Ilinde gari yako kwa kuipark sehemu salama pia hizi car parking shades huleta muonekano mpya wa nyumba yako au ofisi yako tupigie kwa namba 0687897026/0767583628
Habari za Muda huu mwanakitaa/ mwana jf, mpambanaji
Ningependa nikufunue macho kidogoo.
Je unajua makampuni mengi makubwa yalianza kushika soko wakati uchumi ume yumba
(Always Opportunity in adversity)
Natafuta mwekezaji upande wa car tentals/logistics ni fursa kubwa iko upande huu ENDAPO...
TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari.
Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili.
Wa Kwanza
Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
Unahitaji gari la kuaminika kwa siku chache au wiki? Usiende mbali! Rhond's company limited huduma zetu za kukodisha magari zinatoa:
Magari yaliyotunzwa vizuri
Vipindi vya ukodishaji vinavyobadilika
Bei nafuu
Mchakato wa haraka na rahisi wa kuweka gari
Safiri kwa faraja na uhakika...
Nawasalimu wote jukwaani
Kutokana na kuzidi kupaa kwa bei za mafuta napenda kujua zaidi kuhusu hizi hybrid cars. Ufanisi wake, uimara wake, consumption ya mafuta[nimesikia ni ndogo] na mengine mengi na je magari hAya ni rafiki kwa mazingira ya nchi yetu
Mnaofahamu au kuwai kutumia gari hizi...
Wazoefu wa hii biashara naomba ufafanuzi;
Niandae bajeti ya Tsh ngapi kwa ajili ya hii biashara mchanganuo wa bei ya machine na Vitu vingine vinavyohitajika.
Location nzuri iweje Mambo gani ya msingi nizingatie Ili nipate location nzuri
Gharama za uoshaji zikoje kwa sasa. Changamoto ya hii...
Wadau wa JF Garage.
Kuna chuma, EV kutoka kampuni la Kijapan Mitsubishi inaenda kwa jina Mitsubishi i-MIEV (Mitsubishi innovative Electric Vehicle).
Hii unaweza kuipata BEforward kwa bei kati ya Mil 5 hadi 6 na kuendelea, na kodi zake (kwenye calculators ya TRA haipo) nimeulizia ni Tsh Mil 3.5...
Sifa
Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia).
Muaminifu na mchapakazi
Garage iko Iko Makuburi, Ubungo.
Hakuna malipo.
Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
RHOND'S COMPANY LIMITED
Karibu kwenye huduma zetu za kukodisha magari(car rental), ambapo tunakuhakikishia usafiri wa uhakika na wa kuaminika. Tunatoa magari ya kisasa kwa bei nafuu na huduma bora kwa wateja wetu wote.
Tunatoa:
Magari ya Aina Zote: Kuanzia magari madogo, magari ya familia...
Kuna jamaa aliniuliza kuna changamoto gani au kero zinakumbananazo car wash za hapa bongo kwa maana yeye alitaka siku moja aanzishe automated car wash kama hio hapo chini
https://youtube.com/shorts/gp6_tX0no50?si=VHD5CWh6KZ_epVth
Nikaona isiwe tabu wacha niulize huku JF labda kuna watu...
…Valéry Giscard d’Estaing alikuwa ni Rais wa Ufaransa kuanzia mwaka 1974 hadi 1981.
Jean-Bedel Bokassa alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mwaka 1966 hadi 1979.
Ndani ya miaka 13 ya utawala wake, alibadili mfumo wa utawala nchini mwake CAR na kuwa utawala wa Kifalme… Baadae...
habari zenu wakuu
kutokana na changamoto kubwa zinazotokea kwa watu wengi hasa upande wa ujenzi kwa kutumia vyuma BEST MACHENICS COMPANY tumekuja na huduma inayohusisha design and fabrication ya steel structure kutoka kwa wahandisi wabobevu
Huduma tuzitoazo ni,
-kubuni michoro ya miundo mbali...
Wasalaam
Kabla magari ya KUKODISHA maarufu kama Costa hayajarasimishwa nilikuwa nashuhudia ABIRIA WENGI WAKIIMBA NYIMBO ZA MAOMBOLEZO
Naukiza swali, zile nyimbo zimepitwa na wakati? Maana siku hizi ni KIMYA KIMYA
Wakuu
Nina set ya vifaa vyote vya kuoshea magari vipo Tu home vimekaa
Sasa kama mtu anataka nimkodishe then awe ananipa % flan kila siku aje DM tuyajenge
Vifaa viko Dar
Habari wakuu, Swala la kupenda gari na kutunza ni kipaji ambacho watu wachache wamejaaliwa hii unaikuta kwamba magari ya aina moja yalioagaizwa mwaka mmoja limoja linakua linamuonekano mzuri kuliko lingine na hii inatokana na utunzaji tulivyotofautiana.
Siku ya leo tujadili vitu ambavyo unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.