bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. BigTall

    GE2025 Mgombea Ubunge ACT Jimbo la Kawe asema "Tutahakikisha kuwa elimu bure inatekelezwa kikamilifu"

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ameahidi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta za afya, elimu, na miundombinu ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge. Akizungumza katika kampeni zake, Tausi amesisitiza kuwa atahakikisha wananchi wengi wanapata...
  2. H

    Airtel wamepunguza kutuma matangazo ya bure kwa wateja wake ila Yas, Vodacom,nk bado wana kiburi

    Ni wazi matangazo ya bure ya mitandao ya simu yanakera sana,sana,sana, yawe ya serikali au ya mtandao husika. Ni vyema kuwe na kipengele cha kukubali matangazo au kusitisha na kiwepo kipengele cha kuwajibu wote wanaotuma sms za bure zenye maslahi yao. Tcra msijiamini sana na mnapaswa kufungua...
  3. Trainee

    Azam TV leo bure tu

    Chaneli zipo free tu sijui kuna aliyebonyeza kitufe kisichotakiwa kubonyezwa
  4. Mashamba Makubwa Nalima

    Kumbe hadi wasanii nao wamechoka, ila ushauri wa bure msijiachie kwenye hayo magroup kuna mamluki kibao

    Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii ambapo jumla ya wasanii ni 96,727 Tanzania bara 88,365 Zanzibar 8,362 Mkoa wa Dar es salaam umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wasanii wapatao 25,262. Wanufaika zaidi na mfumo hawazidi 100 (0.113%) Tanzia Mkoloni
  5. Beira Boy

    Usihangaike na VPN ingia JamiiForums na Twitter X kwa kutumia operamin ni bure kabisa bando lako tu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Wambieni na wengine ambao hawajui Asanten sana LONDON BOY Tumsifu YESU KRISTO
  6. H

    Kati ya Yesu na Muhamad nani ni msaada kwa Waafrika?

    Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao? Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu? Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu...
  7. Chizi Maarifa

    Wanayanga Fikeni Klabuni na baadhi ya Matawi Jersey zinagawiwa Bure. Msikubali kuuziwa

    Imeamriwa kuwa watu wapewe jersey bure na pia kiingilio kiwe bure na au mchango mdogo. Tunashukuru sana Viongozi kwa upendo wao kwa wanayanga.. Soup tu ndo naona kama imecheleweshwa. Tungepata na supu chapati kwa wanayanga ingewatia moyo na mori wa kuelekea uwanjani. Naomba hili lifanyiwe kazi...
  8. Waufukweni

    GE2025 Polepole: Mama haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, halafu Tanzania Bara wanalipia

    Polepole: Haiwezekani Zanzibar Matibabu bure, alafu Tanzania Bara wanalipia hii inaua umoja
  9. Roving Journalist

    TTCL: Kufungiwa Huduma za Fiber ni bure, wanaodaiwa kuchukua rushwa hatua zitachukuliwa

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza changamoto ya kuunganishwa na Huduma ya TTCL Fiber, kupitia ukurasa wa Instagram baadhi ya waliotoa maoni wamedai kuwa baadhi ya watendaji wamekuwa na tabia ya kuwataka wateja kulipia gharama (Rushwa) za miundombinu ikiwemo nguzo ili waweze kupata...
  10. Dr Adam Francis

    Wasira: Achana na Polepole, usijepata kiharusi bure!

    https://vm.tiktok.com/ZMAMVeYBo/
  11. Crocodiletooth

    Nimesoma page ya Mange ya Instagram, kuna ma Royce rolls na ma Bugatti acha kabisa, nimejiona mimi ni bure kabisa

    Lakini October tuka ✔️ Mali na fahari ni mambo ya muda mfupi sana, na sote tutapita. Hakuna kitakachobakia. Allah, tunaomba nusra zako. Waache uroho na ulafi, uwaamshe. Inaumiza kweli sana, lakini wewe Allah ndiye mjuzi wa sisi tunaolala njaa, na unafahamu kwa nini unatulaza njaa. Siri na...
  12. Trayvess Daniel

    Nchi ya wanaume bure kabisa

    Uzi huu ukifutwa na hili jukwaa, na mwanzilishi wake ni mwanaume, basi itakupa picha namna wanaume nao wanaweza kuonekana kama tatizo kubwa kwa nchi hii… Toka kuumbwa kwa dunia, wanaume wamekuwa mstari wa mbele kuikomboa jamii katika majanga mbalimbali, unyonyaji, vita na mambo mengine mengi...
  13. ngara23

    Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

    Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora, Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana...
  14. ngara23

    GE2025 Rais Samia: Mkinipa kura mtatibiwa figo bure

    Hivi kwani Sasa Rais ni nani? Anasubiri Nini kutibu hao wagonjwa wa figo? Wagonjwa wa figo wa Sasa wafe hadi Rais atakapokuwa Rais tena? Rais Samia anaweza kuwatibia hao wagonjwa bure, maana wanateseka. Binafsi sikuelewa hii kauli
  15. BLACK MOVEMENT

    GE2025 Kupiga marufuku Hospitali kuzuia maiti nayo ni maendeleo? Samia punguza umasikini haya yataisha automatic

    Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty. Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu. Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii...
  16. Sales man

    Kushindana na CCM, unakuwa unashindana na Serikali na vyombo vyake, usipotumia akili utaishia kuumizwa bure

    CCM sio Chama cha siasa Ila ni Serikali, hivyo kushindana na CCM unahitaji akili Sana . Na sio hivi kama wanavyofanya hawa vijana akina Lissu na wengineo. Binafsi watu ambao hawaulewi ukweli nawapa pole. Hata hapa JF tumejificha kwa I'd fake lengo ni kuikwepa Serikali.
  17. F

    Ofa hamna anaetoa, mje kuchukua bure hii machine

  18. M

    Polepole yuko Sahihi. TUME inataka kumpa Mwalimu kura kadhaa za Bure

    Kuna mpango wa ovyo wa Kumpa Salum Mwalimu kura kadhaa za kubumba huyu mtu ili wapate wabunge wa viti maalum kadhaa na wabunge wa ovyo ovyo Ndugu Watanzania sio Siri tena kwa namna yoyote Mpina angekuwa ana kura nyingi sana kuliko huyu mgombea wa Chauma na pengine angemzidi mgombea wao kwenye...
  19. youngkato

    Jinsi ya Kutumia ChatGPT Bure

    Jinsi ya Kutumia ChatGPT Bure ChatGPT inatumiwa sana duniani kwa ajili ya maswali, uandishi wa makala, kutafsiri lugha, kuandika, kufanya utafiti (Research) na content za mitandaoni. Watu wengi hujiuliza: “Nawezaje kutumia ChatGPT bure bila kulipa ada ya kila mwezi?” Hapa nitakueleza njia...
  20. B

    Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!

    Umekuwa huku, umekuwa kule: Umekuwa ni mstaafu asiyestaafu? Kwamba chaguzi zimekuwa zikiibiwa chini ya uangalizi wenu! Kwa hakika wewe na CCM kwa ujumla wenu mmetukosea sana. Angalia ya stadium Mkapa na Morocco, yanakupa furaha gani wewe? Nyerere alikuwa huyu: Mheshimiwa, kumbe wewe...
Back
Top Bottom