car

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tutumie electric bike na electric car sio vyombo vya moto

    Teknologia imeongezeka kwa sasa hivi watu wanatumia pikipiki za umeme na magari ya umeme, kwa sheria za tanzania hivyo sio vyombo vya moto hivyo havina bima wala hahutaji leseni kuviendesha ni kama unaendesha baiskeli au guta au mkokoteni wa ngombe, pia hamna kuingia sheli kunywa mafuta ukifika...
  2. C

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Kufanya Polish au Waxing kwenye gari

    Msaada kwenye tuta Nina kagari kangu naona rangi kama inafifia ila bado si mbaya sana. Napenda kujuzwa yafuatayo hasa kutoka kwa mtu ambae ameshafanya polishing au waxing kwenye gari yake 1. Polishing na waxing ni kitu kimoja au tofauti, 2. Je, mtu akifanya waxing au polishing kwenye gari...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi car wash

    Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye uzoefu wa kazi ya kuosha magari. Waadilifu, wachapakazi, watiifu na wenye uzoefu. Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya Best Bites ya Namanga. Piga simu Na. 0717 26 33 77
  4. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Car diagnostic solutions

    Hii thread ni maalumu kwa ajili ya results zote ambazo nitakuwa nazipata baada ya kufanya diagnosis kwenye magari. Nitakuwa napost screenshots za hizo codes pamoja na hatua mbalimbali nilizozipitia katika kutatua natatizo hayo. MUHIMU: Kama tatizo limetatuliwa kwa njia fulani, haimaanishi...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Chad na Jamhuri ya Afrika ya kati (CAR) watoa wito kwa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika (AU) kuchunguza kuuawa kwa wanajeshi

    Pande hizo mbili zinatambua uzito wa hali hiyo na zinasisitiza dharura ya kufafanua mazingira ambayo shambulizi hili lilifanyika, mawaziri wa mambo ya nje wa Chad na CAR walisema katika taarifa ya pamoja Jumanne jioni. Chad na Jamhuri ya Afrika ya kati (CAR) wanatoa wito kwa Umoja wa Mataifa na...
  6. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa - Kenya electric car company - opibus

  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Another locally produced car by Simba Motor Corporations of Kenya. The car is known as the Proton Saga

    The proton Saga will come in three variants; Standard MT- 1.1 MILLION kes. Standard AT- 1.2 MILLION kes. Premium AT- 1.3 MILLION kes.
  8. BuDDaH MBiSHi

    JamiiForums Tanzania Kwanini AC hufanya kazi wakati gari Linatembea/Linaenda tu?

    Angalia Thread hii ikiwa kiyoyozi chako hufanya kazi tu wakati gari lako linasonga Hakuna kitu kinaboa kama pale unapopunguza gari lako mwendo au unaposimama kumsubiri mtu/rafiki yako halafu ghafla baada ya dakika 5 baadae unagundua kuwa ndani ya gari joto limeongezeka zaidi. Unaangalia...
  9. Architect E.M

    JamiiForums Tanzania Ushauri - best economical 4wd car ya kununua

    Wadau, ninaomba ushauri wenu tafadhali. Nikiwa na bajet ya around a maximum of 17m, ninaweza kununua gari gani ya kutembelea ya kawaida tu ambayo priority ni 4wd maana sehemu ninayoishi kuna changamoto ya matope makali kipindi cha mvua? Lakini gari hiyo pia iwe easy to maintain, isinipasue...
  10. Sinister

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania New video alert: Using uber's electric cab for the first!

    Electric taxis — a welcome drop in Nairobi's pool of emissions An electric taxi can travel 150 kilometers on full charge. As the Kenyan capital struggles with air pollution, electric taxis are an opportunity for cleaner transport and also a way to make money. Launched in Kenya in August 2018...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Car Diagnostic Machine English version

    Habari wakuu, natafuta Car Diagnostic Machine English version. Au kama unawajua wauzaji toka nchi za nje nisaidie contacts zao. Nataka inayo toa taarifa za mfumo wa gari kwa Kiingereza
  12. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Kagame kaenda kuiba rasilimali za CAR

    Mzuka wanajamvi! Kagame kapeleka majeshi yake Central African Republic haraka haraka kwa kisingizio cha kuleta amani na kusaidia serikali ya sasa isipinduliwe na waasi kuelekea uchaguzi mkuu jumapili. Licha ya majeshi ya Rwanda pia Urusi imepeleka. Urusi kikubwa anachotaka ni Uranium. Central...
  13. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa 'car drifting'... mkutane hapa

    Katika jamii ya baby-walker cars, ni brand gani inafaa kwa drifting? Je, ili gari iweze kudrift, kuna any mechanical modifications zinazofanyika kwenye gari? Ama ni skills tu za driver? Nataka kujifunza car drifting. I like it sana, just for leisure & fun. Wajuzi wa car drifting mwageni ABCs...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji car diagnosis software ya kutumia kwenye PC pamoja na OBD2 cable

    Habari wajumbe! Nahitaji hiyo car diagnosis software, nilijaribu kutafuta moja inayoitwa techstream ila sikufanikiwa kuifanyia installation, hivyo kwa ambaye anaweza kuwa nayo please tell me.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nice condition cars bei poa tu

    Toyota E 100 Gari nzima mnoo Imeridiwa rangi mara moja A/C ya kujaza Gas & Miguu haigongi Milioni 3 . Engine 5A,Cc 1490 Location:Mtoni Kijichi Sms/whatsapp 0699494650
  16. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Car alarm systems si salama sana, kuna siku nilikua nafungua gari kwa remote, gari nyingine nayo ikafunguka

    Ilikuwa ni sehemu ya parking ya magari mengi sana, nilishangaa kila nikifumgua gari kwa remote , kuna gari nyingine kama mita 10 toka nilipo nayo ikawa inatoa mlio kama inafunguka, nikifunga kwa remote na yenyewe inatoa mlio kwamba inafunga sambamba na ile inayolengwa. Nikarudia hilo zoezi la...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba to assemble Sh1m Malaysian car in Kenya from November, 2020

    Simba Corporation is set to assemble Malaysian car brand Proton in Kenya starting November, aiming to attract price-sensitive middle-class buyers with prices as low as Sh1 million inclusive of taxes. This will expand the list of passenger cars assembled in the local market, joining Volkswagen...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KenGen to set up Electric Car charging stations

    Nopia electric Taxis at a charging station | PHOTO COURTESY As the world moves towards greener infrastructure, electric and hybrid cars have started gaining traction in Kenya – By Gerald Gekara. Power generator KenGen has announced its investment on electric car charging systems to increase...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ya kufungua Car Wash kwa hapa Dar es Salaam

    Wazee natafuta sehemu nzuri ya kufungua Car wash hapa Dar. Mwenye wazo/eneo zuri tafadhali.
  20. Mtumpole

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye Car Diagnostic Software

    Mdau mwenye Car Diagnostic Software kwa ajili ya ku-install kwenye PC (Windows OS) anisaidie.
Back
Top Bottom