cag

  1. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Mbunge CCM alalamika bungeni kuwa awasikilizwi, pia taarifa za CAG zinapuuzwa

    Mbunge wa Jimbo la Momba CONDESTER SICHALWE CCM amelalamika kuwa mawazo, maoni wanayotoa bungeni yamekuwa ayasikizwi na serikali, pamoja na ayo ameongeza kuwa taarifa za ukaguzi za mkaguzi Mkuu wa serikali CAG zimekuwa zikipuuzwa na Serikali. Soma Pia: Ripoti 21 za CAG zatua Bungeni kwa ajili...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

    Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof Mussa Assad ameeleza namna alivyopata taarifa za kutenguliwa kwake katika nafasi hiyo. “Utenguzi wangu kuna mtu alinipigia simu siku moja kabla kuhusu utenguzi wangu, na saa moja kabla ya taarifa kutoka nikapigiwa simu tena...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu, Utouh: Kilichotokea Kenya kinaonesha kunahitajika Uwajibikaji katika fedha za Serikali

    Taasisi ya Masuala ya Uwajibikaji wa Umma (WAJIBU) imekuwa ikiandaa ripoti za uwajibikaji zenye lengo la kuongeza uelewa wa Wananchi kuhusu mambo muhimu yaliyoibuliwa kwenye Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). WAJIBU imeandaa ripoti nne (4) kutoka kwenye ripoti za...
  4. Miyolo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadiliko ya kufanyika ili kuchochea uwajibikaji katika ubadhirifu kwenye ripoti za CAG ili kujenga Tanzania Tuitakayo

    Utangulizi Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikionyesha matukio mbalimbali ya ubadhirifu wa fedha za umma na utawala mbovu katika taasisi za serikali. Hali hii inazorotesha maendeleo na kuathiri ustawi wa wananchi. Ili kujenga “Tanzania Tuitakayo,” ni...
  5. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maberesho ofisi ya CAG

    Tanzania tuitakayo Ofisi ya CAG ipewe mamlaka kamili Kama chombo kinachojitegemea na kujitosheleza Kama ilivyo TAKUKURU. Yaani wawe na mamlaka ya kumfikisha mahakamani na kumfungulia mashitaka kiongozi au mkuu wa taasisi baada ya kujiridhisha alifanya/amefanya ubadhirifu. Hii itaondoa dhana...
  6. Mc Justine Mwakibiki

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hatua gani zichukuliwe kwa ubadhirifu unaobainishwa kwenye ripoti ya CAG ili kuchochea uwajibikaji?

    Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza Serikali ama Taasisi mbalimbali katika jamii zetu. Je, nini kifanyike ili kuchochea Uwajibikaji dhidi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Masheik mahubiri ya maadili yasiishie kwenye ushoga, jumuisha HAKI, WIZI WA MALI ZAUMMA- REPORT ZA CAG, siasa safi, uongozi bora na mambo kama hayo

    Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu. Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary)...
  8. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Waliohusika ufisadi report ya CAG mwaka huu walisha ombewa msamaha kwa Raisi hivyo wako huru

    Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana. Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na jukumu zito sana la kuwahoji kabla ya kumuomba Raisi awasamehe na awape onyo kali sana. Kamati...
  9. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Usanii wa CCM: Badala ya kushughulikia Ripoti ya CAG yenye utatuzi kisheria mnatumia mikutano kudhalilisha halafu imeisha

    Hakika huu ni usanii mkubwa na very calculated. CCM ambayo ndio ina dhamana ya kuongoza serikali inatumia ujinga wetu kutuhadaa ili tuone wanastahili kuendelea kushika dhamana hiyo pamoja na madudu yao ya kutisha. Kwa mujibu wa sheria Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali CAG ni mtu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hoja: Sababu zipi zinaipeleka ripoti ya CAG Bungeni ikiwa hakuna linalofanyika?

    Ikiwa Bunge linajadili taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG), kisha hakuna azimio linalotekelezwa? Ni sababu zipi kisheria na Kikatiba zinaruhusu ripoti hiyo kusomwa Bungeni? Je Bunge linapitisha Bajeti wasiyoweza kusimamia na kuamua matumizi yake au lina kazi gani haswa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Watu Wamepoteza Mwamko wa Kusikiliza Ripoti ya CAG

    Ni takribani miaka mitatu sasa CAG amekuwa akitoa taarifa zilizojaa madudu ya ufisadi na rushwa pasi na mamlaka ikiwemo serikali kuchukua hatua yeyeote kukabiliana na tuhuma hizo kwa kipindi chote hicho. Imefikia hatua sasa wananchi wamepoteza kabisa imani ya kuendelea kusikiliza ripoti...
  12. JF Toons

    JamiiForums Tanzania Umeelewaje katuni hii Mdau?

    Vipi mdau, umeelewaje katuni hii? Upi mtanzamo wako kwenye katuni hii?
  13. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, Kazi Inaendelea ya Kufuja Fedha za Umma

    Maeneo kumi (10) muhimu katika Uchambuzi wa Ripoti ya CAG mwaka 2022/23. Kama ambavyo tumekuwa tukifanya kila mwaka, uchambuzi wetu mwaka huu utajikita kwenye mambo kumi (10) ambayo tunaona ni muhimu Watanzania kuyatambua na tutayatolea mapendekezo ili yaweze kuchukuliwa hatua. Katika...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Act Wazalendo inafanya uchambuzi wa ripoti ya CAG

    Act Wazalendo inafanya uchambuzi wa ripoti ya CAG https://youtube.com/live/NUZV2KCIntw?si=tEvs29-aBxTF6TT9
  15. Nsubhi

    JamiiForums Tanzania Riport ya CAG na kikokotoo

    Kwenye report ya CAG imeonekana kuna mabilioni yamepotea kila secta lakini pia kuna mabilioni kwenye mifuko ya jamii wamekopeshana wafanyakazi wa mifuko ya jamii na mabilioni mengine serikali imekopa na haitaki kulipa. Hivyo danadana zote hizi wanajua tatizo liko wapi hivyo wanaangalia mdhaifu...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania CAG: Askari Magereza Walipwe Posho ya Mazingira Magumu

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Serikali ifanye mapitio ya kina ya mgawanyo wa bajeti kwa ajili ya posho za mazingira magumu kwa Maofisa wa Magereza na kuboesha bajeti kuhakikisha ustawi wa Maofisa wa Magereza. Kupitia Ripoti Kuu ya Mwaka ya...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CAG Ripoti 22/23: TEMESA inailipa Kampuni ya AZAM Tsh. Milioni 5 kila siku kuendesha Vivuko

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri uendelevu wa huduma ambapo TEMESA inailipa Azam...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CAG Kichere: Wizara ya Elimu haijatoa Tsh. Bilioni 1.23 za Elimu Bure

    Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia haijatoa Sh1.23 bilioni kwa ajili ya elimu bila malipo, ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini. Kulingana na ripoti kuu ya ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyowasilishwa leo Jumatatu, Aprili 15...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania CAG: Kitambulisho cha NIDA kiwe kigezo cha lazima kwa Wanafunzi wanaoomba mikopo

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu uweke mwongozo unaohitaji uwasilishaji wa NIDA kuwa ni lazima kwa Woambaji wote wa mikopo wenye umri wa zaidi ya miaka 18 na Waombaji walio chini ya umri wa...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania CAG: Mifuko ya Hifadhi ya Jamii inazidai Taasisi za Serikali trilioni 1.73

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeonyesha taasisi za Serikali zinadaiwa mikopo ya muda mrefu yenye thamani ya Sh1.73 trilioni ambazo hazijalipwa kuanzia mwaka mmoja hadi 16. Kwa mujibu wa kitabu cha Ripoti ya CAG ya Mashirika ya Umma, ambacho ni miongoni mwa...
Back
Top Bottom