Hoja: Sababu zipi zinaipeleka ripoti ya CAG Bungeni ikiwa hakuna linalofanyika?

Apr 29, 2024
22
34
Ikiwa Bunge linajadili taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG), kisha hakuna azimio linalotekelezwa?

Ni sababu zipi kisheria na Kikatiba zinaruhusu ripoti hiyo kusomwa Bungeni? Je Bunge linapitisha Bajeti wasiyoweza kusimamia na kuamua matumizi yake au lina kazi gani haswa isiyoonekana kwa macho kwenye Hesabu za Serikali?

Msimamizi mkuu wa Serikali anatosha kweli?
 
Ufisadi ni mpango wa chama Chao na wao ni wabunge wachama hicho ,unatamani mwizi hajikamate ,ajihukumu
 
Back
Top Bottom