ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,795
- 39,495
Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba
Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora,
Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana kwenye jersey ni jayrutty tu
Ni sawa na pale Yanga mzabuni wa kutengeneza jersey ni GSM, lakini GSM alimtafuta Sheria Ngowi amtengeneze, na hatujawahi kuona jersey ya Yanga ikiwa na nembo ya Sheria Ngowi
Simba wanazidiwa na Ali Kiba anatambua thamani yake aligoma kuvaa jersey ya Simba yenye nembo ya betway, anataka betway atow pesa ndo avae chata yake
Jezi ya Simba imejaa matangazo kama gazeti la sani