CAG stands for the Controller and Auditor General. In Swahili, this translates to Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.
In Tanzania, the CAG is the head of the National Audit Office of Tanzania (NAOT) and serves as the supreme constitutional authority responsible for auditing and overseeing how public funds are collected and spent.
Here is a breakdown of what the CAG does; The CAG audits the financial statements of all government ministries, independent departments, executive agencies, local government authorities (LGAs), and public corporations. They check whether public funds were spent according to the law, approved budgets, and financial regulations. Beyond just checking the math, the CAG assesses whether government projects were executed efficiently and whether the public actually got "value for money" (e.g., if a road was built to the right standard for the price paid). The CAG's audits frequently uncover ghost workers, embezzlement, inflated procurement contracts, and other forms of financial mismanagement.
UKAGUZI WA TAMISEMI, TAWALA ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24
Muhtasari huu unawasilisha matokeo muhimu ya ukaguzi, hitimisho na mapendekezo. Ukaguzi ulichunguza taasisi 220 zikiwemo Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sekretarieti za...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/24 imebaini kuwa jumla ya Shilingi trilioni 1.14 zilizokusanywa kupitia tozo mbalimbali na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo...
Bunge lataka CAG asipeleke Ripoti yake Bungeni kisa itamharibia Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu
Wabunge akiwemo kibajaji, amedai muda hautoshi. Ripoti ya CAG ipelekwe Bungeni Mwenzi Novemba baada ya Uchaguzi Mkuu. Amedia kama ikipelekwa bunge hili kuelekea Uchaguzi Mkuu, itapunguza kura za...
Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !!
Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!.
Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa.
Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49
2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara
3. Mwaka 2023 NHIF ilipata hasara ya Bil 269, huku taasisi ikijiendesha kwa hasara kwa asilimia 50...
Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa akizungumza na Clouds FM amesema
"Ukisikiliza ile ripoti ya CAG utaona Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Serikali amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza ile Ibara ya 143, Ibara ndogo ya 4 ya Katiba ya kupokea taarifa na...
Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,
Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya...
Introduction
The release of the 2023/2024 report by the Controller and Auditor General (CAG) has once again shaken the confidence of Tanzanian taxpayers. As has been the trend in previous years, the findings have laid bare disturbing levels of financial mismanagement, misappropriation, and...
Baada ya kutolewa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Dkt. Charles Kichere Machi 27, 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha Dominic, amependekeza itumike adhabu ya kunyongwa kwa wale wote waliohusika katika ubadhirifu wa fedha...
Utumwa unaweza kuwa ni hiari ya moyo. Ina maana miaka mingi hawa watumishi wa serikali wanaidai serikali, hailipi na wao wanaendelea kusifia, " anaupiga mwingi". Hii ni akili ya kawaida? Kwa watumishi wa aina hii TZ inategemea kuendelea?
nilidhani ni walimu tu ambao huwa wansombwa na baadaye...
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepokea pongezi kubwa kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa utendaji wake bora katika mwaka wa fedha 2023-2024.
Ripoti ya CAG, iliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, ilionesha kuwa TPA ni miongoni mwa mashirika ya umma...
Kila ripoti inapotoka kwa CAG ni segere na visingeli wanavyo fanya hawa ccm ndani ya serikali sababu ni chama kipo madarakani hakuna wa kusingizia kama wasemavyo aliyepita kama kapita mbona deni lina ongezeka.
Soma Pia: Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebainisha kuwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linadaiwa jumla ya shilingi bilioni 238 na kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Kati ya kiasi hicho, bilioni 111 ni deni la msingi, huku bilioni 127 zikiwa ni riba...
"Mheshimiwa Rais ukaguzi wangu pia ulibaini kuwa halmashauri 37 zilikusanya shilingi bilioni 3.45 ambazo hazikuwekwa kwenye akaunti rasmi za serikali. Hali hii inaashiria uwezekano wa ubadhirifu wa fedha za umma na kusababisha ucheleweshaji na utoaji wa huduma muhimu kwa wananchi. Napendekeza...
Wakati akiwasilisha ripoti ya ukaguzi kwa Rais, Mkaguzi mkuu wa serikali Charles Kichere amesema kuwa serikali inadaiwa kiasi cha shilingi Bilioni 7.90 kama fidia kwa waliopisha miradi ya maendeleo.
Aidha ameshauri pesa hizo kulipwa kwa wakati ili kuepusha riba inayoweza kutokea kutokana na...
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema mwaka wa Fedha wa 2023/2024, Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilipata hasara ya Shilingi bilioni 224 ikilinganishwa na Shilingi bilioni 102 mwaka uliopita.
CAG imesema hasara hiyo imechangiwa na kupungua kwa mapato ya...
Akiwasilisha ripoti yake kwa Rais, Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali, Charle Kichere ameeleza kuwa mashirika 12 kati ya 217 yaliyokaguliwa yametumia Bilioni 371 katika matumizi yasiyoleta thamani kwa taasisi.
Matumizi hayo yalitokana na mambo mbalimbali ikiwemo malimbikizo ya riba...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 30 Juni 2024, deni la serikali lilifikia shilingi trilioni 97.35. Hii ni ongezeko kutoka trilioni 82.25 lililoripotiwa katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiwa ni tofauti ya trilioni 15.1 sawa na ongezeko la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.