cag

CAG stands for the Controller and Auditor General. In Swahili, this translates to Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

In Tanzania, the CAG is the head of the National Audit Office of Tanzania (NAOT) and serves as the supreme constitutional authority responsible for auditing and overseeing how public funds are collected and spent.

Here is a breakdown of what the CAG does; The CAG audits the financial statements of all government ministries, independent departments, executive agencies, local government authorities (LGAs), and public corporations. They check whether public funds were spent according to the law, approved budgets, and financial regulations. Beyond just checking the math, the CAG assesses whether government projects were executed efficiently and whether the public actually got "value for money" (e.g., if a road was built to the right standard for the price paid). The CAG's audits frequently uncover ghost workers, embezzlement, inflated procurement contracts, and other forms of financial mismanagement.
  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania CAG aibua ufisadi TPA ya Deus Kakoko, Ni mbaya kuliko wa Kigwangalla

    Kwa wiki zima mitandao ya jamii imemshupalia Dr Hamis Kigwangalla kwa ufisadi wa kutumia Tsh bilioni 2.58 bila idhini ya Bunge. Pengine Kigwangalla yuko kwenye "spotlight" kwa vile siku zote ni mtu wa majibizano kwenye mtandao ya jamii. Sasa kuna manunuzi ya Tsh bilioni 22.69 yaliyifanywa na...
  2. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba atoa maelezo ya CAG kuhusu CUF chama cha wananchi

    Tarehe 26 March 2020, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere aliwasilisha ripoti ya ukaguzi wake ya 2018/19 kwa Rais John Magufuli katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dodoma.Pamoja na Mambo mengine CAG Charles Kichere alisema: "Mheshimiwa Rais, nilibaini...
  3. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli futa Halmashauri za Wilaya zinafuja pesa na kurudisha nyuma maendeleo. Report ya CAG ya 2018-2019 inaonesha wazi hili

    Tumekuwa tukishauri kwa muda mrefu sasa kwamba Halmashauri za Wilaya zifutwe kwa kuwa hazina tija kwenye maendeleo ya wananchi. Hii haitakuwa mara ya kwanza kuzifuta halimashauri hizo, kwa kuwa huko nyuma kitu kama hicho kilishafanywa na Mwalimu Nyerere, ambapo alizifuta mwaka 1972 na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli kama hii report ya CAG ingesomwa na mpinzani kama Lema angeshikwa na kushitakiwa

    Tanzania tumefikia sehemu kwenye siasa zetu mpaka tumesahau tofauti ya siasa, vyama na kuona kila kitu uadui. Nilikuwa namwangalia leo CAG akisoma repoti na kusema mwenyewe. Je, hayo anayosoma yote angesoma mtu wa upinani kama Lema serikali ingechukulia kama ni mawazo au ingechukulia kama ni...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jumuiya za CCM zimekubuhu kwa unyang'au na Ufisadi? Kila ripoti ya CAG ni lazima watajwe wao

    Hizi jumuiya za CCM yaani UWT, UVCCM na Wazazi zimekuwa zikihusishwa na ufisadi unaokichafua chama mara kwa mara. Last year ilikuwa UVCCM ambapo CAG Prof Assad alifoka sana leo ten Jumuiya ya wazazi imerudia yale yale na kukemewa vikali na Kichere. Kama vipi hizi Jumuiya zivunjiliwe mbali ili...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Lipumba na Mutungi waumbuka , tuhuma zao za kutafuna hela za CUF zathibitishwa na CAG

    Haya yamesemwa na CAG kicheere leo , ikumbukwe kwamba jambo hili lililalamikiwa sana na Maalim Seif wakati wa Mgogoro wa Cuf uliofadhiliwa na ccm. Mutungi alipuuza kwa vile kulikuwa na viashiria vya ushiriki wake kwenye mgogoro ule . Hakika muda umeongea wenyewe Lipumba afungua akaunti mpya...
  7. Mtukudzi

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG, ufisadi kwenye ubalozi wa Sweden. Je, CAG ameamua kumchafua Dkt. Slaa?

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema katika ukaguzi unaoishia Juni 30, 2019 amebaini Balozi za Tanzania nchini Brazil, Nigeria na Stockholm(Sweden aliko Dr. Wilbroad Slaa) zimetumia Sh1.02 bilioni kukodi nyumba za makazi kiasi ambacho kingeepukika kama...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Zitto afungua kesi ya kikatiba kupinga uteuzi wa CAG mpya

    Kiongozi wa ACT Wazalendo.,Zitto Kabwe, amefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya mosi; Sheria ya Ukaguzi namba 11 ya mwaka 2008 kukiuka Katiba na pili Uteuzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) uliofanywa na Rais Magufuli kuwa kinyume na masharti ya Katiba. Kesi hiyo ya Kikatiba...
  9. BASIASI

    JamiiForums Tanzania CAG tunaomba ukague hizo pesa za wasanii kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii

    Nimefuatilia sana majibishano ya baadhi ya viongozi tukajua n bifu za kawaida. Sasa kwa yanayoendelea kila msanii anakana hajapewa hela jamani tunaomba hii hali ikaguliwe na CAG wetu na jambo hili liwekwe wazi ama bungeni ama kwenye vyombo vya habari. Leo mtaruhusu haya atakuja mwingine...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Zitto kuhusu hali ya shirika la Ndege la Tanzania(ATCL) kulingana na ripoti ya CAG

    Shirika la Ndege Air Tanzania limejitahidi kupunguza hasara kutoka TZS 15b mwaka 2017 mpaka TZS 10b mwaka 2018. Hata hivyo Shirika la ATCL kiuhalisia limefilisika kwani Madeni yake yamezidi Mali zake kwa TZS 177b mwaka 2018 kutoka TZS 173b mwaka 2017. Chanzo: CAG Audit Report Chanzo: Twitter
  11. Fanfa

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU na CAG fuatilieni hili la Mkurugenzi wa UCC

    Heshima kwenu wana jamiiforums, Nimepenyezewa taarifa zinazohusu mazingira ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka yanayofanywa na mkurugenzi wa kampuni ya chuo kikuu cha Dar es salaam iitwayo University of Dar es Salaam Computing Centre (UCC), Dr. Ellinami Minja. Nimeona ni vyema niliseme...
  12. mr yamoto

    JamiiForums Tanzania Sehemu ambazo CAG haruhusiwi kusogelea: ATCL na Wakala wa Barabara - TANROADS. Unajua kwa nini?

    Mbunge ahoji kwanini CAG hajafanya ukaguzi ATCL, Tanroads. Mbunge huyo amehoji akitaka kujua ukaguzi huo uelezwe kwanini haujafanyika ili isije ikawa hela zinapigwa. Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde amemtaka Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kueleza...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yabaini ubadhirifu mabilioni ya fedha za malipo ya korosho. Wakulima wasiolipwa watakiwa kujitokeza na CAG kuikagua bodi ya Korosho

    Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo. Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko. Kadhalika Waziri amewataka...
  14. The Genius

    JamiiForums Tanzania Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

    CAG mstaafu;Musa Asad ameingia mkataba wa miaka mitatu (2019-2022) wa kukagua hesabu zote za fedha za misaada inayotolewa na swedan kwa Tanzania. .................... Una maoni gani kwa Asad na kwa serikali ya Tanzania?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Katiba: CAG haruhusiwi kujihusisha na siasa baada ya utumishi wake

    Katiba yetu ipo very clear CAG haruhusiwi kuingia katika siasa baada ya muda wa utumishi wake. Hii inamaana kuwa wale tunafikiri kesho CAG ataingia katika siasa tunapoteza muda na huwenda ndio maana katiba inamlinda sana ili asije nyanyaswa na watawala.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Abbas: Siyo CAG tu anayebanwa na Katiba bali hata Rais wa JMT ana masharti yanayomuongoza katika utendaji wake

    Msemaji wa serikali ametolea ufafanuzi wa mambo mbalimbali ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa, haki za binadamu na kustaafu kwa CAG. Dr Abbas amesema ukiachalia mbali CAG hata Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amewekewa kanuni zinazombana na kumuongoza katika utendaji wake wa kila...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ikiwa wafadhili watagundua CAG alionewa, basi tusali

    Naipenda Serikali na Rais wangu ila napenda zaidi Serikali yangu kufuata Katiba ili kuepuka mambo ya Zimbabwe nchi iliokuwa na uchumi mzuri leo uchumi umeparaganyika. Budget yetu ni tegemezi tutake ama tusitake. Ila sasa kwa mchezo unaendelea nchi wafadhili wakipunguza misaada ina maana...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Yafanyike marekebisho CAG awe mbunge kama ilivyo kwa AG ( Mwanasheria mkuu)

    Ili kupata mawasiliano yenye uhakika ni vema pakafanyika mabadiliko madogo ya katiba ili kumuwezesha CAG kuwa mbunge. Tumeona faida ya mwanasheria mkuu kuwa mbunge kwamba anajibu hoja zetu zote zenye utata wa kisheria pale bungeni, vivyo hivyo CAG akiwa mbunge ataweza kuzitolea ufafanuzi hoja...
  19. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akata mzizi wa fitna uteuzi CAG

    BAADA ya kuwepo mjadala mkubwa katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu uteuzi na utenguzi wa nafasi ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Rais John Magufuli amemaliza mijadala hiyo kwa kuweka bayana kuwa nafasi hiyo, haipo juu ya mamlaka ya mihimili mikuu mitatu...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad amkabidhi ofisi CAG mpya, hakuona haja ya kupiga danadana

    Hiki ni kitendo kilichofanyika bila kuchelewa , hajataka kuleta longolongo ili waseme kuna mafaili yametoroshwa . Kila la heri Profesa Assad ****** Prof. Assad: "Hii ni taasisi na makabidhiano ya taasisi yanaenda kwa maandishi, kwa hiyo makabidhiano kwa maandishi yatafanyika Dodoma kwa sababu...
Back
Top Bottom