car

  1. C

    Bei ya Kitambaa cha Car Shade

    Naomba kujua kwa anayefahamu bei ya kitambaa cha car shade pekee yake pamoja na labor ya kushona kwa car shade ya mita 5 kwa mita 5. Asanteni 0625 536 529
  2. Emmanuel ndonde

    Cars for sell

    NISSAN X-TRAIL VS TOYOTA HARRIER CAPACITY; harrier ina uzito mkubwa zaidi kwa kuwa na maximum weight ya 2700Kg lakini x-trail ina uzito wa 2170 Kg lakin x-trail ina nafasi kubwa ya kubeba mpaka uzito wa 1773Kg ambapo ni asilimia 11 zaidi ya harrier na ina roof kubwa kuliko harrier. ENGINES...
  3. U

    Car Tracking services

    Sumtech Company Limited Tuna bidhaa zenye uwezo wa kulinda,kutoa taarifa kuhusu gari lako,kwa kupitia simu yako mteja anaweza kuona, -Speed -Sehemu ya gari yako ilipo -kuzima au kuwasha gari -Routes za gari -Gari lilipo -Mwendo wa mafuta,kujua mafuta yaliyowekwa au kiasi gani cha mafuta...
  4. Elon Mzebuluni

    INAUZWA Badilisha Old subwoofer au speaker isiyokua na Bluetooth na kuifanya kua Bluetooth party speaker kwa kutumia kifaa hiki hapa.

    Habari!! Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa 0767142928 text,call,WhatsApp tufanye biashara. Napatikana Mbeya. Mikoani tunatuma ukihitaji...
  5. premudeshi

    Driving School and Age for Motorbikes?

    Hi, I am eager to get my driving license in Tanzania, however I am 16 years old. The Tanzanian law book says 16 years of age for motorbikes. Even the TRA website says 16 years of age for motorbike. However, when I contacted TRA, they said you are required to be 18. What is the correct driving...
  6. premudeshi

    Driving School and Age for Motorbikes?

    Hi, I am eager to get my driving license in Tanzania, however I am 16 years old. The Tanzanian law book says 16 years of age for motorbikes. Even the TRA website says 16 years of age for motorbike. However, when I contacted TRA, they said you are required to be 18. What is the correct driving...
  7. T

    Naona itakuwa ngumu kununua gari la ndoto yangu, Land Cruiser Prado! Je TZS 47 Million itatosha kununua gari la aina gani kama hilo?

    Habari wakuu, Nimejikusanya muda sasa kuweza kumiliki gari la ndoto zangu. Tatizo ni budget yangu kwani nimefuatilia kuhusu my dream car naona mfuko haujajaa linapokuja suala la TRA. Je, waweza nishauri gari gani linaloweza kuwa; - Economy, - Confortable, - Attractive, - Unique, - Stand out on...
Back
Top Bottom