bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Hamissi Hamza Jr

    Kwenye nchi ya kusadikika mtamlaumu Malikia bure

    Africa na mashariki ya kati kila Hekalu Lina Big Boys Watoa Order Nini kifanyike na Nini kisifanyike kwenye Hekalu", kwenye Nchi Ya kusadikika Wananchi mtamlaumu Malkia Bure Big Boys ndio Watoa Order Na Kila mmoja wenu Ni Shahidi wa mkaidi wa order alie kwenye Hekalu Nini kinampata".
  2. aise

    Kama unahitaji kifusi nicheki uchukue Bure

    Habari zenu wakuu, kuna sehemu nafanya kazi hapa Buguruni imevunjwa nyumba na limechimbwa shimo la choo sasa kifusi ni kingi na ni eneo la baarabarani, ikiwa unahitaji nicheki uje ubebe asubuhi bure kbisa. Njoo na gari na watu wako wa kupakia hicho kifusi 0624254690
  3. The Dictator

    Tech Zone: GPS ni bure dunia nzima, ila raia wa Marekani ndio wanahenyeka kulipa kodi za uendeshaji wa mfumo.

    Mfumo wa GPS (Global Positioning System) ni huduma ya bure kwa watumiaji wa kawaida duniani, lakini uendeshaji na matengenezo yake si bure kabisa. Mfumo huu unamilikiwa na serikali ya Marekani kupitia jeshi lake la anga (U.S. Space Force) na unajumuisha mtandao wa satelaiti zaidi ya 30...
  4. DuaZaMama

    PreGE2025 Musukuma: Wakuu wa Wilaya wanaotaka ubunge, Bungeni hakuna hela

    "Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela...
  5. Knock life

    Wakuu je mshahara wa Mbunge ni Mkubwa kuliko wa mkuu wa Mkoa ? Au Watu wanaacha ukuu wa mkoa ili wakale pesa za bure za kugonga meza!?

    Kwa ninavyojua MTU Kama Makonda hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi ni vile anabebwa na mfumo. Je Makonda ameamua kuingia kugombania ubunge ili ajiondoe katika Kazi zenye Pressure Kama U-RC na U-DC !? Au kaamua kufukuzia Mshahara Mkubwa ambao ubapatikana bila kufanya Kazi ambazo ni mil 18...
  6. Brayan_Jk

    Wafugaji wa Kuku: Pakua Hii App uone Inavyobadilisha biashara yako ya Ufugaji mara moja (Na Ni BURE!)

    Katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi kwa wafugaji wadogo na wa kati wa kuku, Fuga App imekuja kama suluhisho la kiteknolojia linalobadilisha mchezo kabisa! Pakua Fuga App hawa : [ Fuga - Apps on Google Play ] Wafugaji wengi walikuwa wakitumia daftari au spreadsheets kufuatilia gharama...
  7. Lord Denning

    Hili haliwezi kupita bure: Imekuwaje TISS na JWTZ mmekubali Air Tanzania ife na ianzishwe Zanzibar Airways?

    Wakati Air Tanzania ikifanya vibaya sana kutokana na ndege kununuliwa kwa bei mbaya huku zikifa kutokana na kutofanyiwa service za maana na kwa wakati tena kwa makusudi kuna taarifa kuwa linaanzishwa Shirika la Ndege la Zanzibar. Nawauliza nyie TISS na JWTZ hamuoni kutofanya vizuri kwa Air...
  8. Frank Mazagazaga

    Tengeneza Incubator Yako kwa gharama (W1219 Digital Thermostat) – Step by Step na Msaada Bure!

    Habari wana Jamii Forums, Kama wewe ni mfugaji wa kuku au unapenda kujaribu idea mpya ili kukuza ufugaji wako kuwa wa kibiashara inayolipa, basi hii post ni kwa ajili yako. Leo nakushirikisha kuhusu kifaa kinachoitwa W1219 Digital Temperature Controller — ambacho kinasaidia sana kutengeneza...
  9. P

    TFF na bodi ya ligi,ushauri wa bure kuelekea mechi ya dabi 15 June 2025

    Kwa hili sakata linavyoendelea,nikiwa mpenzi wa mpira hasa wa Tanzania nawaomba sana TFF na bodi ya ligi suala la mechi ya yanga na simba lifungwe pazia lake siku hiyo iwe yanga waje uwanjani au wasije uwanjani kanuni zifuate mkondo wake! Ukweli ni kwamba yanga Wana lao jambo,suala la...
  10. Waufukweni

    Hashimu Rungwe aitaka Serikali kutoa Chakula bure kwa Wagonjwa na Wanafunzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na ndugu wapate chakula bure huku wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuchangia chakula shuleni...
  11. Lord Denning

    Ushauri wa bure: Kwa niliyoyaona leo Dodoma na yanayoendelea Mitandaoni, Kama wewe ni Fisadi wa CCM fanya haya haraka sana

    Jiji la Dodoma leo limenishangaza hakika. Sijawahi ona watu wanaoipenda Chadema kama watu wa Dodoma. Mwanzo nilidhani Mwanza na Kanda ya Ziwa, Kuna wakati nilidhani Kanda ya Nyasa na Kanda ya Kaskazini. Ila kwa hakika leo naweza kusema, Dodoma ni ngome mpya ya Chadema. Hata Tone Tone ya leo...
  12. shonkoso

    Pata elimu ya bure,hivi ndo kura huwa zinaibwa katika nchi X

    Wengi wetu hatuamini kama kweli kura huwa zinaibwa. Ukweli ni kwamba kura huwa zinaibwa haswa maeneo yenye upinzani mkali. Nitashare nanyi baadhi ya mbinu nilizo fanya utafiti wangu binafsi 1 .Mbinu ya kwanza kabisaaa huwa ni kuwa na wapiga WAPIGA KURA HEWA Kuna watu huandaliwa kujiandikisha...
  13. Dogoli kinyamkela

    Kalivyo handsome jamani wanakalaani Bure tu

    Kalivyo handsome jamani wanakalaani Bure tu 💔😢
  14. Chizi Maarifer

    Ushauri wa bure kwa Keyboard Warrior wote wa JF

    Mzuka Wana Jamvi ? Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu. Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako...
  15. G

    Mawakili wamshauri MKITI Lisu kuepuka faulu na mitego isiyo ya lazima unawapa washitaki point za bure

    Mazoea sio kanuni Wala Sheria Lisu amewapa mawikili wake wakati mgumu Sana huku akiwapa washitaki wake point NYINGI Yawezekana walishajua mazoea yake ya kuongea kabla ya mahakama kuanza . Refer ametenda haki mazoea sio Sheria au kanuni
  16. W

    IT mpo? AI inachukua kazi zenu kimyakimya, Mjipange !! Karinga kunitengenezea website ndogo kwa elf 10 nimemaliza kila kitu kwenye ChatGPT bure.

    Leo nilikuwa napitia uzi flani humu ndani wa kero ya kutambua mitandao kwa namba za simu. Nikaona nifanye kiproject simple cha kutatua tatizo hili, nikaandika orodha ya namba pamoja na mitandao yake. Nikaenda kwa IT flani yupo tu kitaa atengeneze website ndogo ya kurahisisha kwa dau la elfu 5...
  17. Samia atosha tukutane2030

    Haya pesa ya bure hiyo

    Huko kwenye betting napata odds ngapi? Nimeona kwa jicho la tatu matokeo ya kesho
  18. M

    Free Car Inspection Kila Jumapili:Kuanzia sasa, kila Jumapili, tunafanya ukaguzi wa bure wa magari Jerry spare parts and services

    TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako! Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Free Car...
  19. jerry spare parts service

    Jerry spare parts and services; Free Car Inspection Kila Jumapili:Kuanzia sasa, kila Jumapili, tunafanya ukaguzi wa bure wa magari

    TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako! Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Free Car...
  20. M

    Jerry spare parts and services; Free Car Inspection Kila Jumapili:Kuanzia sasa, kila Jumapili, tunafanya ukaguzi wa bure wa magari

    TANGAZO MAALUM Jerry Spare Parts and Services Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwakaribisha kwenye huduma zetu bora kabisa kwa wamiliki wa magari nchini Tanzania. Tupo kwa ajili yako – kuhakikisha usalama, uimara na ufanisi wa gari lako! Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Free Car...
Back
Top Bottom