Sehemu ambazo CAG haruhusiwi kusogelea: ATCL na Wakala wa Barabara - TANROADS. Unajua kwa nini?

mr yamoto

JF-Expert Member
Oct 2, 2016
923
1,393
Mbunge ahoji kwanini CAG hajafanya ukaguzi ATCL, Tanroads.

Mbunge huyo amehoji akitaka kujua ukaguzi huo uelezwe kwanini haujafanyika ili isije ikawa hela zinapigwa.

Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde amemtaka Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kueleza sababu za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kutofanya ukaguzi katika Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na Wakala wa Barabara (Tanroads).

Akizungumza katika mjadala wa bajeti hiyo leo Jumatatu, Aprili 23 bungeni mjini Dodoma, Silinde amesema, “Kuna usiri gani wa kuleta taarifa ya ukaguzi wa ATCL bungeni. Isije kuwa tunapigwa fedha kupitia shirika hili. Tunataka waziri atueleze sababu ni nini?

“Pia ukaguzi wa Tanroads nao hauonekani na kuna taarifa huko mitaani kuna miradi hewa ya barabara iliyogharimu Sh282bilioni, tunataka kujua thamani ya barabara zinazojengwa kupitia ukaguzi wa CAG. Mtueleze kwanini hauletwi hapa bungeni.”

Kwa mfano: Hii Kampuni iliyokula Bilioni 14 bila kujenga hata mita moja pamoja na umuhimu wa barabara ya Makutano, Natta, Mugumu, Loliondo mpaka Mto wa Mbu kwa utalii Serengeti ndio imejenga Chato Airport, unajua kwanini?

IMG_20191026_180819.jpeg
 
Mbunge ahoji kwanini CAG hajafanya ukaguzi ATCL, Tanroads

Mbunge huyo amehoji akitaka kujua ukaguzi huo uelezwe kwanini haujafanyika ili isije ikawa hela zinapigwa

View attachment 1245587
Hao ndiyo wabunge tunao wahitaji hapa Tanzania maana wanakerekwa na mayumizi mabovu ya kodi zetu
 
Umesema waziri wa ujenzi,uchukuzi na mawasiliano ni Prof Makame Mbawala?Endelea kuota brother
 
Mbunge ahoji kwanini CAG hajafanya ukaguzi ATCL, Tanroads

Mbunge huyo amehoji akitaka kujua ukaguzi huo uelezwe kwanini haujafanyika ili isije ikawa hela zinapigwa

Mbunge wa Momba (Chadema), David Silinde amemtaka *Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa* kueleza sababu za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kutofanya ukaguzi katika Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na Wakala wa Barabara (Tanroads).
Profesa Makame Mbarawa ni waziri wa ujenzi? Eti huyu ndiyo akili kubwa ya chadema anayetegemewa ni aibu.
 
Tulia na usome mstari kwa mstari wewe kilaza mnywa mikojo! Swali liliulizwa April wakati mbarawa akiwa waziri wa miundombinu! Sina tena na uache ukilaza!
Ndio maana meko anatoana wote vilaza na kutupiga tu!! Mataga ni wajinga sana.
 
Back
Top Bottom