car

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Car wash

    Habari Wana JF. Mimi nikijana wa miaka 23 nilipambana kutafta mtaji na Sasa nimepata million nne My plan nikufungua car wash ndogo. Mkoa niliopo nimefanya uchunguzi wa pressure washer machine nimekutana na wanaotumia za LUTIAN na EASY POWER nimekuja mbele yenu wakubwa naombeni mnishauri kati ya...
  2. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Car and home portable vacuum for best price

    🚗✨ CAR MINI VACUUM CLEANER (2 IN 1) ✨🚗 🧹 Usafi wa kina – hakuna kona itakayobaki chafu! ✔️ Inavuta vumbi, nywele, chembe za chakula & uchafu wa aina zote ✔️ Dry & Wet suction – hata maji si tatizo ✔️ Ina brashi maalum kwa sehemu ngumu kufika ✔️ Inafaa kwa: • Milango ya gari • Dashboard &...
  3. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Car Battle Thread: 2011 Ford Crown Victoria vs 2011 Toyota Crown

    Karibuni kwenye uzi wa kujadili mpambano kati ya magari yanayofanana kigezo na kimuundo. Leo ni 2011 ford crown victoria vs 2011 toyota crown.2011 toyota crown
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania 2026 Dream Car!

    Kuna vingi vya kuomba kabla hatujaomba magari. Hustle + Sala zikikubali basi kimoja kati ya hivi viwili kisajiriwe kwa majina yangu yote matatu.
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Car Service Episode 7/10: Suspension System (Shocks, Ball Joints, Link Bars nk.)

    Wakuu, leo tudiscuss kuhusu mfumo mzima wa suspension. Kwa uzoefu wangu, wengi tukisikia suspension tunachojua ni “shocks” peke yake, kumbe ni mfumo mkubwa unaojumuisha vitu zaidi ya kumi vinavyofanya gari lisitetemeke, liwe stable barabarani na kuzuia vibration isiingie ndani ya cabin...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Car Service Episode 6/10: Spark Plugs na Ignition Coils!

    Wakuu, kwema? Leo tuongelee hizi Spark plug na coils ambavyo ni vitu vya muhimu sana kwenye gari, na ndiyo zinazoamua kama engine yako irun smooth au rough wakati wa utendaji wa kazi. Hivi viwili visipobadirishwa kwa wakati, gari linaanza kumiss (ile milio ya puh puh puh), rough hidle...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Car Service Episode 4/10: Air Filter, Cabin Filter na Diesel Filter!

    Wakuu, leo tuongelee machujio ya hewa na mafuta (air filters na fuel filters). Nayo nayaita mwana mpotevu kwasababu kuna watu hawabadirishi miaka nenda miaka rudi. ENGINE AIR FILTER Engine air filter inachuja hewa inayoingia kwenye injini kabla ya combustion, ikizuia dust, michanga, pollen na...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Car Service Episode 3/10: Power Steering Fluid na Differential Fluid kuzibadirisha ni bei ndogo ila ni muhimu sana!

    Power Steering Fluid na Differential Fluid zipo kwenye kundi la fluids ambazo uwa zinapotezewa sana wakati wa kufanya service, ilihali gharama zake ni ndogo kuzidi ata faini moja ya trafiki. POWER STEERING FLUID Power steering fluid inasaidis pampu ya steering kufanya kazi vizuri, kwa kufanya...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Car Service Episode 2/10: Coolant na brake fluid zinatakiwa kubadilishwa kila baada ya miaka miwili au km 40,000!

    Wakuu, kwema? Wengi tunabadirisha engine oil kila mara, lakini tunasahau fluids zingine muhimu sana, mfano coolants na brake fluids. Leo kwenye muendelezo wetu wa service, tuzungumzie coolant na brake fluid ambazo zikipuuzwa zinaweza kuharibu engine au system ya breki au zikakupa majanga...
  10. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Car Service Episode 1/10: Engine na Gearbox Oil!

    Wakuu. Poleni na kila kitu. Nimeona leo tuwe na open discussion ya engine na gearbox oil service. Kama kuna mtu ana ujuzi na uzoefu wa aina aliyitumia na mabadiriko aliyoyaona inaweza kua msaada kwa mwingine. Kwa kuanza, mi nitatoa flashback kidogo na experience yangu ndogo kwenye hivyo...
  11. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale 2018 Audi Q5 Quattro iko sokoni - car enthusiast tukutane hapa

    Bei/Price TSH 85M Call+255 747 999 927 AUDI Q5 QUATTRO(S-LINE) Year: 2018 Engine: 1,980Cc Mileage: 62,000+ Fuel Used: PETROL Transmission: AUTO 100% Duty Paid Free Registration Exchange Possible Paddle Shifters Apple Carplay Equipped Driveway Assistance System
  12. X

    JamiiForums Tanzania BYD Yangwang U9 Extreme yaipiku Bugatti Ciron, kwa sasa ndio gari lenye kasi zaidi duniani "fastest car on the planet" 496km/hr!

    Hizi chuma za mwendo wa ngiri huwa zinafanyiwa majaribio katika viwanja maarufu viitwavyo Automative Papenburg (ATP) nchini Ujerumani. Hapo ndipo mjadala wa chuma ipi yenye kasi zaidi duniani humalizwa. Vyuma hupigishwa lap ya maana kupima km/hr au mph na acceleration ya engine in time. Katika...
  13. marklondon101010

    JamiiForums Tanzania Brazilian Couple Plunge 400m to Their Death After Car Rolls Off Cliff During Alleged Intimate Moment

    Brazilian Couple Marcone da Silva Cardoso and Adriana Machado Ribeiro Die After Car Plunges 400m Off Cliff During Alleged Intimate Moment Tragedy struck in Venda Nova do Imigrante, south-eastern Brazil, when a couple lost their lives after their car reportedly plunged 400 metres off a cliff...
  14. jerry spare parts service

    JamiiForums Tanzania Jerry Spare Parts Wawazawadia Wateja Wao – Njoo Upate Engine Check na free car inspection Bila Malipo!

    Habari ndugu wanajamii, Katika kuhakikisha huduma bora na kuendeleza mahusiano na wateja wetu waaminifu, Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwajulisha kuhusu ofa maalum kwa wateja wote waliowahi kupata huduma kutoka kwetu! 📢 Ndiyo! Tunatoa Free Car Inspection na Engine Diagnosis bila...
  15. jerry spare parts service

    JamiiForums Tanzania Ofisi yako ya magari inaitoa hii? Jerry spare parts waja na ofa ya free car inspection kwa wateja waliowahi kuhudumiwa!

    Habari wakuu wa JamiiForums, Kwa heshima na taadhima, napenda kushiriki nanyi taarifa njema kwa wale wote wenye magari na ambao wamewahi kupata huduma kutoka Jerry Spare Parts & Services, kampuni inayopatikana Makumbusho, Dar es Salaam. Kama sehemu ya shukrani kwa wateja wao waaminifu, kampuni...
  16. Hhimay77

    JamiiForums Tanzania Car rental/Tunakodisha Magari

    Rhond's com limited Unahitaji gari la kukodisha? Kwa kazi, safari au matembezi — tuko tayari kukuhudumia! ✅ Magari safi na yaliyohudumiwa vizuri ✅ Madereva waaminifu na wenye taaluma ✅ Huduma nchi nzima 📞 Piga/WhatsApp: +255 655 633 302
  17. Hhimay77

    JamiiForums Tanzania Car rental/Magari ya kukodisha

    Rhond's company limited 🚗 Unahitaji gari la kukodisha? Kwa kazi, safari au matembezi — tuko tayari kukuhudumia! ✅ Magari safi na yaliyohudumiwa vizuri ✅ Madereva waaminifu na wenye taaluma ✅ Huduma nchi nzima 📞 Piga/WhatsApp: +255 655 633 302 #MagariYaKukodisha #Tanzania...
  18. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania For Car Rental Services | Kwa Huduma ya ukodaji wa Magari karibu tukuhudumie.

    Kwa wale wenye Harusi , msiba , pamoja na Mambo mengine ambao mnahitaji kukodi Magari mnakaribishwa Bei hizi hapa wakuu Mercedes Benz G Wagon - Tsh 2.3M All Sedan Benz - 450k Benz Above YOM: 2014 - Tsh 600k Audi | BMW Mostly - Tsh 800k Ineos Grenadier - Tsh 1.8M Toyota V8 | 200 Series -...
  19. Royal Son

    JamiiForums Tanzania CAR MP3 AND CHARGER BEST PRI

    📻 CAR FM PLAYER G39 (TYPE-C) 🔊 ✨ Furahia muziki bila kikomo ukiwa safarini! ✅ USB Charging (3.1A Smart) ✅ FM Transmitter ✅ Inasoma flash & memory card ✅ Hands-free calls (duplex talk) ✅ LED ya rangi mbalimbali ✅ Mic iliyojengwa ndani 💰 Bei: 22,000 TZS 📍 Napatikana: Arusha 📞 Piga/SMS: 0712 350 159
  20. Bueno

    JamiiForums Tanzania Fast Car

    Tracy Chapman -1988 ...............
Back
Top Bottom