee kushambuliwa kwamba kapita kwa njia haramu
Wananchama wengi wa CCM wametia nia ya kugombea nafasi za Udiwani na Ubunge. Moja ya sharti lililowekwa na CCM ni kuwa watia nia wote kwa nafasi za Udiwani na Ubunge kwanza watachujwa na Kamati za Wilaya na Mikoa na hatimaye majina yote kupelekwa Makao Makuu ya CCM - Dodoma kila mmoja akipewa...
Kwa hali ilivyo ndani ya CCM kwa sasa kitu pekee kitakachoiokoa CCM ni mchakato wa wazi na unaorushwa live kwenye luninga nchi nzima na vyombo vyote vya habari. Kinyume na hapo Chama hakuna tena na kitakachofuata ni kuumizana tu huku wapinzani wa ndani wakiongezeka sana.
Chadema walitoa mwanga...
CHADEMA ndiyo Chama cha kwanza Tanzania kuruhusu kufanya vikao vyake kwa kutumia mitandao ya kijamii. Vikao kadhaa vya Kamati Kuu ya CHADEMA vimeshawahi kufanyikia mtandaoni.
Soma Pia: CCM kufanya Marekebisho ya Katiba kwa njia ya mtandao Julai 26, 2025
Wakati wote huo CCM walikuwa wanaponda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.