Concoo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 314
- 480
Hili gari origin yake ni crown majesta, engine 3.5Ltr 😬😬lakini Usiiogope 😄😄maana ni HYBRID, mfumo wake ni CVT yaani kiufupi ulaji wake wa mafuta ni kama wa 2.0Ltr engine cars😋😋 kwa average ni 15km/ltr . Hii ni premium Edition ya crown iliyotengenezwa miaka iyo na kama tujuavyo kwa Majesta ndio gari yenye highest test of luxury kwa hizi benz za kijapan.
.Nmefanyia uchunguzi wa kina na research sana nahis ndio next trending thing kwa hapa TZ. Kwa gharama kuanzia 30Mil, Nlishawahi kuichunguza hapo nyuma Dualis before haijapanda bei enzi izo me nliiagiza kwa bei ya IST tuu before wabongo hawajashtuka. Saizi mpaka 23mil ndo unalipata ,Wabongo wengi hili gari hawajalishtukia na wakilishtukia serikali itapandisha tozo kama kwa kina Dualis.
Nawasanua tuu wapenda magari mazuri wenzangu karibuni hili ndio ndinga itayotrend miaka ijayo hapa bongo karibuni kwa mchango.