car

  1. T

    JamiiForums Tanzania Fuels Economy family car

    Wakuu naomba ushauri wa family car nzuri yenye wastani wa sifa zifuatazo: 1. Seating capacity from 7 packs 2. Fuels economy I.e. engine capacity less than 2000cc 3. Super body appearance 4. Suv 5. Super interior design 6. Offroad suitability
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari used (Saloon car)

    Salaam wakuu, Nahitaji gari ndogo kwa ajili ya matumizi na mizunguko midogo midogo hapa mjini Dar es salaam. Napendelea zaidi Spacio, Premio, Allex, Runnex, Raum, Ractic na Rumion. Bajeti yangu ni TZS 6M. Tuwasilisane kupitia namba 0622078182.
  3. Guru Master

    JamiiForums Tanzania Upatokani wa Car Steering Lock. Zinasaidia kiasi flani kwenye Ulinzi wa gari lako

    Habarini. Kama kuna mtu anafahamu wapi zinapatikana Car Steering Lock please anisaidie kuna jamaa yangu mkoani ana hitaji ameomba nimsaidie. Nadhani wengi wenye magari mtakuwa mnazifahamu. Zinasaidia kidogo kuleta usumbufu kwa mwizi asiibe kirahisi sana gari lako. Moderator please rekebisha...
  4. Planett

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Walinda amani wa Tanzania kurejeshwa nyumbani kutokana na madai ya utovu wa nidhamu CAR 9 Juni 2023Haki za binadamu Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) chenye makao yake makuu mjini Bangui, kimetangaza uamuzi wa Sekretarieti, kuwarudisha...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Car diagnosis device with chatGPT

    Nawaza, chatGPT au hata google bard zimekua msaada mkubwa kutoa majibu ya issue mbalimbaliu kwa siku za karibuni. Naona kama hizi car diagnosis devices zikiwa integrated na chatGPT au google bard zitakua more eeficient. Kwa sasa hizi devices zinatoa results kwa code, ambazo kama sio mtaalamu...
  6. kabugira

    JamiiForums Tanzania Car lift Jack

    Natafuta jack ya gari kama hiyo hapo. Kwa mwenye nayo aje DM tuongee biashara
  7. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Any one with idea tutengeneze E car au Hybrid car kabisa karibu kwa maoni

    .
  8. mtu Imara

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya car shades za hotel au nyumbani wasiliana nasi

    T Up I Tupigie 0676030410
  9. Concoo

    JamiiForums Tanzania 2008-2009 Toyota Crown Hybrid the Next trending Car in TZ

    Hili gari origin yake ni crown majesta, engine 3.5Ltr 😬😬lakini Usiiogope 😄😄maana ni HYBRID, mfumo wake ni CVT yaani kiufupi ulaji wake wa mafuta ni kama wa 2.0Ltr engine cars😋😋 kwa average ni 15km/ltr . Hii ni premium Edition ya crown iliyotengenezwa miaka iyo na kama tujuavyo kwa Majesta ndio...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya car insurance kwa leo

    Wakuu habari. Gari yangu imeisha insurance bila kujua muda umeisha, naweza pata wapi huduma kwa siku ya leo. Ni third part Asanteni sana
  11. The Tactician

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kukodi

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na...
  12. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Android car radio Tshs. 200,000/=

    Android car radio tshs. 200,000/ fixed 📞 0785335350
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Can we convert all our Vehicles to CNG Fuel powered? How to Convert Your Car To CNG Fuel Powered?

    CNG (Compressed Natural Gas) is a green fuel and emits fewer exhaust gases. It is also efficient compared to conventional fuels. CNG cars are becoming popular due to their low running cost. This thread provides you with a detailed guide on how to convert your car to CNG. How to Convert Your...
  14. GOLOKO

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gari IST (1290Cc) ncp60

    Natumai wazima humu, Msaada nahitaji IST 1290Cc iwe na conditions nzuri isiwe imerudiwa rangi bajeti yangu 10.5M. Sitaki iwe kwa dalali ila awe mmiliki halali.
  15. A

    JamiiForums Tanzania OBD kwa old car like Premio 2004 or IST

    Ningependa kujua hii device hapa TZ naweza pata wapi? Asante.
  16. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Six people killed after bus collides with car on Thika-Mwingi road

    Six people were on Tuesday killed in a road accident after a bus collided with a saloon car at Molomu area on the Thika-Mwingi highway. Police reports indicate that the bus was ferrying an unknown number of passenger while the car had five people on board. The bus is said to have collided...
  17. jey n

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye private car anaetoka arusha kwenda dsm nichangie hela ya mafuta

    Habari wakuu naomba msaada kwa mwenye private car anaesafiri kesho kutoka Arusha kwenda dar es salaam 22/5/2022 nitachangia hela ya mafuta
  18. W

    JamiiForums Tanzania Used Pioneer Amplifier 1000watts inauzwa

    Original imenunuliwa Nje na imetumika kwa mda mfupi.Bei yake ni Shillingi 350,000.Kama unauhitaji tupigie simu au tuma meseji namba 0742662669.Napitikana Dar es Salam Mwananyamala Komakoma karibu na CRDB bank
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya’s first branded car Mobius eyes Tanzania, Uganda

    A Mobius Model II car in Nairobi in 2019. PHOTO | NMG Kenya’s only home-grown automaker, Mobius Motors, plans to ramp up production of its second-generation model with an eye on the regional market including Uganda and Tanzania. The automaker, which in 2014 pioneered the production of a...
Back
Top Bottom