caf

The CAF Champions League is an annual continental club football competition run by the Confederation of African Football (CAF). The top club sides from Africa's football leagues are invited to participate in this competition, which is the premier club football competition in the continent and the equivalent to the UEFA Champions League. Due to sponsorship reasons, the official name is Total CAF Champions League, with Total Champions League also in use.The winner of the tournament earns a berth for the FIFA Club World Cup, a tournament contested between the champion clubs from all six continental confederations, and also faces the winner of the CAF Confederation Cup in the following season's CAF Super Cup.
Egypt's Al Ahly SC is the most successful club in the competition's history, having won the tournament eight times. Egyptian clubs have accumulated the highest number of victories, winning the title 14 times.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hamjambo nyie vijana wa CAF Champion League

    Simba sc na pacha wake Young African SC Ninyi ni timu bora na kongwe kwa Tanzania. Zinauwekezaji mkubwa na mashabiki wengi kwa Tanzania kuliko timu yoyote ile. Wote mumeingia makundi kwa pamoja na wote matokeo yenu yanafanana. Ninyi ni MAPACHA HASWA. Mmecheza michezo 3 Mkatoa sare 2 na...
  2. JamiiForums Tanzania FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023 Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana. Je, wawakilishi hawa wa Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Tuzo za CAF: Kocha wa Simba apenya, Yanga yatupwa

    Mshika remote wa vichwa vya fans wa Yanga tunaomba uwaset Uto wajadili bila jazba na matusi
  4. E

    JamiiForums Tanzania Asec Momosas 0 -0 Wydad CAF Champions League | 02-12-2023

    Game imeanza kuchezwaa mda huu.
  5. JamiiForums Tanzania Mechi za CAF Kesho: Yanga ataifunga Al Ahly na Simba atatoa Sare dhidi ya Jwaneng Galaxy, Na Tp mazembe atamfunga Mamelod

    Habari Wakuu, Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo, Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda) Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw) Tp mazembe vs Mamelod (Tp Mazembe Atashinda ) Mimosas vs Wydad (Wydad Atashinda) Nouadhibou vs pyramids...
  6. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

    Leo mida ya saa 1:00 jioni inatarajiwa kuchezwa mechi ya pili ya kundi D ikiwakutanisha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania (Yanga) dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Afrika kutokea Misri (Al Ahly). Mechi inachezwa katika Uwanja wa Mkapa uliopo Dar es Salaam Tanzania. Unafikiri nani ataibuka...
  7. JamiiForums Tanzania FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    Leo 25/11/2023 katika dimba la Bnjamini Mkapa Dar es Salaam unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi B kati ya Simba SC ya Tanzania dhidi ya Asec Mimosa ya Ivory Coast. Mechi hii itaanza majira ya saa 10 kamili jioni. Upi mtazamo wako kuhusu mechi hii? Dakika ya 44 gooooal Saidoo...
  8. JamiiForums Tanzania FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

    Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC. Kikosi cha Yanga YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF, YAPIGWA 3-0 UGENINI Ikicheza kwenye Uwanja wa Stade du 5 Juillet Nchini Algeria, Yanga imeshindwa...
  9. JamiiForums Tanzania TFF wazembe wanakubali CAF kupangia muda mbovu

    TFF wamekua wazembe sana kwenye suala la muda wa mechi za TAIFA stars. Hii ni mechi ya pili wanapangiwa muda mbovu na CAF wanakubali bila hata kuhoji. Mechi saa nne usiku ni rafiki kweli kwa nchi yetu na usafiri wa Dar Es Salam? Hawaoni kuwa sio rafiki kwa mashabiki na kwa ushangiliaji wa mechi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Sporting Casablanca vs JKT QUEENS - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023

    11 November 2023 LIVE Sporting Casablanca 4 - 1 JKT QUEENS - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 https://m.youtube.com/watch?v=drY_F-vulPI Kutoka uwanja wa San Pédro, Ivory Coast mechi hii ya timu ya Morocco na Tanzania zikipambana Dakika 14 ' Sporting Casablanca 0 - 0 JKT QUEEN Dakika ya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Atletico FC d'Abidjan vs JKT Queens - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 - GROUP STAGE

    Live 8 November 2023 Atletico FC d'Abidjan 1 - 2 JKT Queens - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 - GROUP STAGE https://m.youtube.com/watch?v=zAmSCWF8XKI wenyeji wa michuano hii ya Champions League, nchi ya Ivory Coast timu yao Atletico FC d' Abidjan inacheza na JKT Queens ya Tanzania katika...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!

    CAF wanathibitisha ubora wa Yanga kivitendo ndio maana wameiteua kuingia kwenye tuzo zao za kuchagua Timu Bora barani Africa kwa mwaka 2023. Yanga ni timu pekee kwa Ukanda wa Africa Mashariki iliyoingia kugombania tuzo hizo! Yanga hawakuingia kwa bahati mbaya bali wamebebwa kwa mafanikio yao...
  13. JamiiForums Tanzania Timu ambayo haijawahi kufika fainali mashindano yoyote makubwa kujilinganisha na timu yenye medali za CAF

    Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga! Walau Yanga unaweza kuiweka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

    Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu. NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Timu zilizofuzu nusu fainali ya caf champions league 2023 ndio hizo hizo zimefuzu Caf AFL 2023. Hakuna timu mpya

    Mchele na chuya unajichuja.. nimeamini mashindano ya caf ya timu zake zile zile miaka yote.. timu zilizofika nusu fainali ya AFL 2023 ni zile zile zilizofika nusu fainali ya caf champions league mwaka 2023 Nusu fainali ya Caf champions league mwaka 2023 ilikuwa na timu 4 ambazo ni 1. AL...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Timu za Tanzania Kufa Kiume Mashindano ya CAF ni Sifa basi tuwaombe CAF waandae Shindano la WAFAO KIUME CUP tulibebe

    Kauli yangu ni moja tu na tena ni Takatifu kabisa kuwa HATUMO na TUMESHATOLEWA rasmi Mashindanoni hivyo hizo Kauli zenu za Kinafiki na Kipuuzi za Timu zetu KUFA KIUME msiwe mnazisema mbele yangu nisije Kumzabua Mtu Makofi bure sawa?
  17. JamiiForums Tanzania Sidhani kama simba wamefanya sahihi kwenye hili!!

    Zimepita siku kadhaa, Simba SC walitangaza Jezi ambazo watazitumia kwa ajiri ya Michezo ya AFRICAN Football League ambazo Zilitakiwa kuwa na Logo za Wadhamini wa Mashindano na Logo ya shindano lenyewe. Lakini Cha Kushangaza Katika Mchezo Wa marudiano hapo Jana Dhidi ya Al Alhly, Simba SC...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe, Ikulu ya Dodoma, leo Oktoba 20, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF (AFCON). Kama atatokea mwingine anarudia

    Ogopa matapeli, Diamond Platnumz (shabiki damu wa Yanga)ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF aliimba kwenye AFCON Gabon 2017. Tunaweka kumbukumbu sawa ili kuondoa upotoshaji wowote unaoweza kuja kufanyika.
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro ateta na Uongozi wa wa FIFA na CAF

    WAZIRI DKT. NDUMBARO ATETA NA UONGOZI WA FIFA NA CAF Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA ) katika Ukanda wa CECAFA, Andrea Silva na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…