Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,713
- 2,744
Humphrey Polepole ameeleza kuwa watu wabaya CCM wanajulikana. Amesisitiza chama kinapaswa kuhakikisha watu wabaya na wahuni hawaingii kwenye mchakato na chama kinawajua.
"Urekibishaji unaanza kuhakikisha kwamba hakuna watu wabaya na wahuni wanaingia kwenye mchakato na chama kinawajua mbona hili liko wazi. Watu wabaya wanajulikana, sisi tunazungumza kama wana CCM" - Humphrey Polepole